Mbowe yupo tayari kufia Magereza lakini hatoipigia magoti Serikali

Mbowe yupo tayari kufia Magereza lakini hatoipigia magoti Serikali

Mpaka saizi dakika ya 79 Mbowe 4 wao 0.
Hawafanyagi hutafiti, nguvu nyingi inatumika kumjenga SSH , ila ukweli wa Mambo ni KIONGOZI mkuu wa Taifa hili,na Rais wetu ,ila kisiasa Upako kwake unazidi potea KWa speed ya ajabu, hata watu wake wa karibu wanajua hilo nasema mbele ya Mungu wangu
 
Hope mko poa wakuu, hakuna kitu kinachoiumiza serikali vichwa kama kesi ya Mbowe, kubali kataa serikali wanashindwa hii kesi waiteme vipi.

Nilisema toka awali kuwa maamuzi ya hii kesi yatakuwa faida kwa Mbowe, iwe kuhukumiwa maisha, kunyongwa au kushinda kesi, leo hio mawakili wa serikali wanaingia mahakamani wamenuna hawana raha, Shahidi anamezeshwa nondo na kuja na majibu kizimbani what a shame[emoji1].

Sasa juzi Lema kasema una watu waliitwa na kiongozi mkuu wa nchi, kiongozi huyo anasema hakuwa na shida na Mbowe, Ila Mbowe alimdharau sijui nini, lengo ni ili Mbowe akubali ajishushe ili wayamalize, according to Lema nikuwa Mbowe amesema yupo tiyari kufia Magereza lakini kamwe hatokuja kuipigia magoti Serikali.

CCM mlilianzisha sasa mlimalize Mbowe hatokuja kuwapigia magoti kamwe, nyie leteni mashahidi zaidi kama Kaaya, mama muuza Mbege halafu mmfunge.

Update

Narudia kusema Mbowe yupo tiyari kufia Magereza lakini sio kumpigia magoti Samia, wamfunge maisha au wamnyonge maana ndo hukumu za ugaidi.
Bi tozo lafa sana yan na yale matege yake
 
Huyo mbowe ni mtu mdogo Sana ukilinganisha na serikali ,atapelekewa Moto mkali mpaka atajuta
Moto gani hajapelekewa, kufilisiwa,kufungwa kunyanganywa ubunge kufungiwa account, bado anadunda
 
Kama CCM wanasubiri Mbowe a sarende na apìge magoti kwa Mama Samia wameula wa chuya...

Yaani hii kesi itakwenda hadi mwisho ...kitendo cha Mbowe kupiga magoti ni sawa na upinzani kuweka silaha chini na kujisalimisha kwa CCM..hili halipo..

Mapambano bado mazito ila Mbowe ana Mungu wake !!

Zitto hakutumwa na Mbowe wala CDM kuyasema hayo..ni kiherehere chake kuongea mambo ambayo hayamuhusu.

Mtaani kwetu unashutwaa !!
Yaani Mbowe ampigie magoti Hangaya never
 
Hahahahaha mwenzako analala kwenye giza totoroooo afu useme dk 79 anaongoza 4? Nyie jifanyeni jeuri mtu anaozea ndani miezi sita sasa. Mara oooh tunaandamana, mara ooh maandamano yasiyo na kikomo, haya sasa tunawasubiri barabarani tuwavunje miguu kenge nyie.
Sio miezi 6 tunataka mmfunge au kumnyonga si ni gaidi
 
Kuliko Mbowe aachiwe kwa msamaha fake, bora aendelee kukaa gerezani mpaka siku ya hukumu yake, hakuna maana asamehewe ili aje kuishi kwa kujipendekeza kwa mtawala kama wengine wanavyofanya.
Watandika kitanda wa mbowe hamjielewi. Ungekuwa mbowe Wala usingeleta ujinga huu hapa.
 
Wewe sio mwanfamilia wake, usiongee kwaniaba ya watoto na familia yake kwasababu haufahamu namna wanavyomhitaji kiongozi wao wa familia arudi nyumbani.
 
Mungu mwema Sana nilisema katika changia post hii, ila leo SSH kayarudia , kwamba

Mbowe afuate sheria, na awe na eshima juu, ebo

Heshima halazimishwi, japo mzee wa watu ni mstarabu Sana , pamoja na kuwa na pesa, yupo ndani ila huko nje pesa inaingia Kama kawa Yani

Eti afuate sheria ,ni sheria ipi kavunja ,kudai katiba mpya ? Na je Kati ya Mbowe na Serikali nani hafuati SHERIA ?

Serikali mmelikoroga mtalinywa, tarehe kabla ya mwaka mpya CCM na Serikali yenu nakuja kutoa yale Mungu aniambia na amenipa kibali tiyari ,nitayatema hapa jf bila kinyongo ,na mtatakiwa jitafakari Kama mwaziba masikio au la

Na hata mkiziba haitasaidia maana maana ni sauti ya Mungu TOKA alipo ,na hupenya hata KWa wapagani
Hiyo katiba anadai kwa nani awe alimkabodhi nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu haikwepeki

FB_IMG_1617625172008.jpg
 
Hope mko poa wakuu, hakuna kitu kinachoiumiza serikali vichwa kama kesi ya Mbowe, kubali kataa serikali wanashindwa hii kesi waiteme vipi.

Nilisema toka awali kuwa maamuzi ya hii kesi yatakuwa faida kwa Mbowe, iwe kuhukumiwa maisha, kunyongwa au kushinda kesi, leo hio mawakili wa serikali wanaingia mahakamani wamenuna hawana raha, Shahidi anamezeshwa nondo na kuja na majibu kizimbani what a shame[emoji1].

Sasa juzi Lema kasema una watu waliitwa na kiongozi mkuu wa nchi, kiongozi huyo anasema hakuwa na shida na Mbowe, Ila Mbowe alimdharau sijui nini, lengo ni ili Mbowe akubali ajishushe ili wayamalize, according to Lema nikuwa Mbowe amesema yupo tiyari kufia Magereza lakini kamwe hatokuja kuipigia magoti Serikali.

CCM mlilianzisha sasa mlimalize Mbowe hatokuja kuwapigia magoti kamwe, nyie leteni mashahidi zaidi kama Kaaya, mama muuza Mbege halafu mmfunge.

Update

Narudia kusema Mbowe yupo tiyari kufia Magereza lakini sio kumpigia magoti Samia, wamfunge maisha au wamnyonge maana ndo hukumu za ugaidi.
Ondoeni mawakili basi ☺️
 
Mbowe ni nan mpaka aidindie serikali ,yaan mbowe ndio aishinde serikali kudadekiiiii

Huyo mbowe akijifanya jeuri atajuta
Mbowe hajaidindia serikali, hao ni chawa wake walio nyumbani kwao wanalala kwa waume wa dada zao ndo wanashoboka humu. mbowe analia huko gerezani anatamani hata Leo atoke.
 
Back
Top Bottom