Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

..tatizo hamsomi HISTORIA.

..hicho chama kilianzishwa na makada wa Tanu akiwemo Solomon Eliufoo.

..na kilikuwa mahsusi kwa ajili ya siasa za Chagga Council.

..chama hicho ndicho kilichosaidia kuondolewa kwa nafasi ya Mangi Mkuu.
Eliufoo alikuwa mjumbe wa LEGCO .Akawa Mbunge wa Hai na Waziri wa Elimu kuanzia 1962
Eliufoo alifariki 1971
 
Hapa SIKUBALIANI na wewe sambulugu. Magufuli alitaka kuharibu umoja wa Taifa letu kwa kuwagawa watu kiitikadi na kikabila. Alidiriki kusema kwenye mikutano kuwa hawezi kupeleka maendeleo kwenye majimbo yenye wabunge WAPINZANI.
Alisema ''.. Watu wa kaskazini watusubiri'' Rais wa nchi hawezi kutoa kauli ya kibaguzi kama hiyo
Hao wananchi wanakosa gani? Nini alichokiona na kutangaza mbele ya hadhara ?

Kukataa kupeleka maendeleo kwa watu wanaokusanya kodi ni ukataili na ubaguzi
Watetezi wa Magufuli hawaongelei rekodi yake mbaya sana ya kubomoa umoja wa kitaifa
Mijadala ya hovyo haikuwahi kutokea hadi pale Magufuli alipoingia madarakani na kupanda mbegu hii, lazima tikemee na rekodi yake iweke sawa.
Magufuli alikandamiza demokrasia, aliminya uhuru wa maoni na vyombo huru vya habari. Magufuli aliitisha Mahakama na kuliongoza Bunge kwa remote control. Magufuli alikuwa anateka, anaua, ananya g'anya fedha za wafanyabiashara.
Watu hawakuongea kwa simu, alirekodi kwa siri. Watu hawakuzungumzia chochote kwa kuogopa kupotezwa na wengi walipotea. Mfumo wa Watu wasiojulikana ume asisiwa na Magufuli aliwa na genge lake la akina Sabaya na Mkolomije . Rekodi ya Magufuli katika uhuru wa habari, wananchi n.k. ni mbaya. Tuweke rekodi yake sawa
Ameiba uchaguzi wa S/Mitaa wa 2019, akaiba uchaguzi wa 2020 na kuweka wabunge anaowataka yeye ili wangekuwa kubadilisha Katiba kumruhusu kutawala Milele baada ya 2025, ila tushukuru sana Mungu kafanya yake mwaka Jana March 17.
Kwa ushahidi wa kauli yake ''... Nani angeshinda uchaguzi kama si mimi'' aliwaambia Wabunge. Kuharibika kwa mfumo wa Mahakama ni zao la Magufuli akiwata watoze watu faini badala ya kusimamia sheria. Mwendesha mashtaka akageuka kuwa TRA. Tuweke rekodi yake sawa
Kwa maana hiyo LAZIMA tupaze sauti zifike mbali dhidi ya uhayawani na ufedhuli wote wa Magufuli mpaka Dunia ielewe kuwa tulikuwa tunatawaliwa na shetani.
Tunaambiwa kajenga barabara, SGR n.k. Vitu hivyo alijenga Nyerere

Tumeambiwa anatumia pesa za ndani, leo tunajua tuna madeni makubwa ya Taifa

Rekodi ya Magufuli katika utu ni ya kujiuliza. Watu wanaokotwa bharini, kwenye mifereji tunaambiwa wametoka South Africa.

Uwepo wa Genge la Sabaya na Makonda na wasiojulikana ni zao la Magufuli.

Pesa za kununua ndege hazikupitia mfumo wa nchi, hatujui zimetumikaje akishirikiana na mtoto wa dada yake. Magufuli aligeuza hazina kama mali binafsi.
Aliua taasisi kama vyombo vya habari, Bunge na idara nyingine muhimu za nchi.

Tuweke rekodi sawa!

JokaKuu
 
Makengeza kahamia kwenye ukanda na ukabila, Peter Zakaria aliyepigwa risasi Tarime alikuwa wa kilimanjaro au Arusha? Hili chama Cha wachaga shida sana
Ukweli ni kuwa shetani huwa hachagui mtu wa ktendea uovu. Magufuli aliwatendea uovu watu wengi sana, labda alizidisha zaidi maeneo fulani, kama hayo ambayo wapinzani walikuwa na nguvu. Ndiyo maana maeneo kama hayo aliwapeleka majambazi kama Sabaya kuwa kiongozi.

Kwa ujumla Magufuli alikuwa kiongozi mbaya kwa Taifa zima. Ni wajinga wachache ambao uelewa wao ni mdogo kupindukia ndio wanaoamini kuwa alikuwa kiongpzi mzuri.

Mtu aliyeua watu, kutesa, kuteka, na kubambikia watu kesi.

Mtu aliyeangusha ukuaji wa uwekezaji toka 28% mpaka 4%.

Mtu aliyeangusha ukuaji wa utalii toka 15% mpaka 3.6%.

Mtu aliyeangusha mauzo ya nje ya mazo ya kilimo kwa 50%.

Mtu aliyeharibu mahusiano ya kimataifa.

Mtu aliyeongoza bila kufuata sheria wala katiba.

Mtu aliyevuruga uchaguzi mkuu, na kuteua watu wake wasioweza kuhoji kuwa wabunge.

KUBWA ALILOFANIKISHA ni kuwapumbaza wajinga, wenye akili haba, waamini kuwa nchi ilikuwa inapaa. Ndiyo maana mpaka leo, wapo wajinga wanaoamini alifanya vizuri sana mpaka nchi kuingia uchumi wakati, bila kujua kwamba mchango mkubwa zaidi ulikuwa wa mkapa aliyeongeza wastani wa pato kwa kiasi cha dola 400, Kikwete dola 320, wakati Magufuli aliongeza dola 80 tu.
 
Uko sahihi watanzania inabidi tuambiane ukweli wachaga waliendekeza sana ukabila na ukanda ndio maana Mungu alimleta Magufu asaidie kuupiga stop kwa manufaa ya nchi
Ila kila nikikusoma naishia kucheka tuu! Natamani sana kujua mtu mwenye akili za aina yako anaweza kufananaje kimaumbile?
Hakika nikikukuta wewe au picha yako unafanana na ng'ombe siwezi shangaa! Huwa reasoning yako sio ya kawaida hata kidogo
 
Hata kama unasamehe, uovu lazima ujulikane, usemwe.
Mbona Nyerere anazungumzwa kila siku kwa zaidi ya miaka 30 kwa rekodi yake!
Ni vema maovu ya kupindukia yaliyofanywa na Magufuli yawekwe kwenye kumbukumbu kwaajili ya vizazi vijavyo ili mtu mwovu wa kiwango cha Magufuli, asitokee tena kwenye uongozi.
Katika kumtendea haki, reko yake katika ; Utu, Haki, Uhuru wa Wananchi, vyombo vya habari, Umoja wa Kitaifa, mashirikiano ya kimataifa, Uzalendo n.k. vijadiliwe kwa uwazi
Hatuwezi kuishi na kauli za flyover na SGR kama rekodi yake, la hasha! tujadili kwa ujumla
Uovu kama ule wa kuasisi magenge ya kuteka watu, kuua, kutesa na kuwabambikia kesi watu wanaomkosoa, ulikuwa ni unyama na ushetani wa hali ya juu ambao hauwezi kuwepo kwenye iliyostaarabika.
Tujue kama yalifanywa kwa yeye kutojua, kwa kukosa kujali au sehemu yake.
Magufuli amekwishapata msamaha wa asili kwa maana marehemu hashtakiwi. Wanaotaja maovu yake ni kwaajili ya kumbukumbu tu.
Neno!
Kila mtu ana mapungufu yake, lakiniuuaji, utesaji, na kubambikia watu kesi siyo mapungufu bali ni uovu uliofuta mazuri machache aliyoyafanya.
Tunatakiwa tujifunze kama Taifa kupitia Historia za viongozi wetu wote akiwemo yeye
Nyerere kila siku anasemwa , Magufuli aliyekuwa kiongozi wetu hana tofauti , rekodi yake iwekwe sawa bila kumuonea au kumhurumia. Muda wa kudanganyana na flyover umekwisha sasa twende na rekodi
 
Jitahidi kuvumilia ukweli hata kama unauma. Aliyekuwa anafanya huo uhayawani mliona yuko sawa, kwanini hamkumwambia matendo yake hayana afya kwa taifa?
Dah... Nashangaa akili sana zenu....JPM is dead.....hayupo....na hata gombea uraisi....Sasa mbona mnapoteza muda kupambana na marehemu? Badala ya kutumia muda huu kupanga mikakati ya kuing'oa ccm madarakani? Au siyo lengo Sasa hivi kwasababu mmekaa karibu na bakuli la supu? Au ndiyo "shukrani" ? Kwa Mila za kiafrika kumsema vibaya marehemu Ni kujitafutia nuksi katika maisha.....na hizi "shukrani" zitamtokea mtu puani...kiasili tu...kikubwa pumzi🤭
 
Tuwe wakweli Magufuri alikuwa kiongozi katili kwanini tuogope kusema ukweli.
Ujinga uliopitiliza, Hayupo, ukatili wake unakusumbuaje? Nenda kalipie Tozo, baada ya hapo kumbuka cement imepanda 25k toka 17k
 
Hapa SIKUBALIANI na wewe sambulugu. Magufuli alitaka kuharibu umoja wa Taifa letu kwa kuwagawa watu kiitikadi na kikabila. Alidiriki kusema kwenye mikutano kuwa hawezi kupeleka maendeleo kwenye majimbo yenye wabunge WAPINZANI.

Magufuli alikandamiza demokrasia, aliminya uhuru wa maoni na vyombo huru vya habari. Magufuli aliitisha Mahakama na kuliongoza Bunge kwa remote control. Magufuli alikuwa anateka, anaua, ananya g'anya fedha za wafanyabiashara.

Ameiba uchaguzi wa S/Mitaa wa 2019, akaiba uchaguzi wa 2020 na kuweka wabunge anaowataka yeye ili wangekuwa kubadilisha Katiba kumruhusu kutawala Milele baada ya 2025, ila tushukuru sana Mungu kafanya yake mwaka Jana March 17.

Kwa maana hiyo LAZIMA tupaze sauti zifike mbali dhidi ya uhayawani na ufedhuli wote wa Magufuli mpaka Dunia ielewe kuwa tulikuwa tunatawaliwa na shetani.
Hawa watu humu ni waajabu sana. Kusema ukweli na wazi kuwa Magufuli aliharibu hawataki kabisa, lakini utasikia wanasema;
Mama analiponya taifa, jee limeugua wapi? Hawasemi.
Mama anarudisha mahusiano kimataifa, jee yaliharibikia wapi? Hawasemi.
Mama ni mfariji wa kweli, jee nani kawapa dhiki ikastahili mpewe faraja? Hawasemi.
Mama ameleta furaha kwenye taifa, jee hiyo hudhuni kaileta nani? Hawamtaji.

Leo hii ni sherehe kila mahali "siku 365 za Samia" mpaka unajiuliza sherehe hizi za "kupata uhuru" tulikuwa kwa mkoloni yupi? Maana kuna shangwe kubwa kwa wanaccm leo kuliko hata ile ya 9 Desemba. Lakini kusema UKWELI kuwa utawala uliopita ni mbovu sana hawataki kusema. Unafiki mtupu!
Magufuli alipata kusema nyie kaskazini mna maendeleo sasa mtasubiri sana ili wengine nao wayapate! What a statement? Yaani ukusanye kodi kwao na usiwahudumie ili upeleke maendeleo Ruangwa ambako watu hawataki kufanya kazi bali wanacheza Bao mchana kutwa?
Huo ni upuuzi mkubwa!
 
Ukweli ni kuwa shetani huwa hachagui mtu wa ktendea uovu. Magufuli aliwatendea uovu watu wengi sana, labda alizidisha zaidi maeneo fulani, kama hayo ambayo wapinzani walikuwa na nguvu. Ndiyo maana maeneo kama hayo aliwapeleka majambazi kama Sabaya kuwa kiongozi.
Sabaya alikuwa na nguvu sana kuliko viongozi wakubwa wa kitaifa
Kwa ujumla Magufuli alikuwa kiongozi mbaya kwa Taifa zima. Ni wajinga wachache ambao uelewa wao ni mdogo kupindukia ndio wanaoamini kuwa alikuwa kiongpzi mzuri.

Mtu aliyeua watu, kutesa, kuteka, na kubambikia watu kesi.

Mtu aliyeangusha ukuaji wa uwekezaji toka 28% mpaka 4%.

Mtu aliyeangusha ukuaji wa utalii toka 15% mpaka 3.6%.

Mtu aliyeangusha mauzo ya nje ya mazo ya kilimo kwa 50%.

Mtu aliyeharibu mahusiano ya kimataifa.

Mtu aliyeongoza bila kufuata sheria wala katiba.

Mtu aliyevuruga uchaguzi mkuu, na kuteua watu wake wasioweza kuhoji kuwa wabunge.
Watanzania waliogopa kusema kifua kinauma. Kila aliyefariki alisingiziwa ''high blood pressure'' kwasababu Magufuli hataki kusika COVID.

Tukapata ugonjwa mpya unaoitwa changamoto ya kupumua! Tukaonekana vituko mbele ya uso wa dunia.

Magufuli akakataa chanjo kwa imani zake tu, akiwataka Watanzania mamilioni kuchemsha miti iliyoota kwenye kumbi za nyumba zao.

Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili ikajenga mtambo wa kufukiza mitishamba.

Wataalam wakatengeneza NIMR Cafe, Mawaziri wakifakamia maji ya michachi kule Antanarivo. Hayo yote yalifanywa na uongozi wa Magufuli na aliyasimamia
KUBWA ALILOFANIKISHA ni kuwapumbaza wajinga, wenye akili haba, waamini kuwa nchi ilikuwa inapaa. Ndiyo maana mpaka leo, wapo wajinga wanaoamini alifanya vizuri sana mpaka nchi kuingia uchumi wakati, bila kujua kwamba mchango mkubwa zaidi ulikuwa wa mkapa aliyeongeza wastani wa pato kwa kiasi cha dola 400, Kikwete dola 320, wakati Magufuli aliongeza dola 80 tu.
Waziri Mwigulu ni shahidi jinsi mabenki yalivyokuwa hoi!

JokaKuu
 
Dah... Nashangaa akili sana zenu....JPM is dead.....hayupo....na hata gombea uraisi....Sasa mbona mnapoteza muda kupambana na marehemu? Badala ya kutumia muda huu kupanga mikakati ya kuing'oa ccm madarakani? Au siyo lengo Sasa hivi kwasababu mmekaa karibu na bakuli la supu? Au ndiyo "shukrani" ? Kwa Mila za kiafrika kumsema vibaya marehemu Ni kujitafutia nuksi katika maisha.....na hizi "shukrani" zitamtokea mtu puani...kiasili tu...kikubwa pumzi🤭
Kuna hoja hapa

Watu wanataka kubadilisha au kupindua rekodi. Kama kweli kuna maneno kayasema Mbowe maana sijui kama kasema, basi hakusema uongo. Iwe kweli au uongo , tunabaki na ukweli kuwa Magufuli alikuwa na chuki na Uabguzi. Rejea kauli yake dhidi ya 'maendeleo kutopelekwa kwa Wapinzani, na ile ya mikoa ya kaskazini isubiri''. Hizo ni baadhi tu ya kauli zisizofaa kutolewa na kiongozi wa nchi.
Ni kauli zilizolenga kuligawa Taifa na huo ni ubaguzi.

Pili, Magufuli hasemwi, inaongelewa rekodi yake kama tunavyoongelea ya Mwalimu Nyerere na Mzee Mkapa. Unapokuwa kiongozi wa nchi unakuwa na privileges' nyingi lakini pia unapoteza baadhi ya mambo na moja ni hili la kusemwa kwa rekodi.

Nyerere anasemwa kila siku kwa mambo kadha wa kadha, hatujasikia watu ukiwemo wewe kukemea hilo. Ndivyo ilivyo kwa Mzee Mkapa pia, sasa Magufuli ana tofauti gani!

Kinachofanyika hapa ni kuweka rekodi yake sawa. Mbona tukiamabiwa SGR na Flyover hujakemea watu wakae kimya. Kuweka kumbukumbu na rekodi yake ni muhimu sana kama Taifa.

Tunajifunza uthubutu wake wa kutenda lakini pia upande wa giza katika uongozi wake
 
Utawala uliwatesaje?

Kwamba Magufuli alikua anaua, anafunga na kuwapoteza watu wa Arusha na Kilimanjaro?

Kitu mbowe hana hua ni reasoning. Mbowe hutanguliza hisia kuliko uhalisia.

Magufuli aliwatesaje watu wa Kilimanjaro na Arusha?

Magufuli angekua anawatesa na kuwachukia watu wa Kilimanjaro na Arusha angempa mkuu wa Usalama wake kutoka Kilimanjaro?

Vyama vingine ni vya kitapeli tu.
Nadhani kitu usichokijua usikimbilie kucomment au kushare.Ni vizuri kukaa kimya kwa sababu hujui na hakuna atakayekuita mjinga.

Aliyefanyiwa ndiye anayesema, wewe unasema hakufanyiwa.Na wapo wengi Arusha na Kilimanjaro walioteswa na kunyanganywa mali zao na kutendewa vitu vya ajabu na wengine walikufa kwa shinikizo la damu.Wewe unasema ukanda.Think twice na usituchefue.
 
MoseKing,

..Mchaga askari wa Marekani.

..wao maisha na kazi ni popote pale.

Wajaluo waliotoa Raisi wa Marekani na mirisasi Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa Marekani Barak Obama mbona wametulia tu hawajidai wala hawana mbwembwe sembuse hicho kiaskari cheo cha chini makabila mengi yanatafuta fursa nje sema kelele.hawana kama wachaga
 
Tunataka Mbowe na CHADEMA watuambie watanzania watalifanyia nini taifa hili endapo watapata madaraka ya kuongoza nchi. Haya mengine ni utumbo kama utumbo!
Inashangaza agenda hawana ndio sababu
 
Wajaluo waliotoa Raisi wa Marekani na mirisasi Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa Marekani Barak Obama mbona wametulia tu hawajidai wala hawana mbwembwe sembuse hicho kiaskari cheo cha chini makabila mengi yanatafuta fursa nje sema kelele.hawana kama wachaga
Marekani Hakuna upendeleo. Kila mwenye sifa anayo nafasi sawa.

Lakini ndani ya CDM mchagga Ni daraja la kwanza na wengine Ni daraja la pili hasa linapokuja suala la maslahi na fursa.

Mpaka madereva wa chama Ni Wachagga aisee. Mbowe akisafiri kwenda Mwanza anafikia kwenye hostel ya mchagga🤣

Screenshot_2022-03-19-13-01-17-302_com.twitter.android.png

Screenshot_2022-03-19-13-01-08-663_com.twitter.android.png
 
JPM hakuwatesa watu kilimanjaro na Arusha ila tabia zao ndo ziliwatesa
1)wizi na ufisadi
2)kubebana
3)ubinafsi na majivuni kuwa wao ndo wenye akili na mamesima mzee mramba aliulizwa kwanini? Bot wamejaa watu wa kaskazini akasema ndo wamesoma
4)wapiga dili wakubwa

Mbowe ajuwe kila kabila kwa sasa limejaa wasomi na wote ni Watanzania wana haki sawa kushika dhazifa muhimu.Kilimanjaro na Arusha anakodai hakuwapenda Je? Mtwara na Lindi watasemaje? Wao walifufuliwa hata reli hadi leo wanafurahia maisha,mradi wa maji mkubwa na migao ya shule na zahanati walipata aache unafka na kumbebesha lawama JPM kama yeye anachuki naye na bifu zao za kisiasa asems ya kwake
Daraja la mto wami mzee wa watu alianzisha ujenzi bado wanamwita hawapendi! Wapumbavu kweli hawa na Makengeza wao!
 
Labda Mbeya huko sawa! Ila ajue kabisa akiendelea na maneno haya atajipotezea umaarufu!

Unajuwa linalosemwa lipo na kama halipo linakuja...
Nakukumbusha machache moja siku aliposema why watalii wote wanaenda kaskazini na from that point aka anza mipango kuhakikisha utalii unaenda mikoa mingine jambo ambalo hakulijuwa nikuwa watu wakaskazin wameujenga utalii kwa dam na nyama na jambo lakutisha kabisa hata watalii wanapenda tabia za watu wale ukarimu.,
Pili niku tamani kama Kilimanjaro mountain ahumishe.
Njoo kwenye biashara yani naomba niishie hapo ila ushauri wangu watu wa kaskazini wajipange kujilinda wasije potea mnakumbuka mkuu wa mkoa mmoja alipiga matufuku vyama vyama vya wachaga ktk mkoa wake nahakufanywa kitu?.... Chuki chuki
 
Ni kweli nadhani The state hawakuona roho ya jpm!!jpm alikuwa keshaharibika kisaikolojia Sasa sijui kwanini hawakuona aiseh!!makovu yale hayatasahaulika!!hapa kuna mzee kapanga KWANGU like sakata la vyeti feki halikumwacha sawa sawa!!Sasa hivi ana dege dege nimemkuta asubuhi HII kaangukia KWENYE Banda la kuku aiseh!!!!anakata roho pole pole!!
Sasa cheti feki alafu unataka apewe mshahara?
 
Peter zakaria alipigwa risasi?ficha ujinga wako kma hujui kitu uliza uambiwe peter zakaria alimpiga risasi tiss alietumwa kummaliza na jamaa kaparalize toka kiunoni anatembea na wheelchair
Huyo Peter zakaria humjui ni mtu mshenzi alishatesa watu sana! Je leo unamuona anapiga watu tena kwenye vibasi vyake?
 
Marekani Hakuna upendeleo. Kila mwenye sifa anayo nafasi sawa.

Lakini ndani ya CDM mchagga Ni daraja la kwanza na wengine Ni daraja la pili hasa linapokuja suala la maslahi na fursa.

Mpaka madereva wa chama Ni Wachagga aisee. Mbowe akisafiri kwenda Mwanza anafikia kwenye hostel ya mchagga🤣

View attachment 2157422

View attachment 2157423
Yani wakija MWANZA lazima watafute ukumbi wa mchaga mwenzao wapumbavu sana!
 
Back
Top Bottom