Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

Mbowe ajitajidi sana kujizuia kupenda kabila lake kuliko utanzania.. ajiepushe na kauli za ukabila na ukanda. Yeye ni mwenyekiti. Kauli yake ni kauli ya chama.
 
ipo mikoa zaidi ya 25 hapa TZ..kwanini mikoa inayolalama kuonewa ni miwili tu..yaaani mikoa yooote ilikuwa fairly treated isipokuwa Arusha na Moshi! Madai ya ajabu sana haya.
 
Mbowe ni kiongozi mshenzi, muongo na katili. Tatizo anaongoza nyumbu, watu wenye akili ndogo na wanafiki.
 
Ukweli huponya majeraha, na muasisi wa ubaguzi anajulikana Kwa matendo na maneno
 
Kabila la hovyo? Kila mahali wapo hata kijijin kwako kama sio mtaalam bas ni mfanyabiashara wa hovyo ni nyie wapanda mafisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…