Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Mbunge mnafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takataka kabisaMbunge wa Viti maalum Mkoa wa Geita, Rose Busiga amegaragara chini wakati akimuombea kura Rais Samia Suluhu Hassan na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha Bufanka kilichopo wilayani Bukombe.
Akiomba kura hizo kwa lugha ya Kisukuma, mbunge huyo amesema anaibariki ardhi hiyo na hilo ni agano na wannachi ili wakati utakapofika wasiache kumpigia kura Rais na Naibu Waziri Mkuu ifikapo Oktoba 2025.
Mbali na kuomba kura, pia mbunge huyo amesema tayari wanawake wamechanga fedha kwa ajili ya kumchukulia Rais Samia fomu ya kugembea urais na kumuomba Biteko wakati utakapofika asichukue fomu kwa kuwa wanawake wa Geita watamchukulia na akishaijaza watairudisha wenyewe.
Uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais, wabunge na madiwani unatarajiwa kufanyika Oktoba 2025.
===
Pia soma:
- Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wasukuma hawajui kiswahili? Jamii zingine ujinga hautakaa uwatokeMbunge wa Viti maalum Mkoa wa Geita, Rose Busiga amegaragara chini wakati akimuombea kura Rais Samia Suluhu Hassan na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha Bufanka kilichopo wilayani Bukombe.
Akiomba kura hizo kwa lugha ya Kisukuma, mbunge huyo amesema anaibariki ardhi hiyo na hilo ni agano na wannachi ili wakati utakapofika wasiache kumpigia kura Rais na Naibu Waziri Mkuu ifikapo Oktoba 2025.
Mbali na kuomba kura, pia mbunge huyo amesema tayari wanawake wamechanga fedha kwa ajili ya kumchukulia Rais Samia fomu ya kugembea urais na kumuomba Biteko wakati utakapofika asichukue fomu kwa kuwa wanawake wa Geita watamchukulia na akishaijaza watairudisha wenyewe.
Uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais, wabunge na madiwani unatarajiwa kufanyika Oktoba 2025.
===
Pia soma:
- Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Viroja hivyo vitaisha mwishoni mwa mwaka 2025.CCM ni mashetani.Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Geita, Rose Busiga amegaragara chini wakati akimuombea kura Rais Samia Suluhu Hassan na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha Bufanka kilichopo wilayani Bukombe.
Akiomba kura hizo kwa lugha ya Kisukuma, mbunge huyo amesema anaibariki ardhi hiyo na hilo ni agano na wannachi ili wakati utakapofika wasiache kumpigia kura Rais na Naibu Waziri Mkuu ifikapo Oktoba 2025.
Mbali na kuomba kura, pia mbunge huyo amesema tayari wanawake wamechanga fedha kwa ajili ya kumchukulia Rais Samia fomu ya kugembea urais na kumuomba Biteko wakati utakapofika asichukue fomu kwa kuwa wanawake wa Geita watamchukulia na akishaijaza watairudisha wenyewe.
Uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais, wabunge na madiwani unatarajiwa kufanyika Oktoba 2025.
===
Pia soma:
- Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hakuna hela rahisi...Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Geita, Rose Busiga amegaragara chini wakati akimuombea kura Rais Samia Suluhu Hassan na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha Bufanka kilichopo wilayani Bukombe.
Akiomba kura hizo kwa lugha ya Kisukuma, mbunge huyo amesema anaibariki ardhi hiyo na hilo ni agano na wannachi ili wakati utakapofika wasiache kumpigia kura Rais na Naibu Waziri Mkuu ifikapo Oktoba 2025.
Mbali na kuomba kura, pia mbunge huyo amesema tayari wanawake wamechanga fedha kwa ajili ya kumchukulia Rais Samia fomu ya kugembea urais na kumuomba Biteko wakati utakapofika asichukue fomu kwa kuwa wanawake wa Geita watamchukulia na akishaijaza watairudisha wenyewe.
Uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais, wabunge na madiwani unatarajiwa kufanyika Oktoba 2025.
===
Pia soma:
- Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Lakini si kwa kuwaumiza wengine..Kuna wakati kutafuta ugali lazima ujitoe ufahamu.
Huyu naye alikuwemo kwenye ule msafara wa Korea Kusini (Wasanii)?Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Geita, Rose Busiga
Huo mkao sio mzuri.
Ulimsikia yule aliyeshauri tufanywe chuna-buzi kwa kila line ya simu kutozwa Tsh 50?Hivi utamuona na yeye anaomba arudi tena bungeni?Real freaks!Wabunge pamoja na posho na mishahara minono bado nao ni machawa.
Katika siku ambayo gazeti la Uhuru liliwahi kumkera mwenyekiti wa CCM ni hii siku walitoa hii habari. Ni wakati ambao Sukuma Gang walikuwa kwenye hangover ya msiba.
Sio viti maalumu tu, mfumo mzima wa kufanya vetting ya kuwapata viongozi unaitaji overhaul. Hata hao wabunge wa kuchaguliwa nao majanga tu.Hivi viti vya hawa wachawi Bora vifutwe tu!!
🤣 🤣 🤣Huo mkao sio mzuri.