Mbunge Ahoji kuhusu wahitimu kufanya mitihani kupata ajira

Mbunge Ahoji kuhusu wahitimu kufanya mitihani kupata ajira

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Paresso amehoji utaratibu mpya wa serikali unaowataka wahitimu wa vyuo kufanya mitihani mbalimbali ili kuajiriwa, akitaka kujua kama hatua hiyo inaashiria kwamba serikali haina imani na elimu inayotolewa vyuoni.

​
 
Kama mtu kasoma kulingana na fani yake Kuna haja Gani ya mtihani kama Tena Yuko chuo? Mengine atajifunzia kazini!
 
Lengo la interview mahala popote pale duniani ni kupunguza waombaji wa kazi husika wenye sifa ili kupata idadi inayotakiwa.

Interview haifanyiki ili kupata wajuvi wa mambo. Hapana.
 
Tanzania yangu inanitoa machozi. Kwamba uwo ni utaratibu mpya
 
Tena engineer anafanya interview kada ya ualimu, maajabu kweli Tanganyika yetu.
 
Back
Top Bottom