Mbowe: Waliokimbia CHADEMA watarudi, tutawasamehe dhambi zao

sioni kama haya maneno yanaakisi uhalisia.na sitegemei kama cdm hii itakuja kuwa chama bora kwa tanzania kwa kuwa pia hakiaisi uwakilishi wa nchi hii bali wa kanda fulani hivi.
 
Gia hii ni ya kuwasamehe kina mdee!

Vipi sura zenu mtaficha wapi na matusi mliyowatukana?
 
Mbowe ni kichwa Sana mnaweza kumfikiria mumfikiriavyo lkn mwisho wa siku anaibukaga mshindi,anamsemo wake anaoutumiaga kuwa mtaji wa chama cha siasa ni watu alafu chama chako hutaki watu,, unawazimu!!
Ndio hapo sasa utashangaa hawa nyumbu wake wa humu wanawatukana kina Mdee!

Ila mwenyekiti kasoma mchezo na kaona umuhimu wa wale kina mama ndio maana ameanza kubadili gia angani tena
 
Subiri uone show!

Tukiwambia nyie watu mnazungushwaga tu na kugezwa kama chapati mnabisha.

Mbowe akili kubwa yule
Leo ndio unakiri kuwa Mbowe ni akili kubwa eeegh? Saafi anawachezesha ngoma msiyoweza kuicheza. Na wakiwarudisha nataka uendelee kumsifia Halima na wenzie kama mlivyokuwa mnafanya
 
The "wiseass" at his best. Kudos Mbowe!
 
Leo ndio unakiri kuwa Mbowe ni akili kubwa eeegh? Saafi anawachezesha ngoma msiyoweza kuicheza. Na wakiwarudisha nataka uendelee kumsifia Halima na wenzie kama mlivyokuwa mnafanya
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hapo unadhani Halima na wenzie wakisamehewa nani ni loser?

Mbowe ana bahati sana kutawala nyumbu aisee
 
Unaakili kubwa sana, Daudi alisamehewa kwa kosa la Kumuuwa Uria kwa kumpeleka front line kwenye mapambano ya vita, Baada ya kulala na mke wake na kumpa ujauzito, Pamoja na kusamehewa ila matokeo ya dhambi yake ilipelekea Mtoto aliye zaliwa alikufa
 
Sawa warudi ni haki yao kiatiba, lakini wasipewe ridhaa ya kugombea nafasi yoyote kwenye chama kwasababu walishaonesha wanaweka maslahi yao binafsi mbele zaidi ya chama, hawaaminiki tena, na huo msamaha ni vyema uwe public.
Sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…