johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Ni kweliUkitegemea mabadiliko ya haraka ya siasa kutoka kwa wa Tanzania hapo utakua umebugi, Mbowe alifungwa miezi 9 jela ila watanzania waliendelea na maisha yao ya kawaida bila hata mgomo wa aina yoyote, kwahiyo watanzania wanesha mfanya akate tamaa kabisa hawezi kuwapigania tena.
Mbowe endelea na biashara zako. Tanzania ipo salama chini ya Samia Suluhu, mwenyewe umekiri hili mara kadhaa
Katiba ya wananchi itapatikana kupitia popular movement ya wananchi na sio vikao vya Ikulu
Kwenye Uwanja wa Mapambano Mbowe ni Jasiri kuliko Tundu LisuInaonesha mlipokosa kumwua kwa mara nyingine alivyokimbilia ubalozi wa ujerumani baada ya dodoma mngali na lenu jambo. Beberu anawaona.
Kwetu Lissu ni aina za akina Tutu, Nyerere, Mandela, Malena, Maalimu Seif nk (tuliowakosa sana) kama walivyoangaziwa hapa:
Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu
Majina mazito mazito haya ni kielelezo kamili cha wapigania haki wenye kutukuka. Nini kisimame mbele ya watu kama hao kuzuia haki kutamalaki? Nini thamani ya maisha ya awaye yote kama ukosefu wa haki ndiyo unaozidi kuota mizizi? Nini kimetupata watanzania sisi leo kutokuwa na kizazi cha...www.jamiiforums.com
Peleka habari - Lissu akituita hata leo, tunamwagika barabarani.
Habari ndiyo hiyo.
Ukitegemea mabadiliko ya haraka ya siasa kutoka kwa wa Tanzania hapo utakua umebugi, Mbowe alifungwa miezi 9 jela ila watanzania waliendelea na maisha yao ya kawaida bila hata mgomo wa aina yoyote, kwahiyo watanzania wanesha mfanya akate tamaa kabisa hawezi kuwapigania tena.
Nimesema katiba ya wananchi, hiyo ya 77 ipo kama ilivyo sababu ilipatikana kwa watu wachache kujifungia IkuluKatiba ya mwaka 1977 ilipatikana kwa movement gani ya wananchi boss?
Nimesema katiba ya wananchi, hiyo ya 77 ipo kama ilivyo sababu ilipatikana kwa watu wachache kujifungia Ikulu
Ndio unaweza kupata ila Katiba ya wananchi ama People centered constitution, inapatikana kupitia movement za mtaani,Kumbe unaweza kujifungia ikulu na ukapata katiba, futa kauli yako ya awali.
Ukiona hivyo ujue mbowe na lissu ndio wanataka kitu kwa watanzania. Watanzania hawahitaji kitu kwao.Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Watanzania ni Wavivu wanategemea kila kitu afanye Tundu Lisu na Mbowe
Kwa utaratibu huu hata Katiba mpya itakuwa ngumu kuupata, amesema
Wananchi ni lazima mtumie WINGI wenu kuibana Serikali itekeleze matarajio yenu vinginevyo mtaendelea Kuwa Walalamikaji wa kudumu, amesisitiza Mbowe katika mkutano wa hadhara Temeke
Kwenye Uwanja wa Mapambano Mbowe ni Jasiri kuliko Tundu Lisu
Tundu Lisu ni mzuri Jukwaani!Ustaarabu ni kusema hivi:
"Kwa mawazo yangu kwenye uwanja wa mapambano ...."
Hata hivyo kwani wewe ni nani ndugu? Wewe ni malaika kutuelekeza hayo? Au tumekutuma kutufanyia tahmini?
Si ukawaambie mambuzi hayo ya tathmini yako uchwara.
Zaidi sana zingatia kuna mashindani ya nani zaidi ya Radio one ya Charles Hilary hapa?
Tambueni hamtatugombanisha dhidi ya wawili hao.
"Sisi kama wao tunataka katiba mpya sasa."
Habari ndiyo hiyo.
Ni kweli ila hao wawili Lissu anamsimamo not flexible rigidi, kwa siasa za Bongo ambazo zina maridhiano kwa vitu vingi hata kwenye haki yako, Lissu hawezi, Mbowe bado is the best candidate sio intellectual sana anaweza dirty politics za CCM vizuri anajua mchezo hu wa kinafiki ambao Lissu hauwezi kabisa.......Lissu asumbilie mpaka pale katiba mpya ikipatikana kwasasa hawezi amuachie mwenye kiti ndo ataweza.Ustaarabu ni kusema hivi:
"Kwa mawazo yangu kwenye uwanja wa mapambano ...."
Hata hivyo kwani wewe ni nani ndugu? Wewe ni malaika kutuelekeza hayo? Au tumekutuma kutufanyia tahmini?
Si ukawaambie mambuzi hayo ya tathmini yako uchwara.
Zaidi sana zingatia kuna mashindani ya nani zaidi ya Radio one ya Charles Hilary hapa?
Tambueni hamtatugombanisha dhidi ya wawili hao.
"Sisi kama wao tunataka katiba mpya sasa."
Habari ndiyo hiyo.
Ndio unaweza kupata ila Katiba ya wananchi ama People centered constitution, inapatikana kupitia movement za mtaani,
Tathmini yenu elezaneni wenyewe mbona sisi tuna zetu kuhusu ninyi tumenyamaza?Tundu Lisu ni mzuri Jukwaani!
Tathmini hizi nani anazihitaji?Ni kweli ila hao wawili Lissu anamsimamo not flexible rigidi, kwa siasa za Bongo ambazo zina maridhiano kwa vitu vingi hata kwenye haki yako, Lissu hawezi, Mbowe bado is the best candidate sio intellectual sana anaweza dirty politics za CCM vizuri anajua mchezo hu wa kinafiki ambao Lissu hauwezi kabisa.......Lissu asumbilie mpaka pale katiba mpya ikipatikana kwasasa hawezi amuachie mwenye kiti ndo ataweza.
Mbowe endelea na biashara zako. Tanzania ipo salama chini ya Samia Suluhu, mwenyewe umekiri hili mara kadhaa
Katiba ya wananchi itapatikana kupitia popular movement ya wananchi na sio vikao vya Ikulu
Ni kweli ila hao wawili Lissu anamsimamo not flexible rigidi, kwa siasa za Bongo ambazo zina maridhiano kwa vitu vingi hata kwenye haki yako, Lissu hawezi, Mbowe bado is the best candidate sio intellectual sana anaeeza dirty politics za CCM vuzuri anajua mchezo hu wakinafiki ambao Lissu hauwezi kabisa.......
Hakunaga mchagga mjinga wa kuingia barabarani!Tathmini yenu elezaneni wenyewe mbona sisi tuna zetu kuhusu ninyi tumenyamaza?
Kwetu Lissu ni shujaa. Kina Tutu, Nyerere, Mandela, Maalim Seif na wa namna hiyo ni mfano wake.
Ole wenu atuite mabarabarani, ndipo mtajua kumbe milikuwa hamjui!