Mbowe yupo salama kiafya? Kwanini ndugu na wakili wakataliwe kumwona?

Mbowe yupo salama kiafya? Kwanini ndugu na wakili wakataliwe kumwona?

Nimesikia Mhe. Mbowe ajaruhusiwa kuonana na ndugu zao Wala wakili wake. Hii siyo ishara nzuri nadhani anaweza kuwa na tatizo maana inabidi ujiulize anakula wapi na nani anampelekea chakula?

Kwa aina ya mahabusu zetu hakuna chakula, Kama mtuhumiwa mzee wa umri wa Mbowe asipokula na stress za mahabusu lazima afya itadhorota na mwosho wa siku akiwa unconscious wakati alikamatwa akiwa na sia njema upelekea dola kuficha ukweli.

Ni Bora familia ikafuatilia kwa karibu kujua afya yake na hii haki yao na kuishi ni haki ya Mhe. Mbowe pia. Ili uishi lazima ule. Lakini pia anayo haki yakujua taarifa za msiba wa baba yake aliyefariki kwa mshtuko.

Hizi habari zikiendelea kusambazwa na vyombo vya habari ndani na nje zinazua taharuki na kuchafua nchi na wananchi pasipo na sababu ya msingi.
Wanataka kumpoteza
 
Siamini kama mama angeweza kufanya copy & paste kutoka kwa Muroto
 
Kukaa na kutaka kujua Hali ya gaidi Ni kupoteza muda,oneni magaidi yanavyowatesa watu wa msumbiji,somalia na Nigeria,gaidi si wakuonewa huruma popote alipo.

Nasikia baada ya uchunguzi imebainika kuwa gaidi Mbowe alikuwa akiwafadhiri wale magaidi wa kibiti na ndo maana alilalama Sana baada ya wale magaidi kuuliwa na serikali.
 
Kukaa na kutaka kujua Hali ya gaidi Ni kupoteza muda,oneni magaidi yanavyowatesa watu wa msumbiji,somalia na Nigeria,gaidi si wakuonewa huruma popote alipo.

Nasikia baada ya uchunguzi imebainika kuwa gaidi Mbowe alikuwa akiwafadhiri wale magaidi wa kibiti na ndo maana alilalama Sana baada ya wale magaidi kuuliwa na serikali.
Tafadhali sema hauko serious ulichokiandika hapa ni irony
 
Kwahiyo kumbe kuna katambiko ka kula nyama za watu huwa wanafanyiwa baada ya kushika hicho kiti ili iwe rahisi kwao kuagiza mbunge apigwe marisasi 38 pale area D

Mkapa alianza na yule jamaa wa usalama wa taiga,Jiwe alianza na Lissu; naona mama kaamua kuanza kwa kumuwekea Mbowe sumu kwenye misosi
 
baba yake aliyefariki kwa mshtuko.
Hii ya baba mdogo kupata msituko hadi kupelekea umauti kwa sababu ya kusikia matatizo yaliyompata mtoto wa kaka yake ni jambo lisiloingia akilini. Kwa baba mzazi au mama mzazi ni sawa. Mara chache hata kwa mtoto wa kumzaa huweza kutokea lakini si kwa mjomba,shangazi, baba mdogo, baba mkubwa, bibi au babu. Tuwe wa kweli. Si msituko bali changamoto la upumuaji. Hivyo contacts wake wa ndani ya siku 14 akiwemo F. Mbowe wanapaswa kuwa isolated kwa muda wa siku 14 kwani uwezekano wa hao contacts kuwa na virusi hivyo ni mkubwa. Si vyema mawakili wake na ndugu zake akawaambukiza hivyo virusi. Yeye havitamuathiri sana kwani alishapata full vaccination madhubuti ya Pfizer vaccine huko Dubai. Anatembea na virusi hivyo ambavyo vinaweza kuua viongozi na wasiyo viongozi atakaokutana nao. Hataki kufuata mashariti ya kuzuia kusambaza kwa hivyo virusi.Anataka kuvisambaza kwa makusudi. Hicho ni kitendo cha ugaidi by definition. So he must be isolated for at least few months by all means.
 
Back
Top Bottom