Mbowe: Watanzania ni Wavivu na Waoga. Wanataka kila kitu afanye Tundu Lissu au Mbowe, hatutafika kwa utaratibu huu!

Mbowe: Watanzania ni Wavivu na Waoga. Wanataka kila kitu afanye Tundu Lissu au Mbowe, hatutafika kwa utaratibu huu!

Ukitegemea mabadiliko ya haraka ya siasa kutoka kwa wa Tanzania hapo utakua umebugi, Mbowe alifungwa miezi 9 jela ila watanzania waliendelea na maisha yao ya kawaida bila hata mgomo wa aina yoyote, kwahiyo watanzania wanesha mfanya akate tamaa kabisa hawezi kuwapigania tena.
Ni kweli

Bavicha walikuwa wanaona sifa kumpelekea chakula jela
 
Inaonesha mlipokosa kumwua kwa mara nyingine alivyokimbilia ubalozi wa ujerumani baada ya dodoma mngali na lenu jambo. Beberu anawaona.

Kwetu Lissu ni aina za akina Tutu, Nyerere, Mandela, Malena, Maalimu Seif nk (tuliowakosa sana) kama walivyoangaziwa hapa:

Peleka habari - Lissu akituita hata leo, tunamwagika barabarani.

Habari ndiyo hiyo.
Kwenye Uwanja wa Mapambano Mbowe ni Jasiri kuliko Tundu Lisu
 
Haya maneno nusu nusu ya kuokoteza huwa unayaleta huku kwa manufaa ya CCM yako, ila yale mengine yanayokuwepo kwenye hotuba husika unayakwepa makusudi kwa sababu ya uoga wako.

Unaonesha kama vile Mbowe amekata tamaa kitu ambacho sio kweli, ndio kwanza wana mipango mipya itakayowawezesha ili kuyafikia malengo waliyojiwekea.

Mfano Mbowe amesema, watatengeneza vijana elfu moja kila mkoa ili wawe walimu.wa kuhamasisha upatikanaji wa Katiba Mpya, hili hujalisema!.
 
Ukitegemea mabadiliko ya haraka ya siasa kutoka kwa wa Tanzania hapo utakua umebugi, Mbowe alifungwa miezi 9 jela ila watanzania waliendelea na maisha yao ya kawaida bila hata mgomo wa aina yoyote, kwahiyo watanzania wanesha mfanya akate tamaa kabisa hawezi kuwapigania tena.

Sikubaliani nawe ndugu. Mgomo utatoka wapi bila organization?

Ninakazia:

"Harakati huongozwa, haziwezi kuja (spontaneously) kama mvua."

"Kadamnasi lisililokuwa na viongozi thabiti ni sawa na kundi la kondoo bila Mchungaji."

Ukweli huu si wa leo:

https://www.jamiiforums.com/threads...f-mtikila-julius-malema-au-kina-tutu.2013213/
 
Kumbe unaweza kujifungia ikulu na ukapata katiba, futa kauli yako ya awali.
Ndio unaweza kupata ila Katiba ya wananchi ama People centered constitution, inapatikana kupitia movement za mtaani,
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Watanzania ni Wavivu wanategemea kila kitu afanye Tundu Lisu na Mbowe

Kwa utaratibu huu hata Katiba mpya itakuwa ngumu kuupata, amesema

Wananchi ni lazima mtumie WINGI wenu kuibana Serikali itekeleze matarajio yenu vinginevyo mtaendelea Kuwa Walalamikaji wa kudumu, amesisitiza Mbowe katika mkutano wa hadhara Temeke
Ukiona hivyo ujue mbowe na lissu ndio wanataka kitu kwa watanzania. Watanzania hawahitaji kitu kwao.
Mnawaambia watu katiba ni mbaya wakati huohuo hakuna lissu kitu hadai bila kunukuu katiba hiyohiyo. Wanataka katiba iwe dai kuu wakati wananchi dai lao kuu ni maendeleo kiuchumi ya mtu mmojammoja. Kuweza kua na maisha bora ya familia nyumba nzuri, maji elimu, afya.
Baada ya kuona hawana ajenda wanalazimisha agenda ya katiba.
Katiba ni nzuri wala hatuhitaji rais aliyechaguliwa kidemokrasia kupunguziwa madaraka. Muhimu ni wananchi kuhakikisha hawachagui mhuni mtu mbinafsi asiyeogopa mungu kua rais.
Katiba yetu ni nzuri. Isingekua hivyo hili dude lissu lisingeacha kunukuu fifungu kila likiwa na hoja.
Watanzania tuwe makini kwa sababu wahuni fisadi wabinafsi na dhulumati wa haki kwa wanyonge wanataka katiba ya kuweka serikali legelege. Hawapendi serikali imara chini ya mamlaka ya umma.
 
Kwenye Uwanja wa Mapambano Mbowe ni Jasiri kuliko Tundu Lisu

Ustaarabu ni kusema hivi:

"Kwa mawazo yangu kwenye uwanja wa mapambano ...."

Hata hivyo kwani wewe ni nani ndugu? Wewe ni malaika kutuelekeza hayo? Au tumekutuma kutufanyia tahmini?

Si ukawaambie mambuzi hayo ya tathmini yako uchwara.

Zaidi sana zingatia kuna mashindani ya nani zaidi ya Radio one ya Charles Hilary hapa?

Tambueni hamtatugombanisha dhidi ya wawili hao.

"Sisi kama wao tunataka katiba mpya sasa."

Habari ndiyo hiyo.
 
Huyo mbowe na lisu wanafanya nn? Cha muhimu tena safari hii akiingia cha kike tutoe na rambirambi kabisa
 
Ustaarabu ni kusema hivi:

"Kwa mawazo yangu kwenye uwanja wa mapambano ...."

Hata hivyo kwani wewe ni nani ndugu? Wewe ni malaika kutuelekeza hayo? Au tumekutuma kutufanyia tahmini?

Si ukawaambie mambuzi hayo ya tathmini yako uchwara.

Zaidi sana zingatia kuna mashindani ya nani zaidi ya Radio one ya Charles Hilary hapa?

Tambueni hamtatugombanisha dhidi ya wawili hao.

"Sisi kama wao tunataka katiba mpya sasa."

Habari ndiyo hiyo.
Tundu Lisu ni mzuri Jukwaani!
 
Ni kweli ila hao wawili Lissu anamsimamo not flexible rigidi, kwa siasa za Bongo ambazo zina maridhiano kwa vitu vingi hata kwenye haki yako, Lissu hawezi, Mbowe bado is the best candidate sio intellectual sana anaweza dirty politics za CCM vizuri anajua mchezo hu wa kinafiki ambao Lissu hauwezi kabisa.......Lissu asumbilie mpaka pale katiba mpya ikipatikana kwasasa hawezi amuachie mwenye kiti ndo ataweza.
 
Ndio unaweza kupata ila Katiba ya wananchi ama People centered constitution, inapatikana kupitia movement za mtaani,

Kama wananchi wanaogopa kushinikiza Kupata katiba yao, acha hao wanasiasa wasioogopa wakadai katiba yao. Hao wananchi uoga ukiisha watadai hiyo yao.
 
Tundu Lisu ni mzuri Jukwaani!
Tathmini yenu elezaneni wenyewe mbona sisi tuna zetu kuhusu ninyi tumenyamaza?

Kwetu Lissu ni shujaa. Kina Tutu, Nyerere, Mandela, Maalim Seif na wa namna hiyo ni mfano wake.

Ole wenu atuite mabarabarani, ndipo mtajua kumbe milikuwa hamjui!
 
Ila yupo sahihi kiasi fulani. ..uvivu,kulizika mapema,kutokua wagunduzi nakuiga (kwakua kiasi niwatu wavivu).,ila chawa ndio tabia pekee mbongo anaiweza sn.
 
Ni kweli ila hao wawili Lissu anamsimamo not flexible rigidi, kwa siasa za Bongo ambazo zina maridhiano kwa vitu vingi hata kwenye haki yako, Lissu hawezi, Mbowe bado is the best candidate sio intellectual sana anaweza dirty politics za CCM vizuri anajua mchezo hu wa kinafiki ambao Lissu hauwezi kabisa.......Lissu asumbilie mpaka pale katiba mpya ikipatikana kwasasa hawezi amuachie mwenye kiti ndo ataweza.
Tathmini hizi nani anazihitaji?

Nasoma tathmini zako kuwahusu wengine. Hudhani ungetupa yako ingependeza zaidi?

Au ni yale ya nyani na kundule?
 
Mbowe endelea na biashara zako. Tanzania ipo salama chini ya Samia Suluhu, mwenyewe umekiri hili mara kadhaa

Katiba ya wananchi itapatikana kupitia popular movement ya wananchi na sio vikao vya Ikulu

Hapo umenena, freeman tapeli yeye na lisu wake maana wameshakiri watoto wao ni wamarekani alafu anataka tufanye vurugu katika nchi yetu ambayo watoto wetu ni Watanzania!
Hapana, haiendi hivyo kabisa!
Haya huyo lisu kashamtimua mke wa kitanzania kachukua mdhungu tena mdhungu kabisa walahi!
Dadadeki zao hawa watu ni waongo waongo mpaka wanasikitisha, chinjia baharini tupa kule walahi [emoji35]
 
Ni kweli ila hao wawili Lissu anamsimamo not flexible rigidi, kwa siasa za Bongo ambazo zina maridhiano kwa vitu vingi hata kwenye haki yako, Lissu hawezi, Mbowe bado is the best candidate sio intellectual sana anaeeza dirty politics za CCM vuzuri anajua mchezo hu wakinafiki ambao Lissu hauwezi kabisa.......

Kwa taarifa yako ili anayodai Mbowe yatimizwe, ni lazima Lisu awepo. Hiyo itapelekea kuona madai ya Lisu ya mabavu hatayapata, ila wataona aibu mbona hata ya Mbowe anayoyadai kiungwana bado hawayatoi? Hapo ni aidha wakubali ya Lisu ya mabavu, au ya Mbowe ya kiungwana. Hivyo tu Boss.
 
Tathmini yenu elezaneni wenyewe mbona sisi tuna zetu kuhusu ninyi tumenyamaza?

Kwetu Lissu ni shujaa. Kina Tutu, Nyerere, Mandela, Maalim Seif na wa namna hiyo ni mfano wake.

Ole wenu atuite mabarabarani, ndipo mtajua kumbe milikuwa hamjui!
Hakunaga mchagga mjinga wa kuingia barabarani!
 
Back
Top Bottom