love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Unamchagulia nan cha kuanaglia???Kabla ya kusema Mbowe ambaye ni mwenyeikiti tu hajawahi kuwa Rais, hebu tuangalie rekodi ya anayetuhumiwa ambaye alikuwa Rais wa Tanzania Bw. JP Magufuli katika mambo yafuatayo ili tuone kama kuna ukweli au ni chuki tu!
Utu
Haki
Uhuru wa Wananchi
Uhuru wa vyombo vya habari
Demokrasia
Utwala bora
Utendaji
Ubaguzi ukifanywa na raisi ndio ubaguzi ukifanywa na mtu wa kawaida sio ubaguzi?
wachaga toka tupate uhuru ni wabaguzi..
Toka chadema ianzishwe ushaona mwenyekiti sio mchaga???
why hawasemi huo ni ukabla au chama ni mali ya mtu binafsi????