Mbunge Abbas Tarimba apendekeza wabunge wapewe 'plate number' maalumu ili magari yao yatambulike barabarani

Kwishney
 
Mbunge sio kiongozi wa kitaifa
Hivyo plate number yake kwenye gari itumike tu kwenye jimbo lake na iwe ruksa kufunga bendera ya bunge

Kuepusha gari kutumika double standard namba ifutwe kwenye mfumo wa TRA apewe namba mpya ya kibunge kwa sharti kuwa hiyo gari ni kwa matumizi ya jimboni tu si vinginevyo ili Askari Traffic wasisumbuke wa nje ya eneo bunge lake
Kwa hiyo mbunge akitaka hilo ahahakishe hilo gari ni kwa matumizi ya ndani ya eneo bunge tu

Akitaka kwenda kwingine nje ya eneo bunge lake atumie gari nyingine sio hiyo
 
Anataka apitishie haramu huyo watu wanaanzia mbali sana maana gari ya Mbunge itapita tu bila kukaguliwa kumbe ndani wameweka meno ya Tembo kwa nini anataka kujitenga atoe sababu za msingi..
 
Wabunge wa CCM wamejaa ubinafsi TU.
Kwani wana kino ndio tumekutuma ilo?
Road mbovu hatari hazipitiki.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Na pia kama tunamia lugha ya Malkia isomeke "number plate" na si plate number wazee majirani wasitafute sababu..
 
Wapewe tu! Ili tukitaka kuwashughulikia kimtaa mtaa iwe rahisi kuwatambua nyendo zao kupitia magari yao yenye special plates numbers!
 
Nyambafu kabisaa
 
Wabunge wa CCM wamejaa ubinafsi TU.
Kwani wana kino ndio tumekutuma ilo?
Road mbovu hatari hazipitiki.
KAZI ni kipimo cha utu
Huyo jamaa ajawahi ongea la maana Bungeni ni vile watu wameanza kumfatilia sana hivi ila niliwahi kumfatilia kipindi fulani ilikua kama comedy tu ila ndio yupo Bungeni..
 
Huyu Ponjoro akishiba pilipili anabwatuka tu.
 
Wakati nchi inatakiwa kujadili mambo ya maana kama vile kumaliza tatizo la ukosefu wa ajira, reforms mpya pamoja na maendeleo mengine huyu analeta mada ya wabunge kuwa na plate namba maalum.

Your browser is not able to display this video.


Mbunge wa Kinondoni, Abasi Tarimba, amependekeza wabunge wawe na namba maalumu za magari ili kurahisisha utendaji wao wa kazi na kuwatambulisha kirahisi wanapokuwa nje ya maeneo yao ya kazi, hasa kwa kuwa hawawezi kupeperusha bendera nje ya maeneo rasmi ya kibunge.

Tarimba ametoa pendekezo hilo leo Jumatano Juni 11, 2025, wakati wa mjadala wa taarifa ya Kamati ya Kanuni za Bunge kuhusu mapendekezo ya marekebisho ya Kanuni za Kudumu za Bunge iliyosomwa na Naibu Spika, Mussa Zungu.
 
Aisee!
Kwa hiyo na vyeti vyao ya PhD na MBA ziwe printed kwenye karatasi tofauti na wengine!
Japo wengi wanaona ni sawa lakini tumefikaje hapa! Ni kama wenyewe wameshakubali kuwa barabara zilizopo ndio kikomo chake na assumption ni foleni zitaendelea hivyo suluhisho ni mwanasiasa atanue barabarani wengine meundelee kusubiri kwenye daladala au paso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…