Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Geita, Rose Busiga amegaragara chini wakati akimuombea kura Rais Samia Suluhu Hassan na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha Bufanka kilichopo wilayani Bukombe.
Akiomba kura hizo kwa lugha ya Kisukuma, mbunge huyo amesema anaibariki ardhi hiyo na hilo ni agano na wannachi ili wakati utakapofika wasiache kumpigia kura Rais na Naibu Waziri Mkuu ifikapo Oktoba 2025.
Mbali na kuomba kura, pia mbunge huyo amesema tayari wanawake wamechanga fedha kwa ajili ya kumchukulia Rais Samia fomu ya kugembea urais na kumuomba Biteko wakati utakapofika asichukue fomu kwa kuwa wanawake wa Geita watamchukulia na akishaijaza watairudisha wenyewe.
Uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais, wabunge na madiwani unatarajiwa kufanyika Oktoba 2025.

Nchi hii wagonjwa wa akili ni wengi kuliko tunavyodhania. Yaani mpaka wengine, kama huyo mbunge, anafikia hata kupewa madaraka, kumbe ni mlemavu wa akili.
CCM inawadharau sana Watanzania. Inawateua mpaka walemavu wa akili kuwa wawakilishi. Sasa huyo Rose sijui anawakilisha watu wote huko Bungeni au ni mwakilishi wa walemavu wa akili wenzake pekee.