Mbowe: We are surrendering our Sovereignty to Dubai

Hayo ndo matokeo mliyoyaita maridhiano
 
Mkuu maneno yako ni makali mno.
 
Hivi Dubai ni nchi(country) au Mji Dola(City state)?
Na kama ni nchi mbona Tanzania hatuna Balozi wa Tanzania nchini Dubai? Ila yupo Balozi wa Tanzania katika Falme za Kiarabu yaani United Arab Emirates!
Note: Kwenye Mkataba tumeandikiwa kuwa Dubai ni nchi!!
 

Kwa comment hii inaonyesha hujui chochote kuhusu huo mkataba..
 
Billion 2. 9 za ruzuku ziko wapi?
Wewe hata kwenye suala nyeti namna hii unaleta mzaha.
Kama kweli wewe ni mzalendo na unayeipenda nchi yako huwezi kuleta mzaha kwenye suala muhimu Kama hili.
Hata Kama Mbowe humpendi kwenye hili la uuzwaji wa bandari zetu ulitakiwa uzielewe hoja za Mbowe.
Ndo maana mimi huwa nakuhisi wewe siyo Mtanzania,
 
Watupe ajenda zao za kitaifa hao akina Mbowe, Sio kufanya Siasa za matukio. Leo wapo kwenye Bandari kuuzwa vip km isingekuwa ajenda hii ya Bandari wangeongea nini
Katoa mawazo yake kama wewe ulivyoyatoa yakwako hapa.sio kila jambo uwaze ni siasa wakati nchi inaangamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…