Mbuge Flatei Massay apiga sarakasi Bungeni kuonesha kulalamika kuhusu ahadi anazopewa kila mara bila kutekelezwa, afanya marejeo ya sauti za mawaziri

Bangi ya arusha ndo nzuri, hizi za tarime na tabora wengi inawageuza vichaa
 
Wanasiasa wengi ni sanguine personalities, yaani wanapokuwa mbele ya umati wa watu wanaweza kufanya chochote.
Hata kama ni baba/mama yako, wewe ndio utabaki unaona aibu.

Rejea waliowahi kulia hadharani, kutishia kuvua nguo, kupiga magoti, kugalagala chini nk.
Yaani ni haiba zao; na wala hawajutii au kuona aibu. 😄😄😛
 
Ndio tatizo la kupitisha wabunge wa mchongo
 
Kwa wasioelewa watatokwa na mipovu

Kiujumla hii pamoja na nyingine ni mbinu za kisaikolojia za kumteka mtu a apay attention seriously kwenye jambo unalohitaji hasa ukiona jambo hilo ni gumu kutekelezwa au linapigwapigwa danadana mara kwa mara

Mbinu kama hizi tunaziona zikitumiwa kwa mfano kwenye mapenzi baadhi ya wanadada humwaga chozi bila kupigwa wakitaka kumshawishi mwenza kutekeleza lile alitakalo

Wengine hupiga magoti na kumlamba mwenza miguu kishinikiza analolitaka

Ama kwa upande mwingine tumekua tunaona watoto wadogo ambao kitaalam tunaambia wana uelewa wa juu sana wanapohitaji jambo lao lifanyike hutumia mbinu nyingi tofauti kushinikiza

Kwenye kitabu cha Dale,K mwandishi anasisitiza kumia mbinu hizi unapotaka upewe attention zaidi

Kuna watu siku hizi unakuta mambo yao yanaenda kwakua wameamua kufanya mafekeche ambayo yamewafanya kua unique katika uwasilishaji wa mambo yao na wanavyotaka yachukuliwe
 
Wabunge wa ibilisi joka kuu akipambana na wapinzani aliodai walimchelewesha. Kamati ipi ya bunge ya kumshughulikia wakati ni bunge la CCM?
 
Kwani huyu hawezi kuleta hoja yake bungeni mpaka abinuke sarakasi.

Tutafsiri kuwa ni ushujaa ama upumbavu..!
Unadhani ni mara ya kwanza kuileta hiyo hoja!? Ameshaambiwa upembuzi yakinifu unafanyika mara kadhaa
 
Duuh haya mambo angeyafanya Lema kipindi yupo bungeni angefungiwa mpaka ukomo wa bunge.
Flatei yupo sahihi. Barabara ya Karatu Hydom Mbulu ni janga.
Lakini pia akina Paskali wakiambiwa ccm imechoka, haina dira wala mwelekeo kwa sasa wanachofanya ni wizi hawaelewi kisa maslahi yao ya leo yanakutana na ya kesho! Hawajali!
Barabara nyingi inatengewea fedha na zinapitishwa kabisa bungeni lakini zinaishia kusikojulikana (hata awamu ya JPM ilikuwa hivyo hivyo)
 
Bunge linapaswa kusitishwa kama siyo kuvunjwa...
 
Mbona Philip marmo ameshwai kuwa kiongozi mkubwa sna alishindwa vip kupeleka hata km 2 tu mjini mbulu pale
 
Nimekulia hapo Mbulu ni kweli huyu jamaa alikuwa na kundi lake la sarakasi wanazunguka mashuleni wanachukua vimia vimia[emoji2] vyetu ,nilikuja kushangaa nilipoambiwa ni mbunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…