Fine for your information..... nilimaliza UDSM 1983...siwezi kuwa nakula kwa Mbowe/chadema....you can guess my age!Homeboy, pole sana.
Kuanzia tarehe 21, tafuta kazi nyingine ya kufanya. Nyinyi ndio mlizoea kula kupitia mgongo wa Chaimen. Time is up man. #No reform no election begins at home.
CCM Mnampigia chapuo FAM nini kimejificha nyuma ya pazia?Kabisa ni rasmi naona chama kinataka kutekwa na wanaharakati uchwara.
Hakuna kuachia Chama kama wanataka wakaunde Chao , period
Hata kwa gharama ya kukiua hicho chama?Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
LISU ANAWASINGIZIA WENZAKE.......particularly Mbowe.Wala hakuna anayebishana kwasababu hivi vyama vilianzishwa na watu na vitapita.Ninachokisema mimi ni kumbagaza mbowe bila ushahidi kwa mambo yanayozungumzwa na wapinzani wake.Hiyo sio sawa kwa mtu anayejielewa.mtu ahukumiwe kwa haki.Uko kwenye kura wahusika watajua wenyewe kwasababu hizo ni siasa tu na zitapita.
Na maneno aliyosema leo, Lazima huko ccm wanawafikiria wakurya wa Tarine, maana kasema lazima wauze dhahabu watu watajilike. Sasa wawekezaji na ccm kazi wanayo sana kwa sasa kuukabili huu moto wake na Lissu.Naona John Heche amechafua kabisa hali ya hewa baada ya kutangaza kugombea, na pia kumuunga mkono Lissu.
Chama anakiua Lisu..not Mbowe..Hata kwa gharama ya kukiua hicho chama?
Mbowe yupo mwache ajitetee mwenyewWala hakuna anayebishana kwasababu hivi vyama vilianzishwa na watu na vitapita.Ninachokisema mimi ni kumbagaza mbowe bila ushahidi kwa mambo yanayozungumzwa na wapinzani wake.Hiyo sio sawa kwa mtu anayejielewa.mtu ahukumiwe kwa haki.Uko kwenye kura wahusika watajua wenyewe kwasababu hizo ni siasa tu na zitapita.
Ngoja tuone hatma ya huu mtanangeChama anakiua Lisu..not Mbowe..
Hafai kabisaWewe Mbowe unamuonaje
Nadhani CCM ako kwa Lisu maana Msigwa yupo CCM na ni mwandani wa MsigwaCCM Mnampigia chapuo FAM nini kimejificha nyuma ya pazia?
Wewe CCM upo na Mbowe.....Nadhani CCM ako kwa Lisu maana Msigwa yupo CCM na ni mwandani wa Msigwa
Kwanini? Kuropoka ndio kufaa? N! Ataropoka watammaliza. Kuna mazingira na mazingira ya kufanya kila kitu. Hawatamvumilia tena... na hatakosea kama alivyosema mama kuwa askari wake hawawezi kukosea...Hafai kabisa
Hakuna mtu ambaye anaweza kukifuta CHADEMA kwa sababu ukikifuta CDM unakaribisha ugaidi, Na wajuzi wa sayansi ya siasa hawezi wakashauri jambo kama hilo, vyama hivi huwa vinapandikizwa vita vya wenyewe kwa wenyewe vinjifia vyenyewe, Mbowe kwa Sasa hawezi kukiendesha chama cha CDM kwa ufanisi kwa sababu ameshafika bei na hivi sasa anaendeshwa kama mwanasesere. Mbowe amegeuga dubu kwa wanawe ameaza kuwatafuna. Kwa Kama CDM itazorota huwezi kupata Cham a kingine Chochote kwa Mda mfupi chenye nguvu kama CDM na watu wasijaribu kabisa kukimbilia ACT, hicho chama ni Chama cha mikati ila si chama chakuchukua nchi.Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
huu ndio ujinga. Ukifika hapa huna haja ya kusoma zaidi kinachofuataameshafika bei
Hata mimi nilikuwa siamini kama wewe na nilikuwa nabishana mpaka dakika za mwisho. Ila inasikitisha sana hata sipendi niamini lakini ndiyo hivyo ilivyohuu ndio ujinga. Ukifika hapa huna haja ya kusoma zaidi kinachofuata
Watamwachia Saccos yake usijari,ni mtu mpbavu tu ambaye hawezi kuona uzalendo, ujasiri,na ukweli wa Tundu Lissu,Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
mzee na wewe umekumbwa na homa ya lissu?Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
tunazuia mropokaji asiue chamamzee na wewe umekumbwa na homa ya lissu?
mropokaji,Tundu Lissu,