Mbunge agawa bagia na soda kwa wakaazi wa Mbeya Mjini

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Naona lengo la ccm kuwapumbaza watanzania linaenda kutimia.

Angalieni jinsi baadhi ya wana Mbeya wanavyo kimbilia kupata mgao wa bagia na soda kutoka kwa Mbunge wao kupitia ccm.
 
View attachment 3644545
Hao ndio wanatukanisha makabila...utaskia wanyakyusa hawajielewi, kumbee sababu haao
 
Mkuu, hizi political stunt za hali ya chini kiasi hiki ni rahisi sana kuzifanya kwenye nchi yenye umaskini wa mali na akili kama yetu. Nakuhakikishia hata wagawe nini, ukifanyika uchaguzi huru hawapiti.
 
Mkuu umesahau kuwa wao hawajali kuchaguliwa kupitia karatasi
 
Hao ndio wanatukanisha makabila...utaskia wanyakyusa hawajielewi, kumbee sababu haao
Dharau ya kiwnago cha age,yaani mbunge anpokea mamilioni ya fweeedhaaaa alafu anaenda kwa wananchi wake anawagawia bagia?
 
Naona lengo la ccm kuwapumbaza watanzania linaenda kutimia.

Angalieni jinsi baadhi ya wana Mbeya wanavyo kimbilia kupata mgao wa bagia na soda kutoka kwa Mbunge wao kupitia ccm.
View attachment 3644545
That’s the only way they can get people to follow them. Vinginevyo, hakuna mtu anayetaka kufuatilia mambo yao!
 
Back
Top Bottom