johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #61
Mtapata tabu sanaBasi kaeni kwa kutulia
Kutesa ni kwa zamu tukisha maliza tutawapa chakula kizuuuri mleMtapata tabu sana
Zamu ya Tundu Lisu kulamba asaliKutesa ni kwa zamu tukisha maliza tutawapa chakula kizuuuri mle
Naamini Lissu alishiriki maridhiano, kwani madai ya stahiki zake yalifanyiwa kazi kwa njia hiyo, haikutumika nguvu yoyote pale.Ni kweli ila hao wawili Lissu anamsimamo not flexible rigidi, kwa siasa za Bongo ambazo zina maridhiano kwa vitu vingi hata kwenye haki yako, Lissu hawezi, Mbowe bado is the best candidate sio intellectual sana anaweza dirty politics za CCM vizuri anajua mchezo hu wa kinafiki ambao Lissu hauwezi kabisa.......Lissu asumbilie mpaka pale katiba mpya ikipatikana kwasasa hawezi amuachie mwenye kiti ndo ataweza.
CCM sio wezi wanachukua kilichochao bora umpigie fisadi unaejua ni fisadi kuliko hao wanaoanza kutuonyesha tamaa kwa kulamba maburungutu na kutupa hoja zao za gesti fyuuuuuSio tatizo, kwani hataashi milele, lakini historia itamkumbuka kuwa hakuwa kondoo wa majizi ya kura ya CCM.
Kweli kabisa akitoka Mbowe basi upinzani umekwisha.Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Watanzania ni Wavivu wanategemea kila kitu afanye Tundu Lisu na Mbowe
Kwa utaratibu huu hata Katiba mpya itakuwa ngumu kuupata, amesema
Wananchi ni lazima mtumie WINGI wenu kuibana Serikali itekeleze matarajio yenu vinginevyo mtaendelea Kuwa Walalamikaji wa kudumu, amesisitiza Mbowe katika mkutano wa hadhara Temeke
Akina Tindo, Mmawia na Daudi MchambuziWatanzania wengi waoga.. Hasa hawa "keyboard warriors" humu jf
Ila una uhakika hao wananchi hitaji lao ni katiba mpya ila wanaogopa kuidai?Kama wananchi wanaogopa kushinikiza Kupata katiba yao, acha hao wanasiasa wasioogopa wakadai katiba yao. Hao wananchi uoga ukiisha watadai hiyo yao.
Wewe unafikiri yeye Mbowe na Lissu wamefanya vya kutosha hadi wawe na haki ya kuona tatizo ni watanzania kuwa ni waoga? Watu wengi hawana huo uelewa na katiba, huku kuwa suala la katiba kuonekana ni la wanasiasa tu ni kwa sababu watu hawana uelewa na si kwamba ni waoga.Ila yupo sahihi kiasi fulani. ..uvivu,kulizika mapema,kutokua wagunduzi nakuiga (kwakua kiasi niwatu wavivu).,ila chawa ndio tabia pekee mbongo anaiweza sn.
Uko sahihiWewe unafikiri yeye Mbowe na Lissu wamefanya vya kutosha hadi wawe na haki ya kuona tatizo ni watanzania kuwa ni waoga? Watu wengi hawana huo uelewa na katiba, huku kuwa suala la katiba kuonekana ni la wanasiasa tu ni kwa sababu watu hawana uelewa na si kwamba ni waoga.
Wapinzani wanataka katiba mpya ili kumpunguza nguvu chama tawala kwa masilahi ya yao na chama tawala kinafanya kila njia kukwepa hilo jambo kwa masilahi yao.Yes katiba mpya ni maalumu Kwa kugawana mamlaka,
Raia wa kawaida, anapata faida gani na katiba? Au katiba hii ya sasa inamsumbua nn
Katiba mpya ni ishu ya kimamlaka zaidiWapinzani wanataka katiba mpya ili kumpunguza nguvu chama tawala kwa masilahi ya yao na chama tawala kinafanya kila njia kukwepa hilo jambo kwa masilahi yao.
Na hao hao ndio mnaosema wanaibiwa kura na ccm, hao hao wananchi wapenda vitu vya kijinga wameichoka ccm na huwa wanataka kuindoa kupitia uchaguzi ila Ccm ndio hutumia mabavu kung'ang'ania madaraka.Lakini Mbowe kasema ukweli.....watanzania ni watu wanaopenda vitu vya kijinga tu kila kukicha. Ukiwaambia vitu vya maana vitakavyowasaidia maishani mwao hawataki kusikiliza na wanakushangaa, wao wanataka habari za kijinga tu kuhusu mastaa uchwara wa Kibongo ambao hawana ishu yoyote.
Sasa yeye ameongea nini na wewe unamkanusha kipi?Mbowe endelea na biashara zako. Tanzania ipo salama chini ya Samia Suluhu, mwenyewe umekiri hili mara kadhaa
Katiba ya wananchi itapatikana kupitia popular movement ya wananchi na sio vikao vya Ikulu