kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,658
sifa ya mtu kufa hata wewe hautaishi mileleWakikoswa na mahakama, Wanapatwa na ajali
Sent using Jamii Forums mobile app
sifa ya mtu kufa hata wewe hautaishi mileleWakikoswa na mahakama, Wanapatwa na ajali
Mkuu ninini hiki umeandika?Pole yake kwenye mapambanonyankudai democrasi kuna mengi ila anaendelea mwenyewe au anwndesha mqenyewe
Kama ni Kesi FakeMbunge wa CHADEMA na Mhazini wa Bawacha Mhe Catherine Ruge amepata ajali mbaya asubuhi hii akitokea Dar es Salaam kwenye kesi fake za Viongozi wa Chadema Taarifa za awali Mhe. Ruge anamaumivu makali kwenye Mguu pamoja na kifuani.
View attachment 1383942
Asante kwa taarifa, Get well soon Keti.Mbunge wa CHADEMA na Mhazini wa Bawacha Mhe Catherine Ruge amepata ajali mbaya asubuhi hii akitokea Dar es Salaam kwenye kesi fake za Viongozi wa Chadema Taarifa za awali Mhe. Ruge anamaumivu makali kwenye Mguu pamoja na kifuani.
View attachment 1383942
ETI kwenye kesi fake yaani mnajifariji sanaa waache kulipa kama ni fake waione mahakama ilivyo
Ni kesi fake ndiyo !!. Kesi mtu amefanya jinai , Je hawa walifanya jinai gani ?!Kama ni Kesi Fake
Na hiyo Ajali ni Fake
Mbunge wa CHADEMA na Mhazini wa Bawacha Mhe Catherine Ruge amepata ajali mbaya asubuhi hii akitokea Dar es Salaam kwenye kesi fake za Viongozi wa Chadema Taarifa za awali Mhe. Ruge anamaumivu makali kwenye Mguu pamoja na kifuani.
View attachment 1383942
Lakini mbona kanisani kanakaa kiti cha mbele kabisa?
Shetani ameshindwa tenaMbunge wa CHADEMA na Mhazini wa Bawacha Mhe Catherine Ruge amepata ajali mbaya asubuhi hii akitokea Dar es Salaam kwenye kesi fake za Viongozi wa Chadema Taarifa za awali Mhe. Ruge anamaumivu makali kwenye Mguu pamoja na kifuani.
View attachment 1383942
SawaNi kesi fake ndiyo !!. Kesi mtu amefanya jinai , Je hawa walifanya jinai gani ?!
Mkurugenzi aliyesababisha hali kuharibika yuko wapi ?!. Police walioua wako wapi ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole yake kwenye mapambanonyankudai democrasi kuna mengi ila anaendelea mwenyewe au anwndesha mqenyewe
Ila wewe tu ndio hutopata ajali
Mbunge wa CHADEMA na Mhazini wa Bawacha Mhe Catherine Ruge amepata ajali mbaya asubuhi hii akitokea Dar es Salaam kwenye kesi fake za Viongozi wa Chadema Taarifa za awali Mhe. Ruge anamaumivu makali kwenye Mguu pamoja na kifuani.
=======
View attachment 1384034
Mbunge Catherine Ruge (CHADEMA) ambaye pia ni Mhazini wa Bawacha Taifa, amepata ajali asubuhi hii nje kidogo ya Jiji la Dodoma alipokuwa njiani akitokea Dar es salaam.
Mbunge huyo ni mmoja kati ya watu waliohudhuria hukumu ya kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na wenzake.
Taarifa zinasema Mbunge Catherine amepata maumivu makali kwenye Mguu pamoja na Kifuani.
View attachment 1383942