Mbowe: We are surrendering our Sovereignty to Dubai

Mbowe: We are surrendering our Sovereignty to Dubai

Unategemea nini kutoka kwa "form 6 failure" aliyekimbilia UDJ?!!![emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app


Nadhani suala sio academic stage ya mtu, kiingereza ni lugha kama kiswahili tu, kama Kiswahili lugha yetu nayo watu (waswahili) tunaikosea sembuse lugha ya kigeni ambayo tumeijua kwa kufundishwa na non-natives wa lugha hiyo ?!
 
Hivi Dubai ni nchi(country) au Mji Dola(City state)?
Na kama ni nchi mbona Tanzania hatuna Balozi wa Tanzania nchini Dubai? Ila yupo Balozi wa Tanzania katika Falme za Kiarabu yaani United Arab Emirates!
Note: Kwenye Mkataba tumeandikiwa kuwa Dubai ni nchi!!

 
Ulivyo mjinga unajua hata maana ya IGA? Uaongeleje ukomo kwenye IGA? Hivi unajua hata maana ya IGA?

Watafute wanaokulisha hayo matango pori waulize nini tofauti ya IGA na HGA alafu njoo hapa
Kwahiyp hapa ndio umejibu swali dogo tu linalohusu muda uliloulizwa na "mjinga"?

Kwamba kwako IGA na HGA ndio majibu yanayohusu muda niliokuuliza?

Hujui huo mkataba umeanza utekelezaji since October 2022?! jiulize, inawezekana vipi mkataba ulioanza utekelezaji tayari usiwe na mwisho wake?

Huo mkataba huujui, hujawahi kuusoma hata mara moja, unataka tu uletewe, umelishwa maneno ya CCM wenzio, ajabu unajidai kutoa darasa hapa, wacha ujinga, hizi propaganda zako ni za kipuuzi sana.
 
Kwahiyp hapa ndio umejibu swali dogo tu linalohusu muda uliloulizwa na "mjinga"?

Kwamba kwako IGA na HGA ndio majibu yanayohusu muda niliokuuliza?

Hujui huo mkataba umeanza utekelezaji since October 2022?!

Wewe sasa umekuwa chawa wa bei rahisi sana, huna lolote kichwani.
Sawa basi! Utekelezaji ulianza Oktoba 2022. Tuambie wewe lipi limetekelezwa kwenye huo utekelezaji mtaalamu?
 
Kiinglish cha Mbowe ni tofauti kabisa na cha Ndalichako mwenye PhD 🥲

Hebu tujikumbushe


PhD za mchongo nilikuwa nafikiri ni kwa Msukuma tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama akubali kwenye hili aliteleza, sijui alilishwa urojo wa namna gani hadi akajikuta anasaini huo mkataba wa kishenzi namna hii.

Kwa hili Mama kapuyanga mno na ni doa tayari katika uongozi.
 
Wawekezaji.wapewe.mapori.wazalishe.chakula.sio kukimbilia organ ya nchi
 

Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    28.2 KB · Views: 2
Nchi ishakuwa ya waarabu. Sasa wanatamba tu ma-g-wagon mjini!
 
Hayo mamikopo ya mama yenu Kila siku...
Waarabu wamemzidi akili.....

Wamefanya butter trade system ya kibabe....kiuchumi...ya kuupora uchumi wa Tanganyika....!

Uchumi wa Tanganyika sasa mfukoni mwa ka-Emirate ka Dubai. Dah!

Hivi nani mshauri wa huyu mama aisee! Inauma saana!
Mshauri wake ni jk
 
Ndio itafanya huyu bibiako asikuuze kwa waraabu?
Kapewa ubavu na Katiba hii mbovu wewe utafanyaje?

Ninyi mlitaka kuanzisha Umoja Legacy Party ili Plepole awe Raisi sasa yako wapi?

Mwache Samia atuongoze, ulikuwa unamkatia viuno Magufuli wakati anaua Wapinzani leo yako wapi?
 
Back
Top Bottom