Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 1,384
- 2,880
Mbowe ni jeuri ww usifikiri ana roho ya kike kama ya zitto zuberi kabwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Propaganda at workHope mko poa wakuu, hakuna kitu kinachoiumiza serikali vichwa kama kesi ya Mbowe, kubali kataa serikali wanashindwa hii kesi waiteme vipi.
Nilisema toka awali kuwa maamuzi ya hii kesi yatakuwa faida kwa Mbowe, iwe kuhukumiwa maisha, kunyongwa au kushinda kesi, leo hio mawakili wa serikali wanaingia mahakamani wamenuna hawana raha, Shahidi anamezeshwa nondo na kuja na majibu kizimbani what a shame[emoji1].
Sasa juzi Lema kasema una watu waliitwa na kiongozi mkuu wa nchi, kiongozi huyo anasema hakuwa na shida na Mbowe, Ila Mbowe alimdharau sijui nini, lengo ni ili Mbowe akubali ajishushe ili wayamalize, according to Lema nikuwa Mbowe amesema yupo tiyari kufia Magereza lakini kamwe hatokuja kuipigia magoti Serikali.
CCM mlilianzisha sasa mlimalize Mbowe hatokuja kuwapigia magoti kamwe, nyie leteni mashahidi zaidi kama Kaaya, mama muuza Mbege halafu mmfunge.
Update
Narudia kusema Mbowe yupo tiyari kufia Magereza lakini sio kumpigia magoti Samia, wamfunge maisha au wamnyonge maana ndo hukumu za ugaidi.
Hana jeuri yeyote ,falaa tuMbowe ni jeuri ww usifikiri ana roho ya kike kama ya zitto zuberi kabwe
Huyo mbowe ni mtu mdogo Sana ukilinganisha na serikali ,atapelekewa Moto mkali mpaka atajutaNdo ashakuwa jeuri si mmfunge
Very strong manMbowe mi mwanaume wa shoka..hawezi kubali ujinga
Subiri uone km mwanaume ataonyesha huruma pamoja na kina zitto kuongea mbele ya bi hangayaHana jeuri yeyote ,falaa tu
Huyo tutamnyoosha mpaka apate adabu ,kama ni jeuri awapelekee huko huko chadema na familia yake ....sio kwenye serikali yetu tukufu ya mama samia ...Subiri uone km mwanaume ataonyesha huruma pamoja na kina zitto kuongea mbele ya bi hangaya
Mungu mwema Sana nilisema katika changia post hii, ila leo SSH kayarudia , kwambaAlafu uyo kiongozi anaesema sijui alizalauliwa yeye ni Mungu, ONLY in Afrika viongozi kujivalisha Umungu mtu,
By the way , naunga mkono asilimia 100 ya msimamo wa mh Mbowe,
Na ndo maana tunataka katiba mpya, itakayo mfanya kiongozi yeyote kuwa mtumishi wa watu na sio kua mungu mtu , kwamba akiamuka na kuhisi mtu flani amemdhalau Basi nikumbambikia makesi ya ajabu ,mfano UGAIDI ,Mambo ya ajabu sana
Wewe ndiyo msemaji wa Mbowe?Hope mko poa wakuu, hakuna kitu kinachoiumiza serikali vichwa kama kesi ya Mbowe, kubali kataa serikali wanashindwa hii kesi waiteme vipi.
Nilisema toka awali kuwa maamuzi ya hii kesi yatakuwa faida kwa Mbowe, iwe kuhukumiwa maisha, kunyongwa au kushinda kesi, leo hio mawakili wa serikali wanaingia mahakamani wamenuna hawana raha, Shahidi anamezeshwa nondo na kuja na majibu kizimbani what a shame[emoji1].
Sasa juzi Lema kasema una watu waliitwa na kiongozi mkuu wa nchi, kiongozi huyo anasema hakuwa na shida na Mbowe, Ila Mbowe alimdharau sijui nini, lengo ni ili Mbowe akubali ajishushe ili wayamalize, according to Lema nikuwa Mbowe amesema yupo tiyari kufia Magereza lakini kamwe hatokuja kuipigia magoti Serikali.
CCM mlilianzisha sasa mlimalize Mbowe hatokuja kuwapigia magoti kamwe, nyie leteni mashahidi zaidi kama Kaaya, mama muuza Mbege halafu mmfunge.
Update
Narudia kusema Mbowe yupo tiyari kufia Magereza lakini sio kumpigia magoti Samia, wamfunge maisha au wamnyonge maana ndo hukumu za ugaidi.
Kwa hiyo mbowe anataka kuidindia serikali yetu .....!Mungu mwema Sana nilisema katika changia post hii, ila leo SSH kayarudia , kwamba
Mbowe afuate sheria, na awe na eshima juu, ebo
Heshima halazimishwi, japo mzee wa watu ni mstarabu Sana , pamoja na kuwa na pesa, yupo ndani ila huko nje pesa inaingia Kama kawa Yani
Eti afuate sheria ,ni sheria ipi kavunja ,kudai katiba mpya ? Na je Kati ya Mbowe na Serikali nani hafuati SHERIA ?
Serikali mmelikoroga mtalinywa, tarehe kabla ya mwaka mpya CCM na Serikali yenu nakuja kutoa yale Mungu aniambia na amenipa kibali tiyari ,nitayatema hapa jf bila kinyongo ,na mtatakiwa jitafakari Kama mwaziba masikio au la
Na hata mkiziba haitasaidia maana maana ni sauti ya Mungu TOKA alipo ,na hupenya hata KWa wapagani
Nasema Kama alivyojificha na yupo anaishi,amini nakwambia na imekua,Kwa hiyo mbowe anataka kuidindia serikali yetu .....!
Yaani mbowe anaivimbia serikali na kuvimba kichwa na mapembe ....
Anataka mbowe serikali yetu ndio impigie magoti ...
Yaan anashindana na watu wameoshika mpinii ,anajiona anahaki Sana ...
Huyo mbowe mjazeni kichwa ila atakutana na kitu kizito ....
Ni Bora mbowe ajishushe ,ajifanye mjinga akamuombe samia msamaha ,huu ujinga mnaomjaza huku jf mkiwa nyumbani mmelalaa utakuja kucost kudadekiiiii [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mpaka saizi dakika ya 79 Mbowe 4 wao 0.Hana jeuri yeyote ,falaa tu
Hahahahaha mwenzako analala kwenye giza totoroooo afu useme dk 79 anaongoza 4? Nyie jifanyeni jeuri mtu anaozea ndani miezi sita sasa. Mara oooh tunaandamana, mara ooh maandamano yasiyo na kikomo, haya sasa tunawasubiri barabarani tuwavunje miguu kenge nyie.Mpaka saizi dakika ya 79 Mbowe 4 wao 0.