Mbowe usimwachie Lissu chama kwa utovu huu wa nidhamu, afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono yako na wananchi wenye nidhamu

Hujui dunia wewe, kura lazima ziseme ,janjajanja yoyote tutagawana mbao , hii chama sio cha Mbowe ni chama cha wananchi,sasa leteni ujinga wa uchawa tutaelewana vizuri
 
Kuongoza vyama vyamabadiliko sio rahisi kama unavyofikiri.Unadhani kungekua na huo ukomo kati ya wale waliowahi kugombea uko nyuma wangeshinda ina maana wangekua ndio wenyeviti unadhani hicho chama kingekua wapi kwa sasa?.Inawezekana ata nyie mnaopalilia hiyo agenda ya ukomo mna agenda yenu yakuja kupandikiza mtu wenu badae aje kukiny'ong'onyeze chama.Ccm bado ni chama chenye mipango mingi yakudhibiti wapinzani wake.kungekua na usawa wakisiasa hiyo ingekua agenda ila sio kwasasa kwasababu bado hakuna misingi sawa yakisiasa.tupunguze mihemko na uchawa tutazame uko mbele zaidi badala ya hapa karibu kwasababu ya mikumbo na upepo.Mengine tuache kura ziamue.
 
Huyo Museveni ataumbuka awamu hii, huku mashinani kapoteza uungwaji mkono kwa kiwango kikubwa mno
 
Brother demokrasia inampa mru uhuru wa mtu kumchagua kiongozi amtakaye. Kama wewe ulivyotaka kumchagua mbowe basi na mimi nina haki ya kuchagua kiongozi wa chama chetu awe Tundu Lissu

Miaka 20? Miaka 20? Hapana hapa imefika mwisho awape kijiti na wengine wachagua kiongozi wanayemtaka

Tundu Lisu ana haki ya kugombea na wajumbe wataamua nje ya hapo sina cha kubishana
 
Ila Mbowe kukiuza chama kwa Abdul ni sawa?
Leta ushahidi.hii jamii forum ilikua ni forum ya watu wenye kujadili mambo kwa fact na uhakikasio porojo za vijiwe vya kahawa.kwahiyo leta fact watu wajiridhishe.kama huna maana yske unasambaza majungu tu na umbea bila kujua hizo ni agenda za watu.
 
Homeboy, pole sana.
Kuanzia tarehe 21, tafuta kazi nyingine ya kufanya. Nyinyi ndio mlizoea kula kupitia mgongo wa Chaimen. Time is up man. #No reform no election begins at home.
 
Mawazo ya mjinga
 
Kwani Chadema ni mali ya Mbowe mnaanza kusema asiachie Chama huyu Mbowe ndio alikua anagombea Uraisi angepata si mngesema asiachie Urais kwa gharama yeyote ile bora alikua anakosa hakuna mtu hapo..
 
Leta ushahidi.hii jamii forum ilikua ni forum ya watu wenye kujadili mambo kwa fact na uhakikasio porojo za vijiwe vya kahawa.kwahiyo leta fact watu wajiridhishe.kama huna maana yske unasambaza majungu tu na umbea bila kujua hizo ni agenda za watu.
Kwani nani asiyejua kuwa Abdul kamrambisha asali yeye na chawa wake?
Chama awamu hii kinarudi kwa wanachama
 
Kwani Chadema ni mali ya Mbowe mnaanza kusema asiachie Chama huyu Mbowe ndio alikua anagombea Uraisi angepata si mngesema asiachie Urais kwa gharama yeyote ile bora alikua anakosa hakuna mtu hapo..
Chawa wake hawana hata hoja
 
Huyo Museveni ataumbuka awamu hii, huku mashinani kapoteza uungwaji mkono kwa kiwango kikubwa mno
Jisemee mwenyewe.Nchi bado ina watu wengi sana ambao wana mitazamo tofauti.Tena inawezekana ndio wakajitokeza wengine wa maana zaidi.
 
Mbowelism mmeshanganyikiwa sasa. Tulieni dawa iwaingie. Chawa wakubwa nyie!
 
Kwani nani asiyejua kuwa Abdul kamrambisha asali yeye na chawa wake?
Chama awamu hii kinarudi kwa wanachama
Leta ushahidi.mambo yakuongea porojo sio wakati wake.kama wewe ndio mtoaji au mpokeaji tuthibitishie.Kuna siku utajidharau kwakua na akili zakuamini mambo kirahisi.kila mtu anaweza kukuongelea lolote cha msingi maelezo yaambatane na ushahidi.
 
Akiachwa na Chama je!
Pimbi wewe hufikirii kuna kuacha na kuachwa.
 
Wala hakuna anayebishana kwasababu hivi vyama vilianzishwa na watu na vitapita.Ninachokisema mimi ni kumbagaza mbowe bila ushahidi kwa mambo yanayozungumzwa na wapinzani wake.Hiyo sio sawa kwa mtu anayejielewa.mtu ahukumiwe kwa haki.Uko kwenye kura wahusika watajua wenyewe kwasababu hizo ni siasa tu na zitapita.
 
Mbowelism mmeshanganyikiwa sasa. Tulieni dawa iwaingie. Chawa wakubwa nyie!
Laurent sisi tunaona mbali, far sighted....... hakuna uchawa , Mbowe hanpii chochote na sipati chochote toka chadema as an indiviual. Ni ie kazi ya chadema kutafuta hali bora za vizazi vyetu.
Utachanganyikiwaje kwa issue hizi za vyama?

Lisu kwa kuropoka kwake hiki chama watakifuta....................na ataongezewa risasi zingine...... Why? atajiona ana platform ya kumbagaza samia na watammaliza na hakuna ndege ya nairobi. (siombei haya mabaya, but can predict what might happen )

LISU ANAHITAJI JUU YAKE KUWEPO NA MTU WA KUMTHIBITI/KUMPOZA, SHORT OF THAT.......

Msiwe short-sighted! .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…