christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Uwe muelewa nimesema sera zao sasa hizo kama hazikuwa sera zao kwa nini uzilete?Kuzuia mikutano ya nje ya vyama vya siasa ilikuwa ni moja ya sera yao?
Kusitisha mchakato wa katiba mpya ilikuwa ni moja ya sera yao?
Kuitupa kapuni sekta ya gesi kusini ilikuwa ni moja ya sera zao?
Sasa ulitaka awe kiongozi lege lege? Yule alikuwa kiongozi dumeTuwe wakweli Magufuri alikuwa kiongozi katili kwanini tuogope kusema ukweli.
Hatuna visasi mkuu, roho zetu nyeupe. Nyie tu na roho zenu mbaya.Kwa hiyo mnapambania mpate ikulu mlipize kisasi!
Huku ndio kuchanganyikiwa, kwahiyo magufuli ndio aliemvunja mguu mbowe?
Sasa ndugu yangu Ile barabara ingepanuliwaje? You guys are so selfish, kwamba watanzania ni Bora tuwe na barabara ya sentimita mbili ili kuwanufaisha nyie?
Yule ni mpare majina yasikupe jeuli tangu yule mpuuzi auwawe kipindi cha mkapa hakuna mchaga kupewa tenaKabila usilolipenda ndo unatoa huko mkuu wako wa usalama wa Taifa...mtu anaengalia usalama wako 24×7 kutoka kwa watu unaowachukia na kuwakandamiza...he must be crazy or tunayoambiwa ndo tuchanganye na zetu...
Gaidi hakutakiwa kuwa mtaani muda huu..nani alituma watu wamshambulie Mbowe?
..nani aliagiza Mbowe abambikiwe kesi ya ugaidi?
Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Sasa kuonea watu wa kaskazini kumeingiaje?..hakuna anayepinga barabara kupanuliwa.
..kinachopingwa ni kukataa kuwalipa fidia waliobomolewa nyumba zao ili kupisha mradi.
Unapoelekea utasema hadi vita ya Ukraine na Russia ni maelekezo yake...nani alituma watu wamshambulie Mbowe?
..nani aliagiza Mbowe abambikiwe kesi ya ugaidi?
Mbowe anaongea ukweli pamoja na kwamba sio wachagga tu japo wengi ni wao issue ni kwamba aliwachukia wafanya biashara wakubw walio chuma awamu zilizopita akiamini wezi hivyo ukiongea wafanya biashara kundi kubwa ni wao.ukweli usemwe mwendazake amevunja rekodi.kwamambo ya kikatili.Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Unawezaje kuita ubaguzi ingali umesema asonge mbele huoni Kama wewe mwenyewe Kuna kitu hautaki kuadmit?Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Kabila usilolipenda ndo unatoa huko mkuu wako wa usalama wa Taifa...mtu anaengalia usalama wako 24×7 kutoka kwa watu unaowachukia na kuwakandamiza...he must be crazy or tunayoambiwa ndo tuchanganye na zetu...
Ni ukweli usiofichika Magufuli alwachukia sana na watu wa Kilimanjaro na ArushaJitahidi kuvumilia ukweli hata kama unauma. Aliyekuwa anafanya huo uhayawani mliona yuko sawa, kwanini hamkumwambia matendo yake hayana afya kwa taifa?
Hakuna cha kuteleza, alichokisema kilikuwa rohoni mwake na chuki hiyo aliendelea nayo mudaHuoni kwamba magufuli alipenda watanzania wote? Ni ukweli zusiopingika kwamba kaskazini imeendelea Sana, Yani mkoa wa Kilimanjaro vijijini uko mbali kuliko manispaa nyingi Sana za mikoa mingine. Yamkini aliteleza lakini tumeshuhudia uboreshaji wa miundombini kaskanizi licha ya kwamba alisema msubiri kwanza. Hakuwahi kufika Nyasa lakini alipeleka meli na wala hakuahidi, Yule Mzee mumuache tu apumzike, amefanya makubwa Sana.
Hata kama unasamehe, uovu lazima ujulikane, usemwe.Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!