Mbowe: We are surrendering our Sovereignty to Dubai

1. Kifungu cha ngapi kinasema hivyo?
2. Shuguli zipi hizo? Zimesemwa kwenye kifungu kipi?
3. Unaelewaje wanaposema watatumia mabaraza ya usuluhishi ya Afrika kusini?

4. Mbona mikataba mingi inasema hivyo? Kiwanda cha Urafiki mkataba aliingia nyerere ila Serikali zote zimerithi mkataba huo

5. Kifungu cha ngapi kimesema hivyo?

6. Hoja yako no 3 na no 6 mbona zinakizanza? Unajielewa kweli? Kama hakuna kuvunja mkataba kwa nini wapelekane mahakamani? Wanaenda mahakamani kuangalia tamthilia?

Alafu huu ni mkataba wa nchi na nchi ! Kiuzoefu mikataba hii inapendekeza kutumia sheria za neutral part linapokuja suala la mgogoro hivyo hilo sio jambo geni.

7. Mkataba huu ni IGA. Hayo unayosema yanapaswa kuwepo kwenye HGA hivyo hoja yako haina mashiko
 
Mama akubali kwenye hili aliteleza, sijui alilishwa urojo wa namna gani hadi akajikuta anasaini huo mkataba wa kishenzi namna hii.

Kwa hili Mama kapuyanga mno na ni doa tayari katika uongozi.
Hata wewe kamarada Nyboma....hata wewe?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hii kweli ni vita kubwa....



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe chawa unauzwa huku unajiona na huyo bibi yenu,
Wewe wala huna shida na CCM...wewe una shida na urais wa Mh.Samia....

Ulimpenda sana JPM lakini ndiye aliyempendekeza mh.Rais Samia kuwa makamu wake.....Sasa so kosa la mh.Samia.....

Badilikeni....siasa za ukanda na ukabila haziwasaidii....

Mbona sisi wengine tulikuwa pamoja KIPINDI cha JPM...pamoja na yote tuliyopitia?!!!

Tulijua ni "collective responsibility" na tulikuwa na ulazima wa kumtii mwenyekiti wetu wa chama na Rais....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo mlipokuwa mnamshambulia Magufuli mlikuwa hamjui kuhusu ccm?

Msiwe wapumbavu. Na bado ngoja muwe watumwa wa mwarabu
 
Nchi ishakuwa ya waarabu. Sasa wanatamba tu ma-g-wagon mjini!
Matusi hayo...

Unajitukana...

Unawatukana watz...

Unalitukana taifa lako....

Kuuzwa?!!!

Umerejea maneno yale ya Mbowe ?!!!

Katiba inasemaje kipengele cha nchi kuuzwa kwa rejea ya maneno ya Mbowe....tuwekee kipengele hicho hapa....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Yule mshauri wa Mufti hajawahi kuwa mshauri wa mama?
 
Hapo umeweka ushahidi gani zaidi ya speculations, nilidhani ungeelezea kiasi cha fedha wanazopewa na kwa njia zipi.
Kabla hujamalizia la Chadema umejichanganya na la familia ya Mbowe.
Hakuna ushahidi hapa ni porojo za kijiweni.
 
Huyo mbowe ni failure toka shule, ataelewa wapi kilichomo kwenye mkataba? Anafikiri IGA ni kupiga mziki watu wakatike?

Shule alienda kusomea ujinga.
Halafu kibaya zaidi anakula kitimoto
 
Huyu ndio wale wafuasi wa Polepole ambao ndoto zao ni kwamba atokee mtu kama Magufuli mwingine atese Wapinzani na amrudishe Mbowe gerezani.

Hatujasahau
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Polepole bwana....

Ndg.Polepole alikuwa na mambo ya ajabu sana....

CCM si chama cha kukurupukia mambo.....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…