Mbowe yuko dakika 45 itv Muda huu

Mbowe yuko dakika 45 itv Muda huu

Mbowe anashida kubwa,na anachokifanya ni chuki ambayo haina afya kwa CHADEMA.

Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya uenyekiti imekuwa shida.

Kwani kamzuia nani au unataka TAL ndiye awe anaongea na media tu
 
Machawa mnashida yaani mmepaniki kabla ya uchaguzi.
Kwa upepo ulivyo sultan wenu akipata 10% akatambike
Watoa maoni mtandaoni badala ya Katiba ya CHADEMA muna shida. Watoa manoni yawezekana hakuna hata mmoja ambaye ni mwanachama wa CHADEMA. NA akiwa mwanachama utakuta siyo mjumbe wa mkutano mkuu wa CDM ambao ndiyo wapiga kura. Kwa taarifa yako FAM anashinda kiti cha UWENYEKITI kwa kura 70%, kukingali asubuhi na mapema
 
Sidhani kama Mwamba aliwahi kufikiria kuwa kuna siku atautafuta Uenyekiti kwa Damu na jasho😂
 
Kwani umelazimishwa kumsikiliza? Si ubadili channel hata uangalie cartoon tu!! Unajilazimisha nini kumsikia mtu ambaye humpendi. ? Wewe ni kichaa?

Sijawahi kuona mijitu MIPUMBAVH kama ra kambi ya Lissu
Logic vis Keyboard warriors ni vitu viwili apart.
 
..Mbowe aliwachukulia wanachama wake kirahisi sana ndio maana leo anahangaika ktk kila chombo cha habari?
 
Mbowe anashida kubwa,na anachokifanya ni chuki ambayo haina afya kwa CHADEMA.

Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya uenyekiti imekuwa shida.
mwendakuzimu wewe, sasa umeweka kichwa cha habari huku content umeandika ujinga
 
Hata kama sijafa sijaumbika, Lissu hafai kuwa kiongozi mkuu wa chochote hapa Tanzania. Atatuharibia nchi yetu na kiburi chake
Nchi yenu imekwisha haribiwa hivyo watu kama Lissu ndio wa. Kuikomboa na sio hao chawa wa Samia!
 
Back
Top Bottom