Mbowe yupo salama kiafya? Kwanini ndugu na wakili wakataliwe kumwona?

Mbowe yupo salama kiafya? Kwanini ndugu na wakili wakataliwe kumwona?

Kigogo kasema kuna mpango mkakati wa kumwekea sumu unapangwa ndio maana hata ndugu wamezuiliwa kumwona/kupeleka hata chakuka.
Kigogo ni choko tu. Wapumbavu wenzie ndio humuona mtu wa maana.
 
Hizi kauli zenu na kujidanganya ndio kumemponza mwenyekiti wenu
Ifike mahali rais aheshimiwe na wote nchi hii
Samia awezi siasa za kushindana na Mbowe, kama vile Mwendawazimu alivyoshindwa siasa za ushindani kwa LISSU.
 
Kukaa na kutaka kujua Hali ya gaidi Ni kupoteza muda,oneni magaidi yanavyowatesa watu wa msumbiji,somalia na Nigeria,gaidi si wakuonewa huruma popote alipo.

Nasikia baada ya uchunguzi imebainika kuwa gaidi Mbowe alikuwa akiwafadhiri wale magaidi wa kibiti na ndo maana alilalama Sana baada ya wale magaidi kuuliwa na serikali.
Siyo hilo tuu nahisi Hadi wale wasiojulikana nizao lake lengo ilikuwa kuionyesha Dunia kuwa Magufuli ni dicteta
 
Nani alimsifia huyo mama ?
Alaa, hilo ni swali la kuuliza? 'genius wenu Malisa G, aliendesha kampeni za kumtukuza mama, nanyi nyumbu humu mkadakia hoja kama ilivyo ada yenu, leo hii mnalia lia mitandaoni. Ingieni barabarani tukamtoe mwenyekiti.
 
Hizi kauli zenu na kujidanganya ndio kumemponza mwenyekiti wenu
Ifike mahali rais aheshimiwe na wote nchi hii
KAHABA wa feri hastahili kuheshimiwa. Sifa ya kupewa heshima hana. Na utamaduni wa mtanzania haumueshiemu KAHABA.
 
KAHABA wa feri hastahili kuheshimiwa. Sifa ya kupewa heshima hana. Na utamaduni wa mtanzania haumueshiemu KAHABA.
Instagram_post_by_BAVICHA_&_CHASO_•_Jul_4,_2021_at_11:15am_UTC%22_.jpg
 
Mbowe angefanya siasa za kistaarabu kama wenzake kina Mbatia, Lipumba n.k yasinge mkuta haya ya ugaidi, ila Mbowe ana uchu na tamaa ya uongozi hivyo kutokana na uchu wake kaamua kutumia njia zisizo faa za kigaidi na umafia.
uongozi hautafutwi kwa kupanga njama na kuuwa watu wengine kisa uanatafuta uongozi sasa yamemtokea puani.
 
Hakuna nchi ya kuchafuka kisa Mbowe. Atakuwa mahala salama tu. Acheni vyombo vya ulinzi na usalama vifanye kazi yake.
 
Back
Top Bottom