Pre GE2025 Mbunge agalagala kwenye mchanga akimuombea Kura Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani uchaguzi umefika? Fomu ya urais ni Tsh 1m inakuwaje watu wanachanga mamilioni? Hayo mamilioni mengine ni ya nini?
Hv muda wa kampeni tayari? Kabla ya kampeni unagalagala kampeni ikianza tutarajie kituko kip? Uchawa kaz sana na ni aibu. Wabunge Wa aina hii wanaonesha hata bungeni wanatufanyia usanii! Hebu mfanyieni mpango hapo jimboni mwaka kesho akae pembeni yaingie majembe ya Chadema aone wajibu wa mbunge.
 
Hizi comedy wawaachie kina Mpoki
 
na akishinda uchaguzi kwa kishindo, inakua nongwa, ataambiwa kaiba kura🐒
politics is science ndrugu zango 🐒
 
Yaan mimi ndio namkata kabisa kwenye list ya wabunge next year.
 
Wazungu wakiwaita watu weusi MANYANI eti mnachukia

Nyani ni nyani tu
 
Akapimwe akili
 
Yeye je kashapita .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…