Mfano MDUDE CHADEMA etiHawa ndio wa kushindana hoja na Chadema,?
Haya yote wamemuiga yule mpiga ma push up jukwaani,huyu jamaa hata mwaka Jana alileta kiki hizi hizi eti anamuomba spika apige sarakasi kuonyesha hasira akakataliwa,naona huyu spika mpya kamruhusu,ujinga mtupu
Bunge lipi tukufu au na ww unatumia hio bangehii nchi sasa dharau zimezidi kipimo,
huku ni kulinajisi bunge tukufu, huyu ashughulikiwe na kamati ya nidhamu,
hivi hawa wabunge wameokotwa wapi, hivi vitu hata mtoto wa secondary hafanyi
ccm ijitafakari tumechoka kuletewa machizi halafu yanapitishwa kinguvu na tume
upumbavu mtupu
Nchi ilikofika chini ya CCM sahau kitu kinaitwa Bunge tukufu!hii nchi sasa dharau zimezidi kipimo,
huku ni kulinajisi bunge tukufu, huyu ashughulikiwe na kamati ya nidhamu,
hivi hawa wabunge wameokotwa wapi, hivi vitu hata mtoto wa secondary hafanyi
ccm ijitafakari tumechoka kuletewa machizi halafu yanapitishwa kinguvu na tume
upumbavu mtupu
Hiyo ni "popo kanyea mbingu"Wangempa kibarabara aruke nyingi kabisa... halafu mwandishi hiyo siyo samasoliti usitudanganye