Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Ndio mana mwabukusi alisema mbeya ni Mkusanyiko wa Vijiji hakuna jiji pale
Acha cheap politics we bwege! Acha siasa za kishamba, siasa za majitaka, ndio maana watanzania wamewadharau nyie nyumbu zero brain! Mbunge siyo robot, ni binadamu yuko huru kuenjoy na wananchi wake kwa uhuru. Kuna nini cha ajabu hapo, kwani we ukimgawia soda mtu si ni ukarimu tu? Hakuna uchaguzi useme anahonga, acheni watu wafurahie maisha yao, acheni husdaNaona lengo la ccm kuwapumbaza watanzania linaenda kutimia.
Angalieni jinsi baadhi ya wana Mbeya wanavyo kimbilia kupata mgao wa bagia na soda kutoka kwa Mbunge wao kupitia ccm.
View attachment 3644545
Ndiyo ujue kuwa nyinyi mboga mboga mmeishiwa hoja kiakili na kisiasa.Acha cheap politics we bwege! Acha siasa za kishamba, siasa za majitaka, ndio maana watanzania wamewadharau nyie nyumbu zero brain! Mbunge siyo robot, ni binadamu yuko huru kuenjoy na wananchi wake kwa uhuru. Kuna nini cha ajabu hapo, kwani we ukimgawia soda mtu si ni ukarimu tu? Hakuna uchaguzi useme anahonga, acheni watu wafurahie maisha yao, acheni husda
Ametimiza ahadi kwa wananchi wake. CCM oyee!Naona lengo la ccm kuwapumbaza watanzania linaenda kutimia.
Angalieni jinsi baadhi ya wana Mbeya wanavyo kimbilia kupata mgao wa bagia na soda kutoka kwa Mbunge wao kupitia ccm.
View attachment 3644545
Dah!Naona lengo la ccm kuwapumbaza watanzania linaenda kutimia.
Angalieni jinsi baadhi ya wana Mbeya wanavyo kimbilia kupata mgao wa bagia na soda kutoka kwa Mbunge wao kupitia ccm.
View attachment 3644545