Mbuge Flatei Massay apiga sarakasi Bungeni kuonesha kulalamika kuhusu ahadi anazopewa kila mara bila kutekelezwa, afanya marejeo ya sauti za mawaziri

Mbuge Flatei Massay apiga sarakasi Bungeni kuonesha kulalamika kuhusu ahadi anazopewa kila mara bila kutekelezwa, afanya marejeo ya sauti za mawaziri

Yeye kama alilala kwa miaka2 wakati wabunge wenzake wakichakalika, akae skijua hizi sarakasi zake hazina tija, labda atafute kiki kwa njia nyingine lakini siyo kwa style hii ya kuruka ruka bungeni
 
Wale mbuzi wakula kwa urefu wa kamba zao Sasa wamekata kamba! Muda si mrefu watakuja hadi kwenye maji waanze kufukuza mamba!
 
Hawa ndio wa kushindana hoja na Chadema,?
Haya yote wamemuiga yule mpiga ma push up jukwaani, huyu jamaa hata mwaka Jana alileta kiki hizi hizi eti anamuomba spika apige sarakasi kuonyesha hasira akakataliwa, naona huyu spika mpya kamruhusu, ujinga mtupu
 
Ushamba na ulimbukeni vinamsumbua kwani kupiga sarakasi hakumsaidii kutatua hayo matatizo ya wananchi.
 
Hawa ndio wa kushindana hoja na Chadema,?
Haya yote wamemuiga yule mpiga ma push up jukwaani,huyu jamaa hata mwaka Jana alileta kiki hizi hizi eti anamuomba spika apige sarakasi kuonyesha hasira akakataliwa,naona huyu spika mpya kamruhusu,ujinga mtupu
Mfano MDUDE CHADEMA eti
 
Watu wanakunywa ambiance ndio wanaingia bungeni...
.wakuu tuendelee kunywa ambiance ila msisahau kuchanganya na apple punch.!
 
Hakika nimeshangazwa sana na KITENDO cha Huyu MBUNGE Mwakilishi wa Wananchi Mtunga sheria anayelipwa MSHAHARA na POSHO ambazo ni KODI za MASIKINI kufanya Kitendo cha KITOTO na KIHUNI kama hiki ndani ya BUNGE.
Ni Imani yangu SPIKA wa BUNGE atamchukulia HATUA Stahiki za Kinidhamu na kinyume chake Kuna Siku Atatokea MBUNGE mwingine yeye ATAVUA NGUO
Mambo yote haya ni Kutokana na BUNGE kuwa la CCM naamini UPINZANI ungekuwepo WAPINZANI Wangehoji.
KATIBA MPYA NI SASA
20220523_131911.jpg


Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
hii nchi sasa dharau zimezidi kipimo,

huku ni kulinajisi bunge tukufu, huyu ashughulikiwe na kamati ya nidhamu,

hivi hawa wabunge wameokotwa wapi, hivi vitu hata mtoto wa secondary hafanyi

ccm ijitafakari tumechoka kuletewa machizi halafu yanapitishwa kinguvu na tume

upumbavu mtupu
Bunge lipi tukufu au na ww unatumia hio bange
 
hii nchi sasa dharau zimezidi kipimo,

huku ni kulinajisi bunge tukufu, huyu ashughulikiwe na kamati ya nidhamu,

hivi hawa wabunge wameokotwa wapi, hivi vitu hata mtoto wa secondary hafanyi

ccm ijitafakari tumechoka kuletewa machizi halafu yanapitishwa kinguvu na tume

upumbavu mtupu
Nchi ilikofika chini ya CCM sahau kitu kinaitwa Bunge tukufu!
 
Aiseh noma sana

Ila humo bungeni nasikia wana sheria zao ambazo sio hizi unazozijua wewe kwa katiba hii
Humo bungeni kuna utamaduni ambao sio huu unaoujua wewe

Kuna mmoja alipoingia kwa mara ya kwanza alikiri kuwa ataua mtu endapo atapanga kushindana Mae kwenye jimbo kugombea kiti hicho

Sasa ni mwendo wa masarakasi tu
 
Back
Top Bottom