Mbowe usimwachie Lissu chama kwa utovu huu wa nidhamu, afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono yako na wananchi wenye nidhamu

wat

Mbowe akiendelea chadema itakufa. Hana ushawishi tena na yeye anajua hilo ila ni kama ameshajikatia tamaa anaona bora chama kife kuliko afunikwe.
Angekua hana ushawishi sidhani kama huu mjadala wakumpiga vita ungekua mkubwa hivi.hizi porojo zakumpamba lissu nakumsema mbowe apumzike maana yake washindani wa mbowe wameamua kubadilisha wapate adui wanayemuweza au aliye rahisi kwao.hili jambo linafanywa kimkakati sana kiasi ambacho ukishikiwa akili huwezi kuliona.Ushawishi utakua na maana kama washindani wako hawatumii vyombo vya dola kupambana nawewe.wpinzani wa chadema wanataka kelele za lissu kuliko move na mipango ya kimya kimya ya mbowe ndo maana zinaibuka hoja mfu nyingi zakuokoteza.sasa kama bado unaamini wananchi ndio wanaochagua viongozi kwasababu yakua na mvuto utakua unajidanganya.
 
Mnamuhitaji kwasababu akili zetu zinashabikia vitu rahisi rahisi vyamtu kuongea bila vitendo.Ukiwa na akili za mkumbo lazima uone lissu yuko sahihi kwasababu unawaza kiharakati harakati zaidi ambazo mwisho wa siku hazina impact yoyote zaidi ya kufurahisha watu.mbowe hana mihemko ndo maana hawezi kujibu jambo bila kufwata taratibu zakichama.
 
Unaweza kuwaza hivyo ni mtazamo wako ila akili za mkumbo ni kwenu nyinyi wajinga msiokubali mabadiliko. Maridhiano ya mwaka mzima matokeo yake tumeyaona kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kabla ya Mbowe alikuwa Bob Makani, na kabla ya Bob alikuwa Edwin Mtei. Mbona ilikuwa rahisi kuachia wengine waendeleze chama? Kwa akili zenu bila Mbowe CHADEMA haiwezi kuwepo?

Hamzungumzii hila za CCM kwenye siasa za Tanzania, hamzungumzii mauaji na utekaji na jinsi inavyokandamiza haki za kufanya siasa. Kama hekima na upole wa Mbowe umeshindwa kuifanya CCM kuwa fair unategemea njia hiyo hiyo ya Mbowe italeta matokeo tofauti?

Au siasa za Tanzania kufanya ni FAVOUR ya CCM? Mbowe anafuata taratibu za kichama kama kusema uongo dhidi ya Lissu? Kuruhusu na kuwatumia akina Yericho Nyerere na akina Wenje na Paulo Ntobi kumshambulia Lissu?

You are deluded
 
Risala ndefu lakini ni rubbish, Lissu kugombea kakosea wanaomkashifu na kumtolea shutuma haki ila yeye kujibu nongwa.
Chawa wa Sultani Mbowe mnakazi
Nyie mnakalia matusi tu - hizo hasira mpelekee mkeo na watoto wako ndugu.Au kunywa sumu ufe au mtafute Mbowe au Lissu wakuzalie mtoto kabisa
 

Hivi chama ni taasisi au mtu. Ikiwa ni mtu, basi itakuwa bahati mbaya sana kwa CDM.
Nachelea kusema, kumbe waliosema cdm maana yake ni Chagga Development Manifesto hawakukosea.
 
Nyie mnakalia matusi tu - hizo hasira mpelekee mkeo na watoto wako ndugu.Au kunywa sumu ufe au mtafute Mbowe au Lissu wakuzalie mtoto kabisa
Mke wangu ni wewe njoo unizalie mtoto kabisa.
Mpuuzi wewe tusi liko wapi hapo? Kusema chawa wa Sultani Mbowe?
Si lazima ujibu kama hutaki reaction ya maneno yako
 
Hiiii ! 😳
Watu wa upande wa CCM humu jukwaani wanaongeza mafuta ya petroli kwenye moto unaowaka pande ya Chadema !

Duh ! Kweli Adui yako muombee njaa 😱 !
Ngoja Tusubiri tuone kama kitakufa au bado kitasavaivu hili ⛈ Storm 🙄 !
 
Haya maneno hayawezi kutoka kwa mtu ambaye yuko vizuri upstairs, no wonder unamsapoti Mbowe
Haya maneno hayawezi kutoka kwa mtu ambaye yuko vizuri upstairs, no wonder unamsapoti Lisu Mropokaji
 
Hela za mama Abdul zitawatokea puani
ushahidi? ndiyo maana nasema hakuna great thinker! Leta ushahidi! sikiliza hiyo angalau upata analytical skills kidogo

Analytical skills are problem-solving skills that help you parse data and information to develop creative, rational solutions.
 
hana ushawishi sidhani kama huu mjadala wakumpiga vita ungekua mkubwa hivi
Mbona lipumba pia tulimsema sana kipindi anaivuruga CUF, kwani ana ushawishi? Hivi kwa kawaida tu uweke mkutano wa Lissu na Mbowe kwa yoyote follower wa upinzani atakua interested kumsikiliza nani?

Mbowe hana jipya la kuamsha umma, tunatambua busara zake ataendelea kuwa mjumbe wa kudumu wa kamati kuu. Ila active politics zimemtupa mkono
 
Madogo kama kina David Silinde wa Momba, Yule wa Shinyanga, Ally Bananga wa Arusha, tumbili wa PPP wote wako wrong ila Mbowe yuko sahihi! Maajabu!
key players ni wapi? take your time to scrutinize whatever you read!
 

Ungesema Lissu hawezi kulea chawa!
 
Watakaoamua huu mpambano ni wanachadema na sio mbowe, kwa sasa mbowe na lissu wote ni wagombea, Chama Cha siasa kikishasajiliwa ni Mali ya umma, mbowe atoe sera zake, ashawishi wajumbe, ndo demokrasia
nadhani hujanilewa au kunisoma from the last 4-5 months back! Lisu alikuwa my favorite politician if he can be said to be so. My concern ni njia aliyotumia kutafuta huo "ukubwa"
 
Mbowe anajua kujenga hoja vizuri. Lisu ni kanyaga twende.....harakati.... nambie kesi alizowahi kushinda?
 
Mbowe anajua kujenga hoja vizuri. Lisu ni kanyaga twende.....harakati.... nambie kesi alizowahi kushinda?
Kesi alizowahi kushinda kwenye mahakama zipi? Kama Mbowe anajua kujenga hoja tutamuona siku hiyo kwenye mdahalo. Kujipendekeza kwa watawala wa ccm siku hizi ndio kunaonekana ni kujua kujenga hoja na busara!
 
tunazuia mropokaji asiue chama
Wewe mbona unatabia kama za mawifi, acha upuuzi ,Lissu anaongea facts,anawavua nguo Wezi bila woga,..
Wakati mwendazake anatishia uhuru wa kuongea ( freedom of speech) ni Lissu tu alikuwa aogopi wewe na shangazi zako mlikuwa mnakunywa mbege tu migombani hamna habari na nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…