johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ila wewe shetani kati ya UWT wote huwa una akili sn kwenye ukweli huwa hupindishi kama yule shetani Lucas MwashambwaKatika hili Nakubaliana na Freeman kwamba Lengo la Kujaza Fomu za uchaguzi ni kukusanya Taarifa za Wagombea Ili kuona kama wanakizi vigez...
ni muhimu sana kua makini na serious kwenye mambo muhimu ya msingi,hasa ya kisheria na kikatiba..Katika hili Nakubaliana na Freeman kwamba Lengo la Kujaza Fomu za uchaguzi ni kukusanya Taarifa za Wagombea Ili kuona kama wanakizi vigez...
KIFUA KIPANA anamwisho mbaya sana yeye anaamini wachawi na masheikh wake wa rufiji kwa ndumba lkn Mungu yupo.Form za kugombea zimegeuka kama mtihani wa NECTA, Mchengerwa ni mjinga sn
Kifua kipana sababu anamletea bibi mkubwa wajukuu wa kutoshaKIFUA KIPANA anamwisho mbaya sana yeye anaamini wachawi na masheikh wake wa rufiji kwa ndumba lkn Mungu yupo.
Mpumbaf sana.. anapenda ushirikina hatari.Kifua kipana sababu anamletea bibi mkubwa wajukuu wa kutosha
Sana kamandaMpumbaf sana.. anapenda ushirikina hatari.
Ulete na hivyo vifungu vya sheria Ili tujue hata Kujaza jina Kwa kuanza na herufi ndogo ni kosa kisheriani muhimu sana kua makini na serious kwenye mambo muhimu ya msingi,hasa ya kisheria na kikatiba..
unaweza kua sahihi kusema, lakini ukakosea vibaya sana kutenda...
Ukinyimwa posho zako huwa unashuka point snUlete na hivyo vifungu vya sheria Ili tujue hata Kujaza jina Kwa kuanza na herufi ndogo ni kosa kisheria
Nyie ndio Trump amesema mbadilishwe ziwekwe AI maana na gharama ya Maji ya kuchambia na toilet paper itapungua 😂😂
CCM wa aina yako huwa hatuwapi nafasi za juu za uongozi. Tunataka CCM kama akina Mwashambwa lakini wawe na akili angaa kidogo. Huyu Lucas amechezewa chezewa sana ni aibu kumpa vyeo. Wapinzani watatucheka.Katika hili Nakubaliana na Freeman kwamba Lengo la Kujaza Fomu za uchaguzi ni kukusanya Taarifa za Wagombea Ili kuona kama wanakizi vigezo
Ni sahihi kumuengua Mgombea aliyepungukiwa vigezo Lakini siamini kama ni Sahihi kumuengua Mgombea aliyekosea Kujaza Fomu
Benki kwenyewe tunakoseaga mara kibao Kujaza Fomu mfano namba ya account Lakini Teller anakuelimisha tu kisha unarekebisha na kuvuta mpunga 😄
Ahsanteni sana
Huyu, ana akili sana, mengineyo, ni makusudi tu!Ila wewe shetani kati ya UWT wote huwa una akili sn kwenye ukweli huwa hupindishi kama yule shetani Lucas Mwashambwa
Muulize Mchungaji Msigwa kama amewahi kukosa Posho 🤣Ukinyimwa posho zako huwa unashuka point sn
Subiri posho zao zitoke anaanza kupindisha ukweliHuyu, ana akili sana, mengineyo, ni makusudi tu!
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
sahivi naona mmepiga za maafa chama hakiwezi kukosa ni kweliMuulize Mchungaji Msigwa kama amewahi kukosa Posho 🤣
Songwe ni washirikina sn watakuwa wamemharibu mtoto wa watuCCM wa aina yako huwa hatuwapi nafasi za juu za uongozi. Tunataka CCM kama akina Mwashambwa lakini wawe na akili angaa kidogo. Huyu Lucas amechezewa chezewa sana ni aibu kumpa vyeo. Wapinzani watatucheka.
Huko nyuma hakuwa hivyo ameharibiwa na Makonda na Kafulila.Songwe ni washirikina sn watakuwa wamemharibu mtoto wa watu
RushwaHuko nyuma hakuwa hivyo ameharibiwa na Makonda na Kafulila.