LGE2024 Mbowe yuko sahihi Mgombea Kujaza Fomu siyo Mtihani ni kuweka tu Kumbukumbu zake kimaandishi kwenye Mfumo wa Pamoja!

LGE2024 Mbowe yuko sahihi Mgombea Kujaza Fomu siyo Mtihani ni kuweka tu Kumbukumbu zake kimaandishi kwenye Mfumo wa Pamoja!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katika hili Nakubaliana na Freeman kwamba Lengo la Kujaza Fomu za uchaguzi ni kukusanya Taarifa za Wagombea Ili kuona kama wanakizi vigezo

Ni sahihi kumuengua Mgombea aliyepungukiwa vigezo Lakini siamini kama ni Sahihi kumuengua Mgombea aliyekosea Kujaza Fomu

Benki kwenyewe tunakoseaga mara kibao Kujaza Fomu mfano namba ya account Lakini Teller anakuelimisha tu kisha unarekebisha na kuvuta mpunga 😄

Ahsanteni sana

PIA SOMA
- LGE2024 - Mbowe: CHADEMA haitajitoa katika uchaguzi Serikali za Mitaa. Wagombea wetu walioenguliwa kihuni warejeshwe
 
Katika hili Nakubaliana na Freeman kwamba Lengo la Kujaza Fomu za uchaguzi ni kukusanya Taarifa za Wagombea Ili kuona kama wanakizi vigez...
ni muhimu sana kua makini na serious kwenye mambo muhimu ya msingi,hasa ya kisheria na kikatiba..

unaweza kua sahihi kusema, lakini ukakosea vibaya sana kutenda.

haikubaliki kunajisi sheria na katiba ya nchi kwa kukosea au kukiuka kwako miiko, vigezo na masharti mahususi yaliyowekwa kama utaratibu wa kuwashindanisha wenye mawazo na fikra tofauti.

kuzingatia sheria ni suala mtambuka jumuishi. Asie zingatia hilo ni muhuni tu 🐒
 
ni muhimu sana kua makini na serious kwenye mambo muhimu ya msingi,hasa ya kisheria na kikatiba..

unaweza kua sahihi kusema, lakini ukakosea vibaya sana kutenda...
Ulete na hivyo vifungu vya sheria Ili tujue hata Kujaza jina Kwa kuanza na herufi ndogo ni kosa kisheria

Nyie ndio Trump amesema mbadilishwe ziwekwe AI maana na gharama ya Maji ya kuchambia na toilet paper itapungua 😂😂
 
Katika hili Nakubaliana na Freeman kwamba Lengo la Kujaza Fomu za uchaguzi ni kukusanya Taarifa za Wagombea Ili kuona kama wanakizi vigezo

Ni sahihi kumuengua Mgombea aliyepungukiwa vigezo Lakini siamini kama ni Sahihi kumuengua Mgombea aliyekosea Kujaza Fomu

Benki kwenyewe tunakoseaga mara kibao Kujaza Fomu mfano namba ya account Lakini Teller anakuelimisha tu kisha unarekebisha na kuvuta mpunga 😄

Ahsanteni sana
CCM wa aina yako huwa hatuwapi nafasi za juu za uongozi. Tunataka CCM kama akina Mwashambwa lakini wawe na akili angaa kidogo. Huyu Lucas amechezewa chezewa sana ni aibu kumpa vyeo. Wapinzani watatucheka.
 
Songwe ni washirikina sn watakuwa wamemharibu mtoto wa watu
 
Back
Top Bottom