The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Fanyeni nyie maana Nyerere alifanya mbona? 😀😀😀😀..Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Watanzania ni Wavivu wanategemea kila kitu afanye Tundu Lisu na Mbowe
Kwa utaratibu huu hata Katiba mpya itakuwa ngumu kuupata, amesema
Wananchi ni lazima mtumie WINGI wenu kuibana Serikali itekeleze matarajio yenu vinginevyo mtaendelea Kuwa Walalamikaji wa kudumu, amesisitiza Mbowe katika mkutano wa hadhara Temeke
Hii Nchi haijajengwa Kwa misingi ya vurugu so msitegemee kutumia hiyo njia kwamba itawasaidia,haitakaa itokee nikaandamane wakati Watoto wa Lisu na Mbowe wako ulaya.