Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

Unamchagulia nan cha kuanaglia???
Ubaguzi ukifanywa na raisi ndio ubaguzi ukifanywa na mtu wa kawaida sio ubaguzi?
wachaga toka tupate uhuru ni wabaguzi..
Toka chadema ianzishwe ushaona mwenyekiti sio mchaga???
why hawasemi huo ni ukabla au chama ni mali ya mtu binafsi????
 
Sasa km wengi wenu wajinga wajinga je?

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana unachosema kina ukweli lakini hakifanyi kauli za Mbowe kuwa sahihi.
 
Kwanini watu hawataki kutetea rekodi ya Magufuli?

Rekodi ya Nyerere ipo wazi na inajadiliwa kwa wema na ubaya miaka 20+, mbona ya Magufuli ni nongwa.

Ubaguzi unaofanywa na Raia mmoja mmoja hauna madhara kama ule wa kiongozi.
Tazama kauli ya Magufuli kule Iringa, ilikuwa ni habari, nani anazungumzia mtu mwingine!

Mtendeeni haki magufuli, jadilini rekodi yake kwa upana na ukubwa wake.
Msimsingizie kuwa kaleta flyover tu kwa miaka 6, mnamdhulumu. Vipi haya

Kuthamini Utu wa mwandamu
Kutenda haki , kuisimamia haki
Utawala bora
Demokrasia
Taasisi za nchi
Mashirikiano ya kikanda na kimataifa

kwa uchache tu, kama kuna lililobaki tuongeze
 
Tapika hasira ili tujue kuwa umekasirika
 
Inawezekana unachosema kina ukweli lakini hakifanyi kauli za Mbowe kuwa sahihi.
Kama huwezi kukemea UFEDHULI wa Magufuli, huitakii mema nchi yetu. Muache Mbowe apaze sauti kama alivyopaza Zitto Kabwe, Anthony Dialo Vicky Kamata, Askofu Mwingira na Membe juu ya UHAYAWANI aliowafanyia.
 
Hapa namzungumzia Mbowe kutaka kuaminisha watu kuwa Magufuli alitesa watu wa huko! Huo ni ujinga wa hali ya juu!

Tuliwahi mkanya hapa jf ya kuwa kuanza kueleza yale yaliyotukia ni kufirisika kisiasa. Lkn kwa kuwa amechagua kutosikia ambacho wahenga wanachosema, basi kitakachomkuta 2025 ni halali yake.

Badala ya kujenga hoja, anapoteza muda wa kushughulika na wafu. Hiyo haisaidii, maana hamna anayeweza kujibu hilo.
 
CHADEMA kimekuwa chama cha ovyo sana. Ukabila unawaponza viongozi wa

Pelekeni orodhaya matatizo yenu Kanisani kama mlivyofanya jana
 

Akawapelekea na mradi mkubwa wa maji Same/Mwanga.

Ebu akaulize na miradi mingine yenye tija inayotumika na wananchi wakawaida maeneo hayo.

Upuuzi wa hawa watu is beyond me
Kawajengea kiwanda Cha bidhaaza ngozi kikubwa afrika mashariki wakati hata ufugaji wa mifugo ni kidogo sana.Magufuli anawachanganya kwa kazi kubwa aliyefanya kwa kipindi kifupi
 
umesema watu hawataki kutetea rekodi watu gani unaiongelea??
Tusipangiane cha kusema unaona uovu ni sawa mimi naona wema
wake ni sawa.
 
Mbowe moyoni anapogania utukufu wa wachaga

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
umesema watu hawataki kutetea rekodi watu gani unaiongelea??
Tusipangiane cha kusema unaona uovu ni sawa mimi naona wema
wake ni sawa.
Mjadala mzima hauna utetezi wa rekodi ya Magufuli, kulikoni?

Kusema kajenga flyover tu miaka 6 si kumtendea haki, Magufuli kafanya mengi sana

Moja ya mengi aliyofanya ni ku-control inflation na kurudisha nidhamu ya kazi. Hii ni rekodi lakini haiishii hapo, kuna haki za bunadamu, kujali upendo na utu, demokrasia, utawala bora, mashirikiano ya kikanda na kimataifa! n.k. hebu tujadili huko

Sikubaliani na watu wanaoweka flyover kama rekodi yake, hawamtendei haki wanamuonea tu.
 
Mwambieni Mbowe aache UPUMBAVU kauli hii ya kiongozi wa kitaifa inaonyesha jinsi watu wa Kaskazini walivyo wabinafsi na wabaguzi.
 
Tupe mifano ya ukatili wake.
Unawanyima maendeleo wananchi wako, hasa maji kisa wamechagua mbunge toka upinzani?!!na unawaambia kabisa ole wenu tena mumchague?!
Wananchi wako wanapotea/miili inaokotwa imefungwa kwenye viroba lakini rais wala hushituki!!
Unawaongopea wananchi wako kuwa hukopi pesa za mabeberu, kumbe unakopa!!
Wananchi wako wanakumbwa na baa la njaa kutokana na ukosefu wa mvua unawaambia wafe tu, serikali haina mashamba!!!lakini nchi jirani unatoa misaada!!
MUNGU FUNDI.
 
Ni ukweli wala hajakosea, mwendazake alitamka wazi kabisa.
Tena akaenda mbali zaidi na kuwavunjia nyumba zao kimare na mbezi huku akisema kule kisesa wasivunjiwe(wasukuma wenzake)

Yule jamaa alikuwa na roho kama koboko,
Anachomeka tu huko aliko
Hivi nyumba za Kimara na Mbezi zilizo vunjwa zilikuwa za wa kasikazini? Au zilikuwa za wa Pwani (Wazaramo, wakwere, wandengereko etc)!
Siku hizi mnaanza kujikatia sehemu zenu kwenye sehemu za umma! Yaani (China Land) - msifanye hayo mtanzania ana haki ya kukaa mahali popote.
Nyumba za Kimara na Mbezi zilizovunjwa zilikuwa za watu wa makabila tofauti.
 
Mbowe anatoa mtazamo, maoni na uzoefu wake na anayohaki hiyo ya kikatiba, na wewe unahaki ya kusema kwa nguvu zote kwamba Magufuli alikuwa mtu mzuri Sana period! Go public ni haki yako, sio kumlazimisha Mbowe amtukuze Jiwe wakati yeye anaona tofauti! Huna haki hiyo, anakosea au anapatia Hilo sio dhambi yako! NONSENSE
 
Kama huwezi kukemea UFEDHULI wa Magufuli, huitakii mema nchi yetu. Muache Mbowe apaze sauti kama alivyopaza Zitto Kabwe, Anthony Dialo Vicky Kamata, Askofu Mwingira na Membe juu ya UHAYAWANI aliowafanyia.
Kwani hii nchi ni ya wachaga tu
 
Tulia,[emoji382][emoji382][emoji381]Uhalisia ndo huo, aliua watu wa kilimanjaro(ben saanane) alivamia maduka ya fedha za kigeni mikoa ya arusha,kilimanjaro na dar ambayo yalikuwa ya wachaga, alifreeze account zao alivunja nyumba zao kimara_mbezi ambako wakaazi wake wengi ni toka uchagani
Hayo ni baadhi tu .
 
Anajificha kwenye haki huku anauchungu ndani yake mnafiki sana huyu mzee!

Anataka kupanda mbegu ya chuki za kikanda baina ya Watanzania. Mtu asiyejua kuthink big angalau akajiuliza na kuelewa Mh Rais anapo sema tumechora mstari mwekundu tuanze upya hiyo ni coded language utamsaidia vipi? Anasema amesamehe hana uchungu wakati maneno na matendo yanaonesha uchungu umemjaa tele na ni wazi akipata fursa ya kulipiza ataitumia vilivyo.

Maswali ya kumsaidia Mbowe anafikiri wakina Kiangalia na waaina hiyo they are short of options sio na walifanya hivyo kwa faida ya nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…