Mbowe yupo tayari kufia Magereza lakini hatoipigia magoti Serikali

Wewe ndiyo msemaji wa Mbowe?
Ajabu sana Zitto amesema kwenye mazungumzo na Mbowe tarehe 9 alikuwa na James Mbowe maana yake familia inaunga mkono na inawezekana Mbowe pia anaunga mkono ajabu sasa wafuasi full kuhamsisha mwenzao abakie jela sijui kwa manufaa gani aisee
 
Mkuu nawe uwezo wako wa kufikiri umeshuka kiwango hiki???? Mtoto wa Mbowe kakaa na Zitto pamoja na Mbowe mwenyewe wakijadili namna ya kutoka, afu anatokea mtu yuko Nje tena uhamishoni anasema Mbowe amesema yuko tayari kufia gerezani aisee. Basi kama ndio hivyo awaamuru mawakili waachane na hiyo kesi ma akubali mashtaka afungwe.

Kabla ya kupost huwa mnashirikisha ubongo wenu kwa usahihi?

Hata hivyo Rais hakusema kuwa Mbowe amemdharau, alichosema upinzani wawe na siasa za kistaarabu na sio za kuleta vurugu au kudharau hapa kudharau anamaanisha wakipewa amri fulani basi waitekeleze kwa mujibu wa sheria na sio wao kuona wanaweza kujiamlia.

MwanaJF wa muda mrefu ukiwa na mikurupuko na maoni ya watoto wa juzi inashangaza mno. Kaa chini tafakari.
 
Kiburi cha kiume safi sana ingawa akubaliyaishe anapoteza muda bure
 

And then atapata nini.
 

Wapinzani wanapata mileage kwa maujinga na maneno maneno. Ya Odinga ni kwa kuwa K katofautiana makamu Wake. R kaahidiwa Support kuelekea Urais. Ukabila upo pale pale. Na hiyo kutawala kwa Amani Sijui una maana gani.

Kikwete aliruhusu yote hayo. Ila matusi. Kashfa ndo Zilikuwa sera za upinzani. Dr Slaa alikuwa mstaarabu na makini. Ona Leo mnavyomtukana.

Hiyo ndo Siasa mnazoweza.
 
Mbowe akae tu huko huko, mitaani ameshasahaulika. Mahabusu wenzake wameshamzoea, wajipangie huko huko...
 
Thubutu. Akitishwa kunyongwa lazima ataomba msamaha tu.usicheze na serikali.
Au wakionabado as na kibri watavunda kengere zake mpaka aombe msamaha kwa nguvu.
 
Kinachowatesa ccm ni bora tukose wote wao wamepoteza lile nyangumi fala kule chato, Sasa wanaona noma mwamba atapata audience na kuwa defit kilaini
 
Bado mnabisha
 
Mashujaa wa imani walikuwepo tangu za Yohana mbatixaji

Mashujaa wa imani walikuwepo tangu enzi za Yohana mbatizaji, hivyo hilo lisikushangaze na Mbowe ni mmojawapo.
Kweli mkuu
 
Kinachowatesa ccm ni bora tukose wote wao wamepoteza lile nyangumi fala kule chato, Sasa wanaona noma mwamba atapata audience na kuwa defit kilaini
Watapata tabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…