Eliufoo alikuwa mjumbe wa LEGCO .Akawa Mbunge wa Hai na Waziri wa Elimu kuanzia 1962..tatizo hamsomi HISTORIA.
..hicho chama kilianzishwa na makada wa Tanu akiwemo Solomon Eliufoo.
..na kilikuwa mahsusi kwa ajili ya siasa za Chagga Council.
..chama hicho ndicho kilichosaidia kuondolewa kwa nafasi ya Mangi Mkuu.
Alisema ''.. Watu wa kaskazini watusubiri'' Rais wa nchi hawezi kutoa kauli ya kibaguzi kama hiyoHapa SIKUBALIANI na wewe sambulugu. Magufuli alitaka kuharibu umoja wa Taifa letu kwa kuwagawa watu kiitikadi na kikabila. Alidiriki kusema kwenye mikutano kuwa hawezi kupeleka maendeleo kwenye majimbo yenye wabunge WAPINZANI.
Watu hawakuongea kwa simu, alirekodi kwa siri. Watu hawakuzungumzia chochote kwa kuogopa kupotezwa na wengi walipotea. Mfumo wa Watu wasiojulikana ume asisiwa na Magufuli aliwa na genge lake la akina Sabaya na Mkolomije . Rekodi ya Magufuli katika uhuru wa habari, wananchi n.k. ni mbaya. Tuweke rekodi yake sawaMagufuli alikandamiza demokrasia, aliminya uhuru wa maoni na vyombo huru vya habari. Magufuli aliitisha Mahakama na kuliongoza Bunge kwa remote control. Magufuli alikuwa anateka, anaua, ananya g'anya fedha za wafanyabiashara.
Kwa ushahidi wa kauli yake ''... Nani angeshinda uchaguzi kama si mimi'' aliwaambia Wabunge. Kuharibika kwa mfumo wa Mahakama ni zao la Magufuli akiwata watoze watu faini badala ya kusimamia sheria. Mwendesha mashtaka akageuka kuwa TRA. Tuweke rekodi yake sawaAmeiba uchaguzi wa S/Mitaa wa 2019, akaiba uchaguzi wa 2020 na kuweka wabunge anaowataka yeye ili wangekuwa kubadilisha Katiba kumruhusu kutawala Milele baada ya 2025, ila tushukuru sana Mungu kafanya yake mwaka Jana March 17.
Tunaambiwa kajenga barabara, SGR n.k. Vitu hivyo alijenga NyerereKwa maana hiyo LAZIMA tupaze sauti zifike mbali dhidi ya uhayawani na ufedhuli wote wa Magufuli mpaka Dunia ielewe kuwa tulikuwa tunatawaliwa na shetani.
Ukweli ni kuwa shetani huwa hachagui mtu wa ktendea uovu. Magufuli aliwatendea uovu watu wengi sana, labda alizidisha zaidi maeneo fulani, kama hayo ambayo wapinzani walikuwa na nguvu. Ndiyo maana maeneo kama hayo aliwapeleka majambazi kama Sabaya kuwa kiongozi.Makengeza kahamia kwenye ukanda na ukabila, Peter Zakaria aliyepigwa risasi Tarime alikuwa wa kilimanjaro au Arusha? Hili chama Cha wachaga shida sana
Ila kila nikikusoma naishia kucheka tuu! Natamani sana kujua mtu mwenye akili za aina yako anaweza kufananaje kimaumbile?Uko sahihi watanzania inabidi tuambiane ukweli wachaga waliendekeza sana ukabila na ukanda ndio maana Mungu alimleta Magufu asaidie kuupiga stop kwa manufaa ya nchi
Mbona Nyerere anazungumzwa kila siku kwa zaidi ya miaka 30 kwa rekodi yake!Hata kama unasamehe, uovu lazima ujulikane, usemwe.
Katika kumtendea haki, reko yake katika ; Utu, Haki, Uhuru wa Wananchi, vyombo vya habari, Umoja wa Kitaifa, mashirikiano ya kimataifa, Uzalendo n.k. vijadiliwe kwa uwaziNi vema maovu ya kupindukia yaliyofanywa na Magufuli yawekwe kwenye kumbukumbu kwaajili ya vizazi vijavyo ili mtu mwovu wa kiwango cha Magufuli, asitokee tena kwenye uongozi.
Tujue kama yalifanywa kwa yeye kutojua, kwa kukosa kujali au sehemu yake.Uovu kama ule wa kuasisi magenge ya kuteka watu, kuua, kutesa na kuwabambikia kesi watu wanaomkosoa, ulikuwa ni unyama na ushetani wa hali ya juu ambao hauwezi kuwepo kwenye iliyostaarabika.
Neno!Magufuli amekwishapata msamaha wa asili kwa maana marehemu hashtakiwi. Wanaotaja maovu yake ni kwaajili ya kumbukumbu tu.
Tunatakiwa tujifunze kama Taifa kupitia Historia za viongozi wetu wote akiwemo yeyeKila mtu ana mapungufu yake, lakiniuuaji, utesaji, na kubambikia watu kesi siyo mapungufu bali ni uovu uliofuta mazuri machache aliyoyafanya.
Dah... Nashangaa akili sana zenu....JPM is dead.....hayupo....na hata gombea uraisi....Sasa mbona mnapoteza muda kupambana na marehemu? Badala ya kutumia muda huu kupanga mikakati ya kuing'oa ccm madarakani? Au siyo lengo Sasa hivi kwasababu mmekaa karibu na bakuli la supu? Au ndiyo "shukrani" ? Kwa Mila za kiafrika kumsema vibaya marehemu Ni kujitafutia nuksi katika maisha.....na hizi "shukrani" zitamtokea mtu puani...kiasili tu...kikubwa pumzi🤭Jitahidi kuvumilia ukweli hata kama unauma. Aliyekuwa anafanya huo uhayawani mliona yuko sawa, kwanini hamkumwambia matendo yake hayana afya kwa taifa?
Ujinga uliopitiliza, Hayupo, ukatili wake unakusumbuaje? Nenda kalipie Tozo, baada ya hapo kumbuka cement imepanda 25k toka 17kTuwe wakweli Magufuri alikuwa kiongozi katili kwanini tuogope kusema ukweli.
Hawa watu humu ni waajabu sana. Kusema ukweli na wazi kuwa Magufuli aliharibu hawataki kabisa, lakini utasikia wanasema;Hapa SIKUBALIANI na wewe sambulugu. Magufuli alitaka kuharibu umoja wa Taifa letu kwa kuwagawa watu kiitikadi na kikabila. Alidiriki kusema kwenye mikutano kuwa hawezi kupeleka maendeleo kwenye majimbo yenye wabunge WAPINZANI.
Magufuli alikandamiza demokrasia, aliminya uhuru wa maoni na vyombo huru vya habari. Magufuli aliitisha Mahakama na kuliongoza Bunge kwa remote control. Magufuli alikuwa anateka, anaua, ananya g'anya fedha za wafanyabiashara.
Ameiba uchaguzi wa S/Mitaa wa 2019, akaiba uchaguzi wa 2020 na kuweka wabunge anaowataka yeye ili wangekuwa kubadilisha Katiba kumruhusu kutawala Milele baada ya 2025, ila tushukuru sana Mungu kafanya yake mwaka Jana March 17.
Kwa maana hiyo LAZIMA tupaze sauti zifike mbali dhidi ya uhayawani na ufedhuli wote wa Magufuli mpaka Dunia ielewe kuwa tulikuwa tunatawaliwa na shetani.
Sabaya alikuwa na nguvu sana kuliko viongozi wakubwa wa kitaifaUkweli ni kuwa shetani huwa hachagui mtu wa ktendea uovu. Magufuli aliwatendea uovu watu wengi sana, labda alizidisha zaidi maeneo fulani, kama hayo ambayo wapinzani walikuwa na nguvu. Ndiyo maana maeneo kama hayo aliwapeleka majambazi kama Sabaya kuwa kiongozi.
Watanzania waliogopa kusema kifua kinauma. Kila aliyefariki alisingiziwa ''high blood pressure'' kwasababu Magufuli hataki kusika COVID.Kwa ujumla Magufuli alikuwa kiongozi mbaya kwa Taifa zima. Ni wajinga wachache ambao uelewa wao ni mdogo kupindukia ndio wanaoamini kuwa alikuwa kiongpzi mzuri.
Mtu aliyeua watu, kutesa, kuteka, na kubambikia watu kesi.
Mtu aliyeangusha ukuaji wa uwekezaji toka 28% mpaka 4%.
Mtu aliyeangusha ukuaji wa utalii toka 15% mpaka 3.6%.
Mtu aliyeangusha mauzo ya nje ya mazo ya kilimo kwa 50%.
Mtu aliyeharibu mahusiano ya kimataifa.
Mtu aliyeongoza bila kufuata sheria wala katiba.
Mtu aliyevuruga uchaguzi mkuu, na kuteua watu wake wasioweza kuhoji kuwa wabunge.
Waziri Mwigulu ni shahidi jinsi mabenki yalivyokuwa hoi!KUBWA ALILOFANIKISHA ni kuwapumbaza wajinga, wenye akili haba, waamini kuwa nchi ilikuwa inapaa. Ndiyo maana mpaka leo, wapo wajinga wanaoamini alifanya vizuri sana mpaka nchi kuingia uchumi wakati, bila kujua kwamba mchango mkubwa zaidi ulikuwa wa mkapa aliyeongeza wastani wa pato kwa kiasi cha dola 400, Kikwete dola 320, wakati Magufuli aliongeza dola 80 tu.
Punguani cement ni bora kuliko uhai,amani ktk watu?Ujinga uliopitiliza, Hayupo, ukatili wake unakusumbuaje? Nenda kalipie Tozo, baada ya hapo kumbuka cement imepanda 25k toka 17k
Kuna hoja hapaDah... Nashangaa akili sana zenu....JPM is dead.....hayupo....na hata gombea uraisi....Sasa mbona mnapoteza muda kupambana na marehemu? Badala ya kutumia muda huu kupanga mikakati ya kuing'oa ccm madarakani? Au siyo lengo Sasa hivi kwasababu mmekaa karibu na bakuli la supu? Au ndiyo "shukrani" ? Kwa Mila za kiafrika kumsema vibaya marehemu Ni kujitafutia nuksi katika maisha.....na hizi "shukrani" zitamtokea mtu puani...kiasili tu...kikubwa pumzi🤭
Nadhani kitu usichokijua usikimbilie kucomment au kushare.Ni vizuri kukaa kimya kwa sababu hujui na hakuna atakayekuita mjinga.Utawala uliwatesaje?
Kwamba Magufuli alikua anaua, anafunga na kuwapoteza watu wa Arusha na Kilimanjaro?
Kitu mbowe hana hua ni reasoning. Mbowe hutanguliza hisia kuliko uhalisia.
Magufuli aliwatesaje watu wa Kilimanjaro na Arusha?
Magufuli angekua anawatesa na kuwachukia watu wa Kilimanjaro na Arusha angempa mkuu wa Usalama wake kutoka Kilimanjaro?
Vyama vingine ni vya kitapeli tu.
Wajaluo waliotoa Raisi wa Marekani na mirisasi Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa Marekani Barak Obama mbona wametulia tu hawajidai wala hawana mbwembwe sembuse hicho kiaskari cheo cha chini makabila mengi yanatafuta fursa nje sema kelele.hawana kama wachaga
Inashangaza agenda hawana ndio sababuTunataka Mbowe na CHADEMA watuambie watanzania watalifanyia nini taifa hili endapo watapata madaraka ya kuongoza nchi. Haya mengine ni utumbo kama utumbo!
Marekani Hakuna upendeleo. Kila mwenye sifa anayo nafasi sawa.Wajaluo waliotoa Raisi wa Marekani na mirisasi Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa Marekani Barak Obama mbona wametulia tu hawajidai wala hawana mbwembwe sembuse hicho kiaskari cheo cha chini makabila mengi yanatafuta fursa nje sema kelele.hawana kama wachaga
Daraja la mto wami mzee wa watu alianzisha ujenzi bado wanamwita hawapendi! Wapumbavu kweli hawa na Makengeza wao!JPM hakuwatesa watu kilimanjaro na Arusha ila tabia zao ndo ziliwatesa
1)wizi na ufisadi
2)kubebana
3)ubinafsi na majivuni kuwa wao ndo wenye akili na mamesima mzee mramba aliulizwa kwanini? Bot wamejaa watu wa kaskazini akasema ndo wamesoma
4)wapiga dili wakubwa
Mbowe ajuwe kila kabila kwa sasa limejaa wasomi na wote ni Watanzania wana haki sawa kushika dhazifa muhimu.Kilimanjaro na Arusha anakodai hakuwapenda Je? Mtwara na Lindi watasemaje? Wao walifufuliwa hata reli hadi leo wanafurahia maisha,mradi wa maji mkubwa na migao ya shule na zahanati walipata aache unafka na kumbebesha lawama JPM kama yeye anachuki naye na bifu zao za kisiasa asems ya kwake
Labda Mbeya huko sawa! Ila ajue kabisa akiendelea na maneno haya atajipotezea umaarufu!
Sasa cheti feki alafu unataka apewe mshahara?Ni kweli nadhani The state hawakuona roho ya jpm!!jpm alikuwa keshaharibika kisaikolojia Sasa sijui kwanini hawakuona aiseh!!makovu yale hayatasahaulika!!hapa kuna mzee kapanga KWANGU like sakata la vyeti feki halikumwacha sawa sawa!!Sasa hivi ana dege dege nimemkuta asubuhi HII kaangukia KWENYE Banda la kuku aiseh!!!!anakata roho pole pole!!
Huyo Peter zakaria humjui ni mtu mshenzi alishatesa watu sana! Je leo unamuona anapiga watu tena kwenye vibasi vyake?Peter zakaria alipigwa risasi?ficha ujinga wako kma hujui kitu uliza uambiwe peter zakaria alimpiga risasi tiss alietumwa kummaliza na jamaa kaparalize toka kiunoni anatembea na wheelchair
Yani wakija MWANZA lazima watafute ukumbi wa mchaga mwenzao wapumbavu sana!Marekani Hakuna upendeleo. Kila mwenye sifa anayo nafasi sawa.
Lakini ndani ya CDM mchagga Ni daraja la kwanza na wengine Ni daraja la pili hasa linapokuja suala la maslahi na fursa.
Mpaka madereva wa chama Ni Wachagga aisee. Mbowe akisafiri kwenda Mwanza anafikia kwenye hostel ya mchagga🤣
View attachment 2157422
View attachment 2157423