Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Lakini mbona kanisani kanakaa kiti cha mbele kabisa?
Pole yake. Amegonga nini? Mti au ukuta? Kama kagongana na gari ingine hao wengine wanaendeleaje?Mbunge wa CHADEMA na Mhazini wa Bawacha Mhe Catherine Ruge amepata ajali mbaya asubuhi hii akitokea Dar es Salaam kwenye kesi fake za Viongozi wa Chadema Taarifa za awali Mhe. Ruge anamaumivu makali kwenye Mguu pamoja na kifuani.
View attachment 1383942
ETI kwenye kesi fake yaani mnajifariji sanaa waache kulipa kama ni fake waione mahakama ilivyoMbunge wa CHADEMA na Mhazini wa Bawacha Mhe Catherine Ruge amepata ajali mbaya asubuhi hii akitokea Dar es Salaam kwenye kesi fake za Viongozi wa Chadema Taarifa za awali Mhe. Ruge anamaumivu makali kwenye Mguu pamoja na kifuani.
View attachment 1383942
Siku watu ovyo wanahudhiria Sana nyumba za ibada....angalia hata Yule anaesema aombewe matendo yake yanafaa kuombewa?Lakini mbona kanisani kanakaa kiti cha mbele kabisa?