Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
sijaona tatizo lolote
kiutamaduni ni sawa
kiutamaduni ni sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hv muda wa kampeni tayari? Kabla ya kampeni unagalagala kampeni ikianza tutarajie kituko kip? Uchawa kaz sana na ni aibu. Wabunge Wa aina hii wanaonesha hata bungeni wanatufanyia usanii! Hebu mfanyieni mpango hapo jimboni mwaka kesho akae pembeni yaingie majembe ya Chadema aone wajibu wa mbunge.Kwani uchaguzi umefika? Fomu ya urais ni Tsh 1m inakuwaje watu wanachanga mamilioni? Hayo mamilioni mengine ni ya nini?
Hizi comedy wawaachie kina MpokiMbunge wa Viti maalum Mkoa wa Geita, Rose Busiga amegaragara chini wakati akimuombea kura Rais Samia Suluhu Hassan na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha Bufanka kilichopo wilayani Bukombe.
Akiomba kura hizo kwa lugha ya Kisukuma, mbunge huyo amesema anaibariki ardhi hiyo na hilo ni agano na wannachi ili wakati utakapofika wasiache kumpigia kura Rais na Naibu Waziri Mkuu ifikapo Oktoba 2025.
Mbali na kuomba kura, pia mbunge huyo amesema tayari wanawake wamechanga fedha kwa ajili ya kumchukulia Rais Samia fomu ya kugembea urais na kumuomba Biteko wakati utakapofika asichukue fomu kwa kuwa wanawake wa Geita watamchukulia na akishaijaza watairudisha wenyewe.
Uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais, wabunge na madiwani unatarajiwa kufanyika Oktoba 2025.
===
Pia soma:
- Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Geita, Rose Busiga amegaragara chini wakati akimuombea kura Rais Samia Suluhu Hassan na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha Bufanka kilichopo wilayani Bukombe.
Akiomba kura hizo kwa lugha ya Kisukuma, mbunge huyo amesema anaibariki ardhi hiyo na hilo ni agano na wannachi ili wakati utakapofika wasiache kumpigia kura Rais na Naibu Waziri Mkuu ifikapo Oktoba 2025.
Mbali na kuomba kura, pia mbunge huyo amesema tayari wanawake wamechanga fedha kwa ajili ya kumchukulia Rais Samia fomu ya kugembea urais na kumuomba Biteko wakati utakapofika asichukue fomu kwa kuwa wanawake wa Geita watamchukulia na akishaijaza watairudisha wenyewe.
Uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais, wabunge na madiwani unatarajiwa kufanyika Oktoba 2025.
===
Pia soma:
- Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kabisa, msanii tu huyoMbunge mnafiki
Akapimwe akiliMbunge wa Viti maalum Mkoa wa Geita, Rose Busiga amegaragara chini wakati akimuombea kura Rais Samia Suluhu Hassan na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha Bufanka kilichopo wilayani Bukombe.
Akiomba kura hizo kwa lugha ya Kisukuma, mbunge huyo amesema anaibariki ardhi hiyo na hilo ni agano na wannachi ili wakati utakapofika wasiache kumpigia kura Rais na Naibu Waziri Mkuu ifikapo Oktoba 2025.
Mbali na kuomba kura, pia mbunge huyo amesema tayari wanawake wamechanga fedha kwa ajili ya kumchukulia Rais Samia fomu ya kugembea urais na kumuomba Biteko wakati utakapofika asichukue fomu kwa kuwa wanawake wa Geita watamchukulia na akishaijaza watairudisha wenyewe.
Uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais, wabunge na madiwani unatarajiwa kufanyika Oktoba 2025.
===
Pia soma:
- Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Tena Aibu hizi ndo Sera za Mjinga mmoja.Sina kosa lolote nikimuita mjinga!
Yeye je kashapita .Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Geita, Rose Busiga amegaragara chini wakati akimuombea kura Rais Samia Suluhu Hassan na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha Bufanka kilichopo wilayani Bukombe.