Cathelin
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,071
- 3,995
Hope mko poa wakuu, hakuna kitu kinachoiumiza serikali vichwa kama kesi ya Mbowe, kubali kataa serikali wanashindwa hii kesi waiteme vipi.
Nilisema toka awali kuwa maamuzi ya hii kesi yatakuwa faida kwa Mbowe, iwe kuhukumiwa maisha, kunyongwa au kushinda kesi, leo hio mawakili wa serikali wanaingia mahakamani wamenuna hawana raha, Shahidi anamezeshwa nondo na kuja na majibu kizimbani what a shame[emoji1].
Sasa juzi Lema kasema una watu waliitwa na kiongozi mkuu wa nchi, kiongozi huyo anasema hakuwa na shida na Mbowe, Ila Mbowe alimdharau sijui nini, lengo ni ili Mbowe akubali ajishushe ili wayamalize, according to Lema nikuwa Mbowe amesema yupo tiyari kufia Magereza lakini kamwe hatokuja kuipigia magoti Serikali.
CCM mlilianzisha sasa mlimalize Mbowe hatokuja kuwapigia magoti kamwe, nyie leteni mashahidi zaidi kama Kaaya, mama muuza Mbege halafu mmfunge.
Update
Narudia kusema Mbowe yupo tiyari kufia Magereza lakini sio kumpigia magoti Samia, wamfunge maisha au wamnyonge maana ndo hukumu za ugaidi.