Mbudya Island!! Kisiwa kisichojulikana’ Bahari ya Hindi

Mbudya Island!! Kisiwa kisichojulikana’ Bahari ya Hindi

Wanaenda sana ,bongoyo kuna utulivu ila huko kwengine vurugu mechi
Kisiwa cha pangavini ndy hakanyagi mtu huko kuna mijoka mijusi kenge nk 😄

Ova
Wanasemaga tu hivyo ila hakuna cha nyoka wala nini wana sababu zao tu nyingine, eti wakakipa kabisa na nickname snake island ili kutisha watu na vile watu wakikiona kilivyosheheni vichaka wanajua kweli kuna mijoka, halafu sijui kwanini bongoyo hakitembelewi sana kama mbudya ilihali ndio kina ufukwe mzuri zaidi kuliko mbudya
 
Bongoyo
 

Attachments

  • IMG-20241228-WA0023.jpg
    IMG-20241228-WA0023.jpg
    108.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom