Mbunge ampa mimba Wema Sepetu

Kwa tasfiri yako kumbe ndio maana hata Dr Slaa yule hawara yake Josephine anamuita mke. hebu tafuta tafsiri ya Concubine.
 
Kwa tasfiri yako kumbe ndio maana hata Dr Slaa yule hawara yake Josephine anamuita mke. hebu tafuta tafsiri ya Concubine.

Ndio maan nimekuuliza kwanini unamwita hawara?

Na je mtu wakiwa gf na bf nao si utamwita gf hawara yake?

Na pia kila cha mtu unataka kualikwa?

Wanaitana mke na mume sasa unataka waitanaje...Zari ndio mwanamke wa kwanza kuwa na watoto kabla ya ndoa na mwanamume mwingine?
 
Nina hakika unajuwa vyema maana ya mke/mume/hawara na kimada. have good time.
Tchao.
 
Nina hakika unajuwa vyema maana ya mke/mume/hawara na kimada. have good time.
Tchao.

Basi tuite wote wapendanao na wenza wao ni ma hawara na sio tu wale wanaoibia wenzao wakiwa na mpenzi kwa kwenda kuwa na mchepuko. n.k.
 
Mmh kesho utasikia mimba imetoka, hawa global umbea utawaua manina zao
 
Basi tuite wote wapendanao na wenza wao ni ma hawara na sio tu wale wanaoibia wenzao wakiwa na mpenzi kwa kwenda kuwa na mchepuko. n.k.

Si wanasemaga watu wakiishi miezi 3 au 6 ,ni mke na mume hao,kwa sheria za serikali?
 
Malaya aliyeua mimba Saba hawezi kuzaa kamwe...hizi ni kick za magazeti
 
yeue kajitangaza hana kizazi hiyo mimba imedungwadungwaje wabongo bhn haya
 
Si wanasemaga watu wakiishi miezi 3 au 6 ,ni mke na mume hao,kwa sheria za serikali?

Hiyo ufatwa na wengi kihivyo. Sasa na mtu mkizaa tena. Ila sio kila ndoa lazima itangazwe wengije usubiria wakitaka labda ya kivingine na iwe kubwa. Maisha uamuzi wa wapenzi

Ila si unajua tena ndimu walizokula aengi bado haziwatoshi wanajaribu kila kitu kuweka mahusiano ya Simba na Mkewe Zari kama vile sio watu.

Hata kwa mwimbo anasema mumeo bado wabishi wasiotaka wawe wanasema mengine.
 
Sio siri, kuna watu wanajikomba kwa Dai mpaka kero.
Hivi kuwa shabiki wa Dai ni kuwa Zuzu??
 
Ndimu ndimu zaidi zinahitajika aaagh

Kumekucha

Wengine wangejua kilasi za wanaomshabikia Baba Tiffah wangekimbia wadogo wadogo.

Nimekumbuka ... zingifuri zingifuri....
 
Nitakuja kuchangia siku nikisikia Wema yupo leba... tena hospitali ya Lugalo manake hata nikimuona Muhi2; kwangu nitachukulia movie hata kama atatoka ameshika kichanga huku akiwa hoi!
 
Magufuri= Hapa kazi tu
Msukuma=Hapa mimba tu
Mmmmhhh kanda ya ziwa ni sheeeeedah
 
Kwamba wapenzi woooote alikuwa anatafuta mtoto wa kuzaa! Inamaana huwa hatumii kings ili mimba iingie? Basi hii ni hatari, usalama hapo no wa mashaka

Watu wana moyo jamaniii kupiga kavu kwa bongo muvi ni sawa na kujiweka kitanzi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…