Mbowe warudishe Halima na wenzake kundini kwanza

Mbowe warudishe Halima na wenzake kundini kwanza

Kwani chadema inapokea ruzuku Yao?

hata mm ningefanya hivyohivyo, hakuna siasa bila uchumi. Kuachia nafasi za ubunge wa viti maalum zipotelee CCM ungekuwa ujuha +++. Mpango wa akina halima kwenda bungeni haukuwa wa Job ndugai peke yake bila kuhusika kwa watu wengi sana muhimu. Ulikuwa ni mpango wa kuinusuru nchi dhidi ya vikwazo vya mabeberu. Akina halima unawaonea bure kuwalaumu. Kwanye mpango huo lazima hata baadhi ya officials wa chadema walikuwemo.
Wee hata hujui kitu kumbe!! Wale vovido 19 ilikua piga ua serikali iwaingize kwaajil ya kuonyesha democracy kwa mabeberu na kuna fungu hutolewa na mabeberu serikalin!! Hivyo mzalendo akaona hakuna jins awaingize ili apate fungu!! Hii issue ipo very specific wala haihitaj mjadala hasa kwa anaelewa!!
 
Mgogoro wa CHADEMA na akina Halima ulipangwa kama mkakati wa kujiua chama cha chadema.

Chadema msikubali kunaswa na mtego huo. Warudisheni kundini makamanda wetu akina Halima na wenzake.

Hii itaifanya CCM itetemeke na CHADEMA iheshimiwe kimataifa. Kama CCM imewarudisha kundini Lowasa, Sumaye na wengine kwanini ishindwe kutafuta muafaka na wasichana wao makamanda.

Nijuavyo mimi akina Halima walitumbukia kwenye mtego wa kimasilahi tu na vitisho baaasi.
Nakubaliana na we kwa asilimia zote. Huu ni wakati wa kuijenga na usameheana.Kama wao ni kupinga kuvuliwa uanachama basi tukae chini tuondoe tofauti zetu chama kisonge mbele.
 
Akina halima unawaonea bure kuwalaumu. Kwanye mpango huo lazima hata baadhi ya officials wa chadema walikuwemo.
Hao officials ni kina nani? NEC inahitaji barua ya kikao Cha kamati kuu kilichofanya uteuzi Sasa ni lini watu 24 walikaa pamoja na kuteua kina Mdee?

Sisi hatuna shida na Mdee sisi tunahoji utaratibu uliotumika. Mfano Nusrat aliachiwaje saa 6 usiku na asubuhi akaapishwa!! Hivi hapo Mbowe anaweza husika kumtoa jela?

Hawa ni wasaliti hatuwataki, kama Zitto alitimuliwa ndio sembuse hao sisimizi.
 
Kuna wengine wamekuwa wabunge wa viti maalumu kwa awamu zaidi ya mbili kinachotakiwa hivyo viti vya ubunge wa viti maalumu viwe kwa wabunge wanaochipukia kwenye siasa na si kwa wale walio bungeni kwa zaidi ya kipindi kimoja .Kipindi kimoja kinatosha kumshape mtu kuwa mgombea katika jimbo na kushinda.Ikitokea bahati mbaya ameshindwa arudi home na aendelee kukijenga chama kuu kwani tumechoka na sura zilezile mpaka kama hao covid 19 wanaamini hizo nafasi ni haki yao na hakuna mtu anayeweza kuwatoa mpaka wanatambulika kama wabunge wa cdm licha ya kukanwa kwenye vikao halali kikatiba
 
Mgogoro wa CHADEMA na akina Halima ulipangwa kama mkakati wa kujiua chama cha chadema.

Chadema msikubali kunaswa na mtego huo. Warudisheni kundini makamanda wetu akina Halima na wenzake.

Hii itaifanya CCM itetemeke na CHADEMA iheshimiwe kimataifa. Kama CCM imewarudisha kundini Lowasa, Sumaye na wengine kwanini ishindwe kutafuta muafaka na wasichana wao makamanda.

Nijuavyo mimi akina Halima walitumbukia kwenye mtego wa kimasilahi tu na vitisho baaasi.
hatutaki malaya chadema.
 
Watutake radhi tu kwani CHADEMA ni kubwa kuliko mwanachama mmoja mmoja.
Aliyekwambia chadema ni kubwa kuliko Mzee Mtei na mbowe alikudanganya kama vile yule aliyesema TLP ilikuwa kubwa kuliko Lyatonga Mrema rip
 
hatutaki malaya chadema.
Ndugu yangu hata Mzee Edwin Mtei mwenyewe alikuwa CCM na bado anayo kadi ya CCM. Halima mdee na WENZAKE walinasa kwenye mtego wa Ikulu. Hata kama angekuwa wewe mtego ule ungekunasa TU. Niani hataki pesa, nani hataki ubunge, nani hataki kuwa karibu na Rais, nani hana price tag mgongoni?
 
hatutaki malaya chadema.
wewe na nani? sema "mimi sitaki........" ili tuweze kuwahesabu na kujua idadi yenu. Mambo ya ujumla haya hayaonyeshi weledi. Akina Halima kwenda bungeni hailikuwa tukio bali ulikuwa ni mchakato uliohusisha wadau wengi, na huenda wengine wako chadema. Chama imara hakiwi na adui au rafiki wa kudumu, bali maslahi ya kudumu.
 
Back
Top Bottom