Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Wee hata hujui kitu kumbe!! Wale vovido 19 ilikua piga ua serikali iwaingize kwaajil ya kuonyesha democracy kwa mabeberu na kuna fungu hutolewa na mabeberu serikalin!! Hivyo mzalendo akaona hakuna jins awaingize ili apate fungu!! Hii issue ipo very specific wala haihitaj mjadala hasa kwa anaelewa!!Kwani chadema inapokea ruzuku Yao?
hata mm ningefanya hivyohivyo, hakuna siasa bila uchumi. Kuachia nafasi za ubunge wa viti maalum zipotelee CCM ungekuwa ujuha +++. Mpango wa akina halima kwenda bungeni haukuwa wa Job ndugai peke yake bila kuhusika kwa watu wengi sana muhimu. Ulikuwa ni mpango wa kuinusuru nchi dhidi ya vikwazo vya mabeberu. Akina halima unawaonea bure kuwalaumu. Kwanye mpango huo lazima hata baadhi ya officials wa chadema walikuwemo.