Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
- Thread starter
- #61
TumefikiaAngalizo: Ukienda Mbudya kama wewe kuogelea kwako kwa wasiwasi (Yaani sio hodari/hujakulia maji) usiende maji marefu/kimiani.
Pana mkondo bahari pale, maji yake nungwi/yanapinda pinda na yana mwendo, inakubidi uwe hodari na jabari kuzamia kimiani mitaa ile.
Nakazia: Kama huyajui maji vyema, Mbudya usijitie ujuaji, oga ufukweni, cheza mchangani, sogea maji ya kifua vaa uende.