Mbunge Abbas Tarimba apendekeza wabunge wapewe 'plate number' maalumu ili magari yao yatambulike barabarani

Mnashindwa kuisimamia Serikali kwenye serious issues kutatua kero za wananchi na maendeleo, mnakalia kujadili mpite sijuwi VIP entrance airport na mpewe special number plates za magari yenu!!

Ujinga ujinga tu nchi hii. Inakera sana!!!!
 
Asiporudi Bungeni Tena ataomba hazifai kuwepo!
 
Ndo pekee hicho kilichompeleka bungeni 😡😡😡
 
Martin luther king jr alisema " uongozi wa kweli ni wa kufanikisha umoja, si kutafuta manufaa binafsi au umaarufu wa muda"
 
UBINAFSI ndio tatizo kubwa linalotudumaza kama nchi.

Kabisa mkuu. Ni ubinafsi + uchawa. Taifa limekwamia hapo.

Malipo kwa wenza wa viongozi; na sasa wanataka wabunge na wenza wao wapite VIP entrance at airport, pia wanataka hiyo special number plate kwenye gari zao. Typically UBINAFSI !!

Nchi bado tuna safari ndefu sana kwa wabunge hawa.
 
wengine tukisena uislamu wa tanzagiza ni tatizo na unatugharimu sana mnasema sijui udini, haya sasa angalia huyo kila siku wakiwa na power ni the same shit, unaitwa umwinyi, aliye juu anakanyaga aliye chini, wanaita kanyaga twende …
 
ponjoro la kinondoni
 
Bora iwe hivyo ili mtambulike kwa urahisi.
 
Utamkuta mjinga fulani anawakubali hawa, kwa maoni yangu wabunge wote mle isipokuwa Mpina, Abood, Shabiby na Kenani ni wa kupiga chini
 
Kwa akili hizi bado mnachagua tena takataka kama hizi kwakweli nchi hiyo aliyeturoga ameshakufilia mbali loh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…