mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Bongoyo kunatembelewa sana watu wanaopenda ukimya,ukiwa slipway ijumaa,jumamosi,jumapiliWanasemaga tu hivyo ila hakuna cha nyoka wala nini wana sababu zao tu nyingine, eti wakakipa kabisa na nickname snake island ili kutisha watu na vile watu wakikiona kilivyosheheni vichaka wanajua kweli kuna mijoka, halafu sijui kwanini bongoyo hakitembelewi sana kama mbudya ilihali ndio kina ufukwe mzuri zaidi kuliko mbudya
Watu wengi wanakwenda ila watu wTuluvu
Bongoyo chenyewe kuna sehemu wako kenge wengi tu na majoka
Ova