Mbowe yupo tayari kufia Magereza lakini hatoipigia magoti Serikali

Mbowe yupo tayari kufia Magereza lakini hatoipigia magoti Serikali

Hope mko poa wakuu, hakuna kitu kinachoiumiza serikali vichwa kama kesi ya Mbowe, kubali kataa serikali wanashindwa hii kesi waiteme vipi.

Nilisema toka awali kuwa maamuzi ya hii kesi yatakuwa faida kwa Mbowe, iwe kuhukumiwa maisha, kunyongwa au kushinda kesi, leo hio mawakili wa serikali wanaingia mahakamani wamenuna hawana raha, Shahidi anamezeshwa nondo na kuja na majibu kizimbani what a shame[emoji1].

Sasa juzi Lema kasema una watu waliitwa na kiongozi mkuu wa nchi, kiongozi huyo anasema hakuwa na shida na Mbowe, Ila Mbowe alimdharau sijui nini, lengo ni ili Mbowe akubali ajishushe ili wayamalize, according to Lema nikuwa Mbowe amesema yupo tiyari kufia Magereza lakini kamwe hatokuja kuipigia magoti Serikali.

CCM mlilianzisha sasa mlimalize Mbowe hatokuja kuwapigia magoti kamwe, nyie leteni mashahidi zaidi kama Kaaya, mama muuza Mbege halafu mmfunge.

Update

Narudia kusema Mbowe yupo tiyari kufia Magereza lakini sio kumpigia magoti Samia, wamfunge maisha au wamnyonge maana ndo hukumu za ugaidi.

Mhe. Mbowe shikilia hapo hapo
 
Kwa mtazamo wa Rais, Mbowe alimdharau kwasababu walitofautiana misimamo, lakini kutofautiana misimamo sio kosa kisheria.

Rais; Katiba Mpya isubiri kwanza.

Mbowe; Nakwenda Mwanza kwenye kongamano la Katiba Mpya.

Hapo naona kuna ubabe umetumika kumuweka Mbowe ndani, wakati Rais alitakiwa kutumia hekima zaidi kwani Mbowe hakuvunja sheria yoyote kwenda Mwanza kwaajili ya kongamano la Katiba Mpya, ila Rais alitaka asujudiwe tu kwasababu ya cheo chake.

Inavyoonekana Mbowe ameshalijua hili, anajua hana kosa lolote, sasa ni kazi kwake mtengeneza kosa la ugaidi kuhakikisha anamfunga Mbowe mahakamani.
Yaani watu wanataka kusujudiwa hata wakivunja sheria na haki za wenzao. What a shame.
 
Mbowe hajaidindia serikali, hao ni chawa wake walio nyumbani kwao wanalala kwa waume wa dada zao ndo wanashoboka humu. mbowe analia huko gerezani anatamani hata Leo atoke.
Sawa msemaji unayelala na mbowe huko segerea tumekusikia.
 
Hahahahaha mwenzako analala kwenye giza totoroooo afu useme dk 79 anaongoza 4? Nyie jifanyeni jeuri mtu anaozea ndani miezi sita sasa. Mara oooh tunaandamana, mara ooh maandamano yasiyo na kikomo, haya sasa tunawasubiri barabarani tuwavunje miguu kenge nyie.
Wewe ma.tako unawashwa na nini? Umeambiwa Mbowe ahitaji huo msamaha fake wa huyo bibi yenu, kwanini unalazimisha?
 
Kama CCM wanasubiri Mbowe a sarende na apìge magoti kwa Mama Samia wameula wa chuya...

Yaani hii kesi itakwenda hadi mwisho ...kitendo cha Mbowe kupiga magoti ni sawa na upinzani kuweka silaha chini na kujisalimisha kwa CCM..hili halipo..

Mapambano bado mazito ila Mbowe ana Mungu wake !!

Zitto hakutumwa na Mbowe wala CDM kuyasema hayo..ni kiherehere chake kuongea mambo ambayo hayamuhusu.

Mtaani kwetu unashutwaa !!
Lissu na lema waliwahi kukimbia wakamwacha mbowe. Nao wanaume wa shoka?
 
Wewe ma.tako unawashwa na nini? Umeambiwa Mbowe ahitaji huo msamaha fake wa huyo bibi yenu, kwanini unalazimisha?
Basi aondoa mawakili, mashahidi na mahakamani akatae kwenda aone. Vinginevyo ww akili yako haiko sawia.
 
Unamsemea Mbowe kwani wewe ni Mukiya au mama Dudley.
 
Wanaosema mwanamke huwa na huruma sana sijui wanatumia vigezo gani?

Sawa wanaweza wakawa na huruma lkn Visasi vyao ni vikubwa kuliko hiyo huruma yenyewe...
Mfano wenyewe ndio huu wa SSH
 
Huyo tutamnyoosha mpaka apate adabu ,kama ni jeuri awapelekee huko huko chadema na familia yake ....sio kwenye serikali yetu tukufu ya mama samia ...

Nasema Tena ataumia huyo mbowe ..

Ana Nini mpaka ashindane na serikali

Pumbavu
na wewe wacha kiherehere chako mbona mpaka sasa mmeshindwa kuonehsa ushaidi wa wazi ya hayo mnamsingizia badala yake mnafoji nyaraka, mashahidi wa uongo, kila mmoja analake kwa kutumia nguvu kubwa isiyo na faida kwa kuaminisha watu.

Mmelikoroga sasa linyweni.
 
Kwa mtazamo wa Rais, Mbowe alimdharau kwasababu walitofautiana misimamo, lakini kutofautiana misimamo sio kosa kisheria.

Rais; Katiba Mpya isubiri kwanza.

Mbowe; Nakwenda Mwanza kwenye kongamano la Katiba Mpya.

Hapo naona kuna ubabe umetumika kumuweka Mbowe ndani, wakati Rais alitakiwa kutumia hekima zaidi kwani Mbowe hakuvunja sheria yoyote kwenda Mwanza kwaajili ya kongamano la Katiba Mpya, ila Rais alitaka asujudiwe tu kwasababu ya cheo chake.

Inavyoonekana Mbowe ameshalijua hili, anajua hana kosa lolote, sasa ni kazi kwake mtengeneza kosa la ugaidi kuhakikisha anamfunga Mbowe mahakamani.
Kongamano la Mwanza la katiba mpya lilikuwa na watu wangapi? Na, kati ya watu hao ni wangapi wamekamatwa?
 
We boya viongozi wa kiafrika unawajua? We boya magereza unaijua! Jama yenu tapigwa mvua 30 na tukamsahhau haki kwa Mungu,duni mapito!
 
Basi aondoa mawakili, mashahidi na mahakamani akatae kwenda aone. Vinginevyo ww akili yako haiko sawia.
Wewe mlamba MASABURI huko lumumba, mtu yoyote akiwa Mahakamani kujitetea ni haki yake Kikatiba.
 
Wewe sio mwanfamilia wake, usiongee kwaniaba ya watoto na familia yake kwasababu haufahamu namna wanavyomhitaji kiongozi wao wa familia arudi nyumbani.
We unajua mie Nani funga domo koroboto
 
Mbowe hajaidindia serikali, hao ni chawa wake walio nyumbani kwao wanalala kwa waume wa dada zao ndo wanashoboka humu. mbowe analia huko gerezani anatamani hata Leo atoke.
Kiloboto bana
 
We boya viongozi wa kiafrika unawajua? We boya magereza unaijua! Jama yenu tapigwa mvua 30 na tukamsahhau haki kwa Mungu,duni mapito!
Si apigwe kwani kipi hajafanyiwa watu wamemiminiwa risasi 32 na bado hawajikombi
 
Back
Top Bottom