Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

Wahaya kibao wako NASA Marekani kibao itakuwa na huyo Askari mdogo jeshi la marekan

Hapo umeoneshwa tu jinsi wachaga walivyosambaa ulimwenguni, hajasema yupi ana nafasi nzuri zaidi ya mwingine, mmetawaliwa na wivu na chuki ya kishamba sana.
Kim poulsen anacheza timu ya taifa ya nje ni mdigo

Bado wadigo wana bondia mkubwa africa hawana kelele kimya

Nenda kigoma ukaone kila sekta wapo wapo kimya mpaka leo huyo mengi akafall on love na k lyin wa kigoma kaacha wachga wenzie

Tatizo nyie washamba ila wanawake wa kichaga wengi wanajishtukia kama hajaolewa utasikia wananikataa kisa mm mchaga hapo kweny ndoa kabila limekujaje 🤣🤣🤣
 
Magufuli,qliookuwa anachagua was kuwapekea maendeleo na kuwa bomolea nyumba mliona ni Mungu yupo kazini!
Bado nasisitiza nachukizwa sana na siasa zenye kupandikiza chuki.
Na sina mahaba kama wewe ulivyo legea kwa Mbowe ama Magufuli
 
Walitesa sana na kuonea makabila mengine maofisini kwa kupendeleana kwenye kila kitu kuanzia ajira,tenda nk

Mungu akamtumia Magufuli kujibu kilio cha wanyonge makabila mengine walioonewa nao
Piga hesabu ofisi3 fulani intership watoto 9 wote wanatoka arusha na Kilimanjaro 🥺🥺 na interview hawakufanya zilizopotoka ajira mwaka mmoja mbeleni balaa kwenye ajira nafasi 20 kumi walishachukua wao huku 10 mwapambanie kule utumishi
 
Kim poulsen anacheza timu ya taifa ya nje ni mdigo

Bado wadigo wana bondia mkubwa africa hawana kelele kimya

Nenda kigoma ukaone kila sekta wapo wapo kimya mpaka leo huyo mengi akafall on love na k lyin wa kigoma kaacha wachga wenzie

Tatizo nyie washamba ila wanawake wa kichaga wengi wanajishtukia kama hajaolewa utasikia wananikataa kisa mm mchaga hapo kweny ndoa kabila limekujaje 🤣🤣🤣

..Ni kwasababu hawajaandamwa kama inavyofanyika kwa Wachaga.

..Wangeandamwa ungewasikia wakitoa majibu ya hovyo, watoto wa mjini wanaita majibu ya kunya.
 
Jamaa alikuwa na roho mbaya na mkatili mno.. Limekufa na kuoza BTW, na wachagga tupo tunakula Maisha tu
 
..Ni kwasababu hawajaandamwa kama inavyofanyika kwa Wachaga.

..Wangeandamwa ungewasikia wakitoa majibu ya hovyo, watoto wa mjini wanaita majibu ya kunya.
Nyerere kuwaondolea viwanda ,kuua kila kitu tanga kaangalie kule tembea uone
 
..Nyerere hakuwa amelenga Wadigo, alikuwa amelenga wenye mashamba ya mkonge ambao walikuwa Wazungu, na wenye viwanda ambao walikuwa Wadosi.

..Nyerere pia aliwabania Wachaga nafasi za kuchaguliwa kwenda sekondari.

..matokeo yake wakaanza kuhamisha watoto kwenda mikoa mingine kufanya mtihani wa std 7, pia walianza kuficha majina.

..vilevile kukawa na muamko mkubwa wa kujenga sekondari za private.
 
HAKUFAA KUWA RAIS KWA UBINAFSI NA UPENDELEO WAKE ALIWATESA WANA WA ISRAEL WALILIA SANA KWA UCHUNGU, HAKUJUA LILE NI TAIFA LA MUNGU, KWAMBA ANASHINDANA NA MUNGU MWENYEWE /
 
Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
ni kweli kabisa utawala wa magufuli uliwabagua sana wachaga toka alivyochaguliwa hakuna maendeleo yoyote wala mirad aliyofanya cjui kwann alikuwa na ubaguzi,alisema majimbo yote yanayoongozwa na upinzani hatapeleka maendeleo, namnukuu mkurugenzi nimekuchagua mshahara nakulipa nyumba nakupa gar nakupa alafu utangaze mpinzani nakufukuza kazi,ww mwisho wakunukuu unafikiri hata kama ww utatangaza mpinzani kweli?
 
..Nyerere hakuwa amelenga Wadigo, alikuwa amelenga wenye mashamba ya mkonge ambao walikuwa Wazungu, na wenye viwanda ambao walikuwa Wadosi.

..Nyerere pia aliwabania Wachaga nafasi za kuchaguliwa kwenda sekondari.

..matokeo yake wakaanza kuhamisha watoto kwenda mikoa mingine kufanya mtihani wa std 7, pia walianza kuficha majina.

..vilevile kukawa na muamko mkubwa wa kujenga sekondari za private.

Vichekesho sana 🤣🤣🤣🤣wachaga ndo wabaguzi namba moja Tanzania

Nyerere alikusudia kuua tanga kwa vile ina waislamu na swala la kufeliishwa lilikuwa kwa waislamu mpaka kigoma malima alipoleta mfumo wa namba ndoa waislam wakaanza kufaulu

Wachagga ni wabaguzi magufuli alijua wengi wana vyeti fake na kuiba mitihani anakaja na vyeti fake 60% walikuwa wachaga hapa chuki ndo zilipoanza

Sasa mnaingizana kwa intership nyie wachaga chungeni sana
 
Moja ya henchman wa Magufuli alikuwa ni Sabaya wa Arusha. Asilitumie suala la Magufuli kikanda, anaharibu kama kiongozi wa upinzani.
 
Vichekesho sana 🤣🤣🤣🤣wachaga ndo wabaguzi namba moja Tanzania

Nyerere alikusudia kuua tanga kwa vile ina waislamu na swala la kufeliishwa lilikuwa kwa waislamu mpaka kigoma malima alipoleta mfumo wa namba ndoa waislam wakaanza kufaulu

Wachagga ni wabaguzi magufuli alijua wengi wana vyeti fake na kuiba mitihani anakaja na vyeti fake 60% walikuwa wachaga hapa chuki ndo zilipoanza

Sasa mnaingizana kwa intership nyie wachaga chungeni sana

..nakurudisha kwenye historia.

..tafuta habari utekelezaji wa " quota system " uliofanywa na wizara ya elimu walengwa walikuwa ni kina nani.

..Uchagani wapo Waislamu na wamepiga kitabu kwelikweli. Hawakumsubiri Kighoma Malima.
 
Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Vipi hajamzungumzia sabaya?
 
Piga hesabu ofisi3 fulani intership watoto 9 wote wanatoka arusha na Kilimanjaro [emoji3064][emoji3064] na interview hawakufanya zilizopotoka ajira mwaka mmoja mbeleni balaa kwenye ajira nafasi 20 kumi walishachukua wao huku 10 mwapambanie kule utumishi
Huu wako naona niuite ujinga, umetoka kabisa nje ya mada wewe na mjinga mwenzio mmeamua kuchepuka kwenda mnapopataka, wacheni ukabila wenu wa kijinga.

Hii mada inahusu madhila waliyofanyiwa wananchi wa mikoa ya K'njaro na Arusha wakati wa mwendazake, na mikoa hiyo ina makabila mengi sio wachaga pekee.

Sabaya na genge lake haramu wakati anafanya uhuni wao alikuwa haulizi kabila la mtu ndio amfanyie uhuni, alikuwa anafanya kwa wote wa mikoa hiyo bila kujali makabila yao.

Leo tukiuliza wangapi walifanyiwa unyama na Sabaya mikoa ya Arusha na K njaro nina hakika hawatajitokeza wachaga peke yao, na kwa huu ujinga wenu naamini hata anayewajibu hapa nae mkamuhisi ni mchaga!.

Sasa wewe na mjinga mwenzio nawashangaa kwa chuki zenu binafsi mmeamua kuwashambulia wachaga pekee kama vile huu uzi unawahusu wao, kisa hiyo kauli imetolewa na mchaga.

Mkumbuke huyo ni mwenyekiti wa Chadema, na Chadema kama chama cha siasa ni public property inawakilisha watu tofauti bila kujali rangi, kabila, na mengine yote, na Mbowe kama kiongozi wa chama anahusika kuwasemea wanachama wake.
 
..nakurudisha kwenye historia.

..tafuta habari utekelezaji wa " quota system " uliofanywa na wizara ya elimu walengwa walikuwa ni kina nani.

..Uchagani wapo Waislamu na wamepiga kitabu kwelikweli. Hawakumsubiri Kighoma Malima.
Wacha uongo wako wewe nyie wabaguzi sana eti uchagani wapo waliopiga2 kitabu wa ha uongo wewe kaanhalie wale waislamu walifutwa kwenye historia mnamjua bi titi nendeni sehemu za makumbusho ujue hata wakina shaban robert
 
Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
JPM hakuwatesa watu kilimanjaro na Arusha ila tabia zao ndo ziliwatesa
1)wizi na ufisadi
2)kubebana
3)ubinafsi na majivuni kuwa wao ndo wenye akili na mamesima mzee mramba aliulizwa kwanini? Bot wamejaa watu wa kaskazini akasema ndo wamesoma
4)wapiga dili wakubwa

Mbowe ajuwe kila kabila kwa sasa limejaa wasomi na wote ni Watanzania wana haki sawa kushika dhazifa muhimu.Kilimanjaro na Arusha anakodai hakuwapenda Je? Mtwara na Lindi watasemaje? Wao walifufuliwa hata reli hadi leo wanafurahia maisha,mradi wa maji mkubwa na migao ya shule na zahanati walipata aache unafka na kumbebesha lawama JPM kama yeye anachuki naye na bifu zao za kisiasa asems ya kwake
 
Huu wako naona niuite ujinga, umetoka kabisa nje ya mada wewe na mjinga mwenzio mmeamua kuchepuka kwenda mnapopataka, wacheni ukabila wenu wa kijinga.

Hii mada inahusu madhila waliyofanyiwa wananchi wa mikoa ya K'njaro na Arusha wakati wa mwendazake, na mikoa hiyo ina makabila mengi sio wachaga pekee.

Sabaya na genge lake haramu wakati anafanya uhuni wao alikuwa haulizi kabila la mtu ndio amfanyie uhuni, alikuwa anafanya kwa wote wa mikoa hiyo bila kujali makabila yao.

Leo tukiuliza wangapi walifanyiwa unyama na Sabaya mikoa ya Arusha na K njaro nina hakika hawatajitokeza wachaga peke yao.

Sasa wewe na mjinga mwenzio nashangaa kwa chuki zenu binafsi mmeamua kuwashambulia wachaga pekee kama vile huu uzi unawahusu wao, kisa hiyo kauli imetolewa na mchaga.

Mkumbuke huyo ni mwenyekiti wa Chadema, na Chadema kama chama cha siasa ni public property inawakilisha watu tofauti bila kujali rangi, kabila, na mengine yote, na Mbowe kama kiongozi wa chama anahusika kuwasemea wanachama wake.
Mjinga wewe wacha ufala
 
Back
Top Bottom