Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Mbunge wa CHADEMA na Mhazini wa Bawacha Mhe Catherine Ruge amepata ajali mbaya asubuhi hii akitokea Dar es Salaam kwenye kesi fake za Viongozi wa Chadema Taarifa za awali Mhe. Ruge anamaumivu makali kwenye Mguu pamoja na kifuani.
=======
Mbunge Catherine Ruge (CHADEMA) ambaye pia ni Mhazini wa Bawacha Taifa, amepata ajali asubuhi hii nje kidogo ya Jiji la Dodoma alipokuwa njiani akitokea Dar es salaam.
Mbunge huyo ni mmoja kati ya watu waliohudhuria hukumu ya kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na wenzake.
Taarifa zinasema Mbunge Catherine amepata maumivu makali kwenye Mguu pamoja na Kifuani.