Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

Magu alitoa the taste of their own medicine and as expected they didnt like it
 
Kuna kaukweli fulani anayoongea Mbowe lakini hii angeweza kuipotezea tuu maana ina hasara zaidi ya faida katika siasa
 
Magu alitoa the taste of their own medicine and as expected they didnt like it
Tumtendee haki, tujadili ni rekodi yake

Kuhusu Utu , kujali na kuthamini maisha ya watu
Kuhusu Haki, kuitenda na kuisimamia
Kuhusu Utawala bora
Kuhusu Demokrasia
Kuhusu Mahusiano na jirani
Kuhusu mahusiano ya kimataifa

Tukijadili haya tutamtendea haki, kumsingizia kaanzisha SGR si haki. Kuzungumzia flyover tu wakati ametenda mengi si kumtendea haki. Magufuli atendewe haki kwa kuzungumziwa kwa ujumla wake.

JokaKuu
 
Mbowe na chama chake cha wachaga amejaa chuki tu kwa JPM....hicho chama chake cha wachaga hakina shukrani JPM katifanyia mengi sisi watanzania.
Sawa sawa,huyo Mbowe mwache asikusumbue kwasababu hajawahi kuwa Rais

Tuongelee mengi aliyofanya Rais Magufuli kwa Watanzania kama unavyosema

Hatuwezi kuongelea flyover tu, hatutamtendea haki kwasababu kwa miaka 6 kafanya mengi na si flyover tu.

Ili tumjadili Magufuli kwa ujumla kama tunavyomjadili Mwl Nyerere au Mkapa ni vema tuangalie rekodi yake katika haya :

Utu na haki zaa binadamu
Uzalendo na upendo kwa nchi
Utawala Bora
Demookrasia
Serikali na taasisi zaake
Maahusiano ya kikanda
Mahusiano ya kimataifa
Kukabiliana na majanga ya kitaifa na kimataifa

Haitoshi kusema ''katufanyia mengi'' ni vema tukayaeleza na hapo utakuwa unamtendea haki.
Magufuli atendewe haki asijadiliwe nusu nusu kwa flyover, tusimdhulumu katenda mengi, tuyajadili

Tafadhali anza na hayo hapo juu kama yapo tuliyosahau tutaongeza

JokaKuu
 
Endeleeni kuwachukia wachaaga sijui wachaga huwa wanawachukia kina nani ..upo ukweli magufuli alijenga chuki MBAYA dhidi ya watu wa kaskazini na ilikuwa nisawa kumbagua mkaskazini
 
Hao majuha achana nao..
Hawawezi kukuelewa kwa sababu toka Magufuli awe raisi
life kwao was never same again mirija ya undugu na wizi katika
sekta nyeti ilikatwa hata mimi nisingekuelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa ndipo tunapo wagundua wahuni na uhuni wa chadema. Hawa wanatetea matumbo yao na sio kuwatetea wanyonge na maskini Ambao utawala wa Awamu ya sita umewatelekeza na kukumbatia Matajiri.

Watanzania tuna Akili timamu sana Na Tunamshukuru sana Magufuli Alitufungua macho sana.

Ukweli utabaki kuwa kweli Hakuna kama Magufuli. Wanaomchukia ni wahuni na mafisadi na vibaraka wao.
 
Kwa hio hamtaki kusini wapate maendeleo km kaskazini sio?

Kwa mfano:
Kigoma na Kilimanjaro kunafanana?

Sidhani km kuna kabila wabaguzi km Wachaga hii nchi ila Mungu ashawaona na kulishughulikia
Uvivu wenu ndiyo unewafanya muwe maskini. Umasikini hauondolewi na serikali. Udhaifu wenu mnalalamikia watu wa kaskazini. Mimi kwetu Kusini lakini hiki unachosema ni nonsense
 
Y
You are right!
 
Utawala wa Magufuli uliwatesa vipi watu wa Arusha na Kilimanjaro? Ni vyema akasema ni mateso gani ili Watanzania tuelewe
eti alitaka kuua CDM hai na kilimajaro kote kwa kumtumia sabaya - kitu imefeli vibaya sana.
 
Magufuli alipanda ana aliishi katika mbegu ya kuwabagua watu wa kaskazini. Hii mbegu ipo sana kwa makabila yasio na exposure. Yani washamba. Wanawapinga na kuwapiga vita wachaga lakini ukifuatilia vizuri utakuta, ni wivu, unafik na ujinga ndani yake. Hao wachaga hawapo organized wao kwa wao wamegawanyika sana Yani. Hii kitu ni mbaya sana utadhani sio raia halali wa Tanzania. It is not healthy for a politician to be divisive,the late president was openly divisive , a tribalist and sadist he gave a lot of people scars. May he rot in hell.
 
A few days to come he will join him where he is...........................he has since his acquittal been bad-mouthing about Magufuli's regime that it was brutal, violent, cruelty and unjust without considering the repercussion for his agency mission to the community attached to his excellence late Dr. JPM.

Bygone is bygone, branding it as alive is a futility that is what he is going to reap for regret.
 
True !! True!!! Bitter truth! Who from the most passive society in the planet is able to snatch the rights..? How old are you? Before getting my candid opinion??
 
Yeye aseme tuu ,mana ndo hoja anayoona itamweka mjini
Acheni ujinga wenu enyi manyanyasaji!
Mwendazake aliwatendea kitu mbaya sana watu wa kaskazini!
Aliwapora mali zao, waliwekwa ndani, walitishwa na kutakiwa kusalimisha fedha zao hovyo na bila sheria! Kuna ambao hadi walifilisika na wengine walikimbizia pesa zao benki za Kenya! Hata vyeo hakupenda watu wa kaskazini kabisa na hii ni tangu akiwa waziri popote alipokaa alikuwa hapendi kabisa watu wa kaskazini. Mwenyezi Mungu jina lako lihimidiwe.
 
Uvivu wenu ndiyo unewafanya muwe maskini. Umasikini hauondolewi na serikali. Udhaifu wenu mnalalamikia watu wa kaskazini. Mimi kwetu Kusini lakini hiki unachosema ni nonsense
Haya basi wasubiri kanda zingine nao saivi sio wavivu🤣
 
Muulize Sabaya na genge lake haramu kule mahakamani siku hizi wanaenda kufanya nini, na ile hukumu waliyopewa ilikuwa ya makosa gani kama sio matendo yao ya kikatili kwa wananchi wa Kilimanjaro na Arusha.
Yaani ilikuwa ni zaidi ya mateso asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…